Waandishi na wahariri ni wakati wa kuimulika Simba Trust

Mkuu,kwa wenzetu,uandishi wa habari ni moja ya tasnia inayoheshimika sana kutokana na mchango wake kwa maendeleo ya nchi husika. Kweli huko nchi nyingine ni muhimili muhimu sana sana wa dola. Kwa TZ,uandishi wa habari ni sawa na polisi tu,kazi ya mwisho kwa walioshindwa kila kitu. Waandishi angalau tuliokuwa tunawategemea akina Paskali,ndio hao hawataki kufanya "uandishi" zaidi ya kuandika habari.
 
Waandishi na Wahariri sasa muimulike hii kampuni na atakaejitokeza kuwaziba midomo na nyini mmnyime front pages katika magazetu yenu.

Ifike mahali mbadikike na muwe na msimamo sio wao kila siku kuwasetia agenda na kuwapa coverage tena kishabiki.
Wewe front page iko kibiashara zaidi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom