Waalimu wa kike (NGTs)

Waalimu wa kike (NGTs)

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
376
Reaction score
265
NEW GENERATION TEACHERS nawakubali sana ukiachana na kwamba nyie ni watumishi pia mnabusness oriented mind.

Mnajituma Sana kukijenga kiuchumi, Mungu azidi kuwaongoza katika shughuri zenu. Nyie ndio walimu, ndio wafugaji,wafanyabiashara ya mazao,etc Mnafanya mengi I appreciate that to the fullest.

Lakini kuna dada zetu baadhi (new generation teachers) wazee wa per month regain mnaidhorotesha hii taaluma yetu mko very cheap, very very cheap.

Mnaona kufuga kuku ni kujidharirisha, kuuza barafu sio hadhi zenu, ila kutembea na bodaboda kukwepa gharama ya usafiri elfu ni heshima kwenu na mmepunguza matumizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mko completely hopeless dating too much men just to solve your financial problems hakuna utajiri wa hivo. Pesa yako Ni tamu kuliko pesa ya kupewa (Ni maisha yenu ila nimeona niongee wakusikia wasikie)

Boda boda wameokota dodo kwenye mnazi wanyeviti wa vijiji, baba mwenye nyumba, mangi dukani.

Kuwa hudumia wote hao it's very easy than making you own money!!!?[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] Hapana Bado Sina imani na hili

Binti alikuwa mzuri kipindi Yuko chuoni very expensive one lakini kaanza tu kazi ameshakua mke mdogo wa mganga, kimada wa boda boda, mchepuko wa muuza maziwa mke wa mwenyenyumba,kisa TU kukwepa gharama za kuishi mwenyewe.

Richness isnt sexual transmitted disease,try to creat you legacy jishughurishe weka pembeni hadhi unayohisi unayo ambapo kimsingi huna make you are own money.

Unapotaka kuwabebesha watu majukumu yako na wao watakubebesha shida zao.utabaki kuwa msomi mjinga tu,utawaona wenzio wanaouza barafu Kama walifanya uamuzi sahihi na wewe ulikuwa mjanja mjinga

Tumechoka kuona uneducated people wanajisifu kwamba wanawalea educated ones
Kweli Mwalimu wakike umeshindwa kuanzisha biashara itakayokupa nauli ya Kila siku, Kodi, chakula, mavazi !??

Sasa SI Ni bora usingesoma maana namna unavyotatua matatizo yako huna tofauti na asiyesoma kabisa

Umalaya uonekane ni tabia yako, ila sio kisa ualimu na udogo wa mishahara ndo umekupelekea huko huko Ni kutuchafulia taaluma tukufu.
 
Umalaya na udangaji Ni tabia binafsi ya mtu.

na isihusishwe na profession?

Ukiona mwalimu au mtumish yeyote anadanga, ujue kaanza zamani.
 
Pole Sana ndugu,unataka kutuambia mganga na bodaboda wamepita na shemeji yetu yule teacher?

Muachie Mungu tu tafuta mwingine hata doctor,muuza genge

Ndio ukubwa huo .
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...

Ngoja waje kujitetea...
 
Ok ujumbe umefika, ila unahisi profession ya mtu na tabia vinahusiana? Hamna wahasibu, bankers, nurses nk wanaojirahisisha pia? Why teachers only? Nadhani utushauri wote tu wenye tabia hiyo bila kujalisha professions mkuu. Tutajirekebisha lkn.
 
Maandishi yamejaa maumivu

Nipende kutoa pole kwa mhusika
 
Bora ungewasema watu wote ke na me..maana kuna me sasa hv wametuzidi aise..khaaa🥺
 
Back
Top Bottom