residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,020
- 9,609
Mkuu,kwa wenzetu,uandishi wa habari ni moja ya tasnia inayoheshimika sana kutokana na mchango wake kwa maendeleo ya nchi husika. Kweli huko nchi nyingine ni muhimili muhimu sana sana wa dola. Kwa TZ,uandishi wa habari ni sawa na polisi tu,kazi ya mwisho kwa walioshindwa kila kitu. Waandishi angalau tuliokuwa tunawategemea akina Paskali,ndio hao hawataki kufanya "uandishi" zaidi ya kuandika habari.