Waandishi wa Kitanzania kichekesho

Waandishi wa Kitanzania kichekesho

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
611
Kwa aibu ya jana walioileta waandishi wetu wa habari juu ya maswali ya kitoto kabisa waliyomuuliza Rais wa Marekani Barrack Obama,ni wazi kua sasa imefika wakati wanataaluma hawa wajitafakari mara mbili,na waache kutumika ili hali wakijiweka uchi wa mnyama,kudharaulika na kupuuzwa kupita kiasi na jamii ya ndani ya nchi na hata jamii ya kimataifa!press conference ya jana imeonekana dunia nzima,alafu muandishi wa habari unapewa nafasi ambayo inawezekana ni moja katika maisha ya taaluma yako unaisaliti taaluma yako na kwenda kuuliza swali la kijinga kabisa!nilifurahishwa sana na waandishi wa habari wa nje jinsi walivyo uliza maswali critical,hata yule muandishi wa habari wa Congo kwa kweli aliuliza swali la msingi kabisa!sio clap questions kama waliyouliza hawa waandishi wetu walio andaliwa,kwa jana wamejidhihirisha wazi kuwa Watanzania wana haki ya kuwapuuza na kuwadharau hawa waandishi wa habari vilaza (ingawa si wote)!Kwa upande wa aibu kubwa tuliyoipata kutokana na uwezo mdogo na lugha mbovu toka kwa mjibu maswali wetu mpaka kumuacha Obama akiwa anacheka,ilo lilishajulikana mapema!kikubwa ni kua Watanzania tujijengee tamaduni ya kusoma vitabu,kwani usomaji wa vitabu utujengea ukuaji wa uelewa wetu na hata uwezo wa kuongea lugha nyingine pia!!yafuatayo ni moja ya maswali toka kwa muandishi wa Jambo leo,na moja ya majibu toka kwa Rais Kikwete: My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper.

My question is from both of you starting with the President Obama.

President Obama, are you satisfied with the aid that your country provide to Tanzania, especially the MCC.

Second question goes to President Kikwete. Do you believe that USA is doing enough to support our country Tanzania. That’s all Thanks. Na moja ya majibu ya Rais Kikwete ni haya hapa: I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.

There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.

Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.

We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.

With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.

So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.

Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa

But so far so good.

Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...

The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.

We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.

But if they can do more.... please. Hahahahaaa!
 
Kwa aibu ya jana walioileta waandishi wetu wa habari juu ya maswali ya kitoto kabisa waliyomuuliza Rais wa Marekani Barrack Obama,ni wazi kua sasa imefika wakati wanataaluma hawa wajitafakari mara mbili,na waache kutumika ili hali wakijiweka uchi wa mnyama,kudharaulika na kupuuzwa kupita kiasi na jamii ya ndani ya nchi na hata jamii ya kimataifa!press conference ya jana imeonekana dunia nzima,alafu muandishi wa habari unapewa nafasi ambayo inawezekana ni moja katika maisha ya taaluma yako unaisaliti taaluma yako na kwenda kuuliza swali la kijinga kabisa!nilifurahishwa sana na waandishi wa habari wa nje jinsi walivyo uliza maswali critical,hata yule muandishi wa habari wa Congo kwa kweli aliuliza swali la msingi kabisa!sio clap questions kama waliyouliza hawa waandishi wetu walio andaliwa,kwa jana wamejidhihirisha wazi kuwa Watanzania wana haki ya kuwapuuza na kuwadharau hawa waandishi wa habari vilaza (ingawa si wote)!Kwa upande wa aibu kubwa tuliyoipata kutokana na uwezo mdogo na lugha mbovu toka kwa mjibu maswali wetu mpaka kumuacha Obama akiwa anacheka,ilo lilishajulikana mapema!kikubwa ni kua Watanzania tujijengee tamaduni ya kusoma vitabu,kwani usomaji wa vitabu utujengea ukuaji wa uelewa wetu na hata uwezo wa kuongea lugha nyingine pia!!

Tuwekee hapa tafadhali nasi ambao hatukubahatika kuyasikia maswali na majibu kwenye hiyo press conference
 
ha ha ha ha ha ngoja makanjanja waje hapa uone watakavyo kutusi ha ha ha ha, ANY WAY TUBADILIKE JAMANI
 
swali kutoka mwandishi wa uhuru na jambo leo unategemea litakuwa na mantiki ipi?

Mkuu ili ni tatizo kubwa kwa taifa ili,kila sehemu ni siasa,waandishi wa habari walio na uwezo wapo,wao wakaamua kuweka watu wao vilaza,matokeo yake ni aibu kwa taifa,maana mataifa ya nje hawajui kama wale waliouliza maswali jana ni waandishi vilaza waliochaguliwa kwa maslahi ya wachache,watu wa nje watakachojua ni kua huo ndio uwezo wa waandishi wetu
 
Hivi ndivyo mwandishi huyo alivyouliza swali. Nimerekodi maneno kama yalivyo bila kupunguza wala kuongeza kitu.

My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper.

My question is from both of you starting with the President Obama.

President Obama, are you satisfied with the aid that your country provide to Tanzania, especially the MCC.

Second question goes to President Kikwete. Do you believe that USA is doing enough to support our country Tanzania.

That’s all Thanks.​
 
Hiyo ni kazi ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Bwana Salva Rweyemamu!

Ila jitihada zake zilishindwa kumuokoa mkuu asitaabike kukumbana na maswali ya msingi toka kwa waandishi wanaojitambua na wanaheshimu taaluma yao!
 
Jibu la Kikwete:

I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.

There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.

Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.

We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.

With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.

So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.

Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa

But so far so good.

Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...

The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.

We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.

But if they can do more.... please. Hahahahaaa!
 
Shame on you, Salva Rweyemamu! Hivi kwa nini unathubutu kumruhusu KANJANJA wa Jamba Leo kuuliza swali kwenye high profile press conference kama ile? Au tuamini minong'ono kwamba aliandaliwa? Lakini hata kama mliamua kuandaa mwandishi wa kuuliza maswali ya kuwajenga, si mngemuandaa mwandishi mwenye uwezo? Au hawapo? Aibu gani hii!
 
ha ha ha ha ha ngoja makanjanja waje hapa uone watakavyo kutusi ha ha ha ha, ANY WAY TUBADILIKE JAMANI

Mkuu ni kweli,ilo jambo nalitarajia sana,ila hata wakinitukana haitasaidia,maana matusi hayatakua na ukweli kwangu,na wao ujumbe utakua umefika!unajua always matusi na kejeli ndio uwa silaha ya mtu mjinga na asiyekubali kukosolewa na kubadilika!so usiogope sana matusi mkuu,maana hayana athari kwa mtu anaejitambua
 
Hivi ndivyo mwandishi huyo alivyouliza swali. Nimerekodi maneno kama yalivyo bila kupunguza wala kuongeza kitu.

My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper.

My question is from both of you starting with the President Obama.

President Obama, are you satisfied with the aid that your country provide to Tanzania, especially the MCC.

Second question goes to President Kikwete. Do you believe that USA is doing enough to support our country Tanzania.

That’s all Thanks.​

Mchami

Asante kwa umakini wako mkuu. Umenukuu sahihi kabisa.
 
Jibu la Kikwete:

I... I think the... the issue of satisfied with MCC should have com... should have been asked me.

MCC has been great assistance from the United States government to the people of Tanzania.

There are three.... three... three sectors here. There is the road sector. And the good thing about the MCC is that we decide on the..... on the areas or sectors that we need assistance. But even we decide on where. For example in the case of roads. There are roads that we spo.... we talked to many donors, who were not ready to support us. But when... when you said there is going to be support on roads I said "Let's try these roads, let's see what the American are going to say." The American said fine, if you think you need these roads fine, we will give you the money.

Those fellow Tanzanians know Namtumbo-Songea-Mbinga, Tunduma-Sumbawanga, Tanga-Horohoro, the roads in Pemba. But we chose those roads because, these roads are actually in our bread basket area. This is where we get the corn: Ruvuma, Rukwa and Mbeya.

We decide.. we chose the US to assist us to increase water supply in Dar es Salaam. It is our decision. The project is now being implemented.

With electricity we said, one of our biggest problems is access to electricity for people in the rural areas. The US said fine. We have m m .. in grid 10 regions of Tanzania. Coverage of electricity has increased from 10% to 21%, is phenomenal increase.

So I want to underscore the fact that I am satisfied with the support from MCC.

Is US doing enough? The US has done a lot, but if I say they have done enough, then the President will not listen to my new requests... hahahahahaaaaaaaaaaaa

But so far so good.

Deaths from malaria have declined by over 50%, infant mortality rates have declined, HIV infections have declined. Through PMTCT (Prevention of Mother to Child Transmission) more children born by HIV infected mothers are born free of the disease. More people now...

The US has supported us now with over 2 million books. And today I asked the president we want another 2.4 million and he said we will ... to .... and I see from their face that they are in agreement with the president. So that when it comes to science and mathematics books, we will have every Tanzanian child .. have a book of his or her own, instead of the ratios that we are talking today 5 to 1 now reduced to 3 to 1. So the list is endless.

We have a lot of support, we are very appreciative, we are very thankful, it has really helped changing the lives of our people.

But if they can do more.... please. Hahahahaaa!

Teh teh teh!lugha gongana + kukimbia midahalo ndio matokeo yake haya!
 
U have my salute for today.
 
Kwa aibu ya jana walioileta waandishi wetu wa habari juu ya maswali ya kitoto kabisa waliyomuuliza Rais wa Marekani Barrack Obama,ni wazi kua sasa imefika wakati wanataaluma hawa wajitafakari mara mbili,na waache kutumika ili hali wakijiweka uchi wa mnyama,kudharaulika na kupuuzwa kupita kiasi na jamii ya ndani ya nchi na hata jamii ya kimataifa!press conference ya jana imeonekana dunia nzima,alafu muandishi wa habari unapewa nafasi ambayo inawezekana ni moja katika maisha ya taaluma yako unaisaliti taaluma yako na kwenda kuuliza swali la kijinga kabisa!nilifurahishwa sana na waandishi wa habari wa nje jinsi walivyo uliza maswali critical,hata yule muandishi wa habari wa Congo kwa kweli aliuliza swali la msingi kabisa!sio clap questions kama waliyouliza hawa waandishi wetu walio andaliwa,kwa jana wamejidhihirisha wazi kuwa Watanzania wana haki ya kuwapuuza na kuwadharau hawa waandishi wa habari vilaza (ingawa si wote)!Kwa upande wa aibu kubwa tuliyoipata kutokana na uwezo mdogo na lugha mbovu toka kwa mjibu maswali wetu mpaka kumuacha Obama akiwa anacheka,ilo lilishajulikana mapema!kikubwa ni kua Watanzania tujijengee tamaduni ya kusoma vitabu,kwani usomaji wa vitabu utujengea ukuaji wa uelewa wetu na hata uwezo wa kuongea lugha nyingine pia!!

Mwandishi na mtangazaji wa kweli wa kitanzania hawezi alikwa kwenye confres kama ile,mana wanajua wataumbuka
waloenda ni makanjanja na vibaraka vya serikali
 
hapa ni kweli_tatizo lipo......hata kama watatoa mapovu...mwandishi wa Jambo Leo_gazeti ambalo hata sijawahi kulishika_achia mbali kulisoma.
 
Mods sidhani kama hii thread mmeitendea haki kwa kuiweka huku!nadhani ilitakiwa kuwa kwenye jukwaa la siasa!ni mtazamo lakini
 
Mkuu ili ni tatizo kubwa kwa taifa ili,kila sehemu ni siasa,waandishi wa habari walio na uwezo wapo,wao wakaamua kuweka watu wao vilaza,matokeo yake ni aibu kwa taifa,maana mataifa ya nje hawajui kama wale waliouliza maswali jana ni waandishi vilaza waliochaguliwa kwa maslahi ya wachache,watu wa nje watakachojua ni kua huo ndio uwezo wa waandishi wetu
Mkuu, naomba swali la Ambilikile na Jibu la Kikwete uyaweke hapo juu kwenye post ya kwanza.
 
Mie siku si nyingi ntakuwa raia wa Rwanda, kwani mi aibu naitaka....
 
Hivi ndivyo mwandishi huyo alivyouliza swali. Nimerekodi maneno kama yalivyo bila kupunguza wala kuongeza kitu.
My name is Peter Ambilikile from Jambo Leo Newspaper.

My question is from both of you starting with the President Obama.

President Obama, are you satisfied with the aid that your country provide to Tanzania, especially the MCC.

Second question goes to President Kikwete. Do you believe that USA is doing enough to support our country Tanzania.

That's all Thanks.​
ni kuomba omba tu, je ni lini nchi kama nchi itaweza kujitegemea yenyewe!! mtasaidiwa mpaka lini? haya maswali yaliandaliwa nani aane kuuliza na aulize nini
 
Back
Top Bottom