Waandishi na wahariri ni wakati wa kuimulika Simba Trust

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,325
2,000
Waandishi na Wahariri sasa muimulike hii kampuni na atakaejitokeza kuwaziba midomo na nyini mmnyime front pages katika magazetu yenu.

Ifike mahali mbadikike na muwe na msimamo sio wao kila siku kuwasetia agenda na kuwapa coverage tena kishabiki.
 
Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,943

Waandishi gani unawazungumzia? kina Kubenea? IPP, Mtanzania? Uhuru? Tanzania hakuna waandishi wa habari sijui hivyo vyuo vinafundisha nini. Mkurugenzi wa TAKUKURU alipomaliza mazungumzo na waandishi wa habari aliwauliza kama kuna maswali, majibu unayajua mwenyewe.

Hili ombi unalowapa waandishi wa habari utapata udaku na majungu na hear say hakuna waandishi wa habari kama vile tusivyo na wanasheria wazuri serikalini. Hii ni lana mmoja ya taifa letu. Yule mkurugenzi kama angetoa ile taarifa hata Kenya angeomba akimbie maana mafuriko ya mswali yangemfanya akose mpaka majibu ya maswali.
 
Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,337

Yani jana ndo nilishangaa sana... mtu mpaka anabembeleza kuulizwa maswali watu wamenyamaza. Ni tatizo la kuwa na waandishi wasiofatilia mambo ya kitaifa!!!

Ingekuwa press ya Diamond au Wema ingechukua zaidi ya lisaa, wasingekosa maswali ya kuuliza!!!
 
ha ha ha ha
kweli umesema la maana hawa waandishi wetu wanaandika kwa udaku mambo ya maana. 10 Downing street May anakimbia maswali, 1600 Pennsylvania Avenue , Trump analimwa maswali bila kuomba.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,519
2,000
Hawa waliniboa sana jana kwenye press conf. Yaani wameenda hata maswali hawakuwa nayo kabisaaaaaa.

Alichosema Mh. Mwakyembe kuhusu ufanyaji kazi wao hakukosea.

Wanaukizwa mna maswali wakakosa wamekaa wanakodoa macho na kuuliza mawili haya hayana kichwa wala miguu. Timu ya Takukuru imeondoka wamebaki wanasikika wakiuliza ndio tumemaliza!!!

Wanatia aibu, sijui mani anawaajiri na yote yapo, ulikuwa muda wao kuwapiga maswali hadi wakimbie viti vyao...

Hii nchi tusiilaumu serikali, wajilaumu wasio jua jinsi ya kufanya kazi zao. Yaani wajiongeze ni aibu kesi kubwa wanabaki kimya sijui walienda pale kufanya nini... inasikitisha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom