Waandishi wa habari mnatukosea

Waandishi wa habari mnatukosea

Utasikia..... "Uhuuuuru!!! Afu mwengine anamalizia... Mwangaaaa wa Ja
Wanaleta uchale kwenye mambo ya maana.. kwa hizi media zetu Leo ukitaka kusikiliza habari za kiuchumi hujui usikilize radio gani, kwenye habari za siasa uchawa ndo umejaa. Hawauliz maswali ya msingi, ni mwendo wa kusifu na kuabudu.
 
Ni kweli fani ya utangazaji imevamiwa. Watangazaji ni wanatangaza utumbo mtupu. Watoto wa miaka ya 90 ukiwambia huu sio utangazaji ni utumbo, wanakujibu wewe mzee ndio hujui watangazaji wako vizuri sana.
Utamsikia mtangazaji anasema "Musa Camara ameisadia Simba isipoteze mechi ya leo" jee ni kweli Camara amesajiliwa Simba kwa ajili ya kutoa msaada.
Au utamsikia mtangazaji..Kipa wa Yanga Diarra ameruhusu magoli matatu dhidi ya Tabora. Hivi ni kweli kipa anaruhusu kufungwa magoli!!
Watangazaji wengi hasa kwenye hizi online tv ni pasua kichwa, hawajui hata matumizi sahihi ya maneno ya kiswahil.Kuna mmoja aliniacha hoi wakati wa msiba wa Pembe. Alimhoji Senga eti hatimaye umeweza kufiwa na na rafiki wako wa muda mrefu. Pia hawa wa michezo hawajui matumizi sahihi ya maneno tegemezi na tegemeo, wanayachanganya sana
 
Inawezekana changamoto kubwa ikawa elimu, na hasa elimu tu ya sekondari. Wengi ni wale four za mwisho then wanakimbilia vyuo vile vya D 4 kufata certificate ya Journalism
 
Watangazaji ni kama wale wa BBC Swahili,DW Swahili...Yani unasikiliza vitu vimejipanga vzr...eti huku " wazee wa minyama" kule wakina masanja, Bora kidogo clouds wakina kipanya and the crew.

Hao wakina kitenge,zembela ,masanja and alike siwezi wasikiliza inikute tu sehemu wame tune na sina namna,kama kuzikuta movie ya mkojani kwenye basi inakubidi tu.
 
🤣🤣🤣 baada ya miaka fulani, hizi redio zitakufa. Zitakosa wasikilizaji.
 
Hivi ili uwe muandishi wa habari, mtangazaji au mhariri unapaswa kupitia hatua zipi??

Wiki iliyopita king'amuzi chetu cha Azam kiliisha. Nikawasha redio kuisikiliza mechi ya Simba na Singida.
Mara nikasikia sauti ya mzee wangu ikinambia " tafuta kituo kingine, hao watangazaji stori ni nyingi". Nikabadili chap, nikafika kituo kingine, napo yalikuwa yaleyale.

Mtangazaji: Ni mechi nzuri ya kuvutia. Mpira unapigwa haswaaa au unasemaje mchambuzi wangu (YYY)

Mchambuzi: Exactly, Ni kweli mbungi linapigwa, exposure kubwa na confident ya wachezaji iko high hii inaonyesha samani ya ligi yetu. Ligi inawachezaji wengi experiencing ambao wamepata experienced kutokana na a alot of an international matches.(🤣🤣🤣🤣🤣🤣)

(Wakati wakiendelea na stori zao, na vingeleza vya uongo, mara tukasikia kelele kwa jirani. Tukaamini kuna tukio limetokea. Labda goli au mtu amekoswakoswa lakini sisi hatukujua lolote)

Ghafla tukasikia mtangazaji anasema " Singida wanapoteza nafasi ya wazi hapa, alikua Rupia, alipiga shuti kali sana lililipita mita chache tu, Camara alisimama akishangaa kama mbwa aliyepotea, anahema kwa kasi sana hapa.(🤣🤣🤣)

Kumbe ile redio tulikuwa tunasikiliza wengi, maana baada ya kauli ile ya mtangazaji tulicheka kwa pamoja watu wengi tuliokuwepo nyumbani. Baada ya hapo hatukuendelea na kuufatilia mpira, mada ikaanza.

Dadangu mmoja alisema hivi " bora hao wa mpira, wanapiga stori zao lakini ni za mpira huo huo, kuna hawa wa kusoma magazeti redioni asubuhi, ni makelele tuu" akatoa mfano

M1: Mwananchiiiiiiiiiiiiiiiii
M2:Unasema ??????
M1: Mwananchiiiiiiiiiiiiiii
M3: Gazeti la Mwananchi linasemaje?????
M1: Ujue wananchi wanaokaa pembezoni mwa mbuga wanapata changamoto nyingi sana.
M2: kwanin??
M1:Gazeti la mwananchi linasema. Wananchi Simiyu walalamikia tembo.
M3: Walalamikia tembo??? Tembo wakale wapi?? Kwani tembo wanalima?? Mimi ningekuwa tembo na ningesikia hizo tuhuma ningewafata hao watu wangenikoma.
(Waandishi wote wanacheka) wanaamia gazeti lingine.

Kuna gazeti moja kubwa kwenye ukurasa wa mbele liliandika IJP amefanya mabadiliko kikosi cha usalama barabarani, badala ya kusema IGP. Unajiuliza aliyeandika hivi ni nani?? Gazeti halina mhariri ?? Unabaki kushangaa.
Huko kwingine siingilii, lakini IJP ni sawa na IGP ni sawa;
-IJP ni Inspekta Jenerali wa Polisi (Kiswahili)

+ IGP is Inspector General of Police (English)
 
Waandishi wa habari Tanzania ni shida, kwao kila kitu ni tukio ama fursa ya kufanya vituko hewani.
 
Nako huko Youtube kuna kikatuni kimoja kinatangaza kwenye Simulizi za watu, yaani jamaa ni full vituko, anaweza kutoa historia ya mtu fulani ama kitu fulani lakini ni uwongo mtupu. Na kwa kuwa watanzania si wasomaji, wanaamini kila uwongo wake. Pia kuna huyu mdada aitwaye Veronica "Simulizi" - mdada anaboa kishenzi, mwanzoni alianzaga vizuri kutoa simulizi baada ya kupata wafuasi anaanza mashauzi ya kijinga kabisa na watu wanashindwa kumwambia ukweli ili umsaidie. Mdada kutangaza kishasahau sasa ana act redioni, anaboa na kiingereza chake kibovu kila wakati 'you know' au 'Oh Yes' kama anatombwa kwenye sinema ya porno vile, kwa kweli tumemchoka arudi tu kwenye ku-act sinema za ngono za 'Oh Yes, put it in all the way baby'.
 
Back
Top Bottom