Waangalia mpira bar wana kelele sana

Waangalia mpira bar wana kelele sana

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,961
Reaction score
4,661
Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
 
Ukitoka hapo unajihisi kama vile ulikuwa Trafford ama bunju complex.. shangwe la kutosha
 
Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
Huwa sipendagi, naendaga chimbo ambalo halina hata tv grocery ya mtaa tu, kelele za mpira noo..
 
Zinakera mno kelele zao,mimi mpaka saa nyingine nikijua kuna mpira sehemu ninayoenda mara kwa mara siku hiyo huwa nahairisha kwenda, halafu kwenye zile bar kubwa zenye TV nyingi unakuta hata kama zilikuwa zinaonyesha movie zote wanaweka mpira
 
Wanaokera zaidi ni wale wanaosimama ovyo na kuziba wengine wakitafuta umaarufu, na tena anasimama mbele na kutaniana kwa kelele kubwa na mtu alie kaa back bench ili wote tuwasikilize, wabongo tuna tatizo la akili maana inashangaza sana watu kupenda kelele ,inaitwa noise pollution!
 
Wangekuwa wanaenda kwenye mabanda yao special ya mpira,sio kila mteja bar anafagilia mpira
 
Inategemea na sehemu kuna maeneo watu wanashangilia kistaarabu ingawa bei za vinywaji zinakuwa zimechangamka sana
 
Back
Top Bottom