La Roche
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 235
- 455
Thamani HUTENGENEZWA!
Vitu vyenye Thamani HAVIPATIKANI KWA URAHISI,na hata vikipatikana Bei yake hairuhusu KILA MTU kuvimiliki.
Ukiijua Thamani yako huwezi KUZAGAA-ZAGAA TU MTAANI...Ukijijua wewe ni nani HUTAKUBALI kupelekwa-pelekwa na upepo na kupotezewa muda na Fala Yoyote...Ukijijua wewe ni wa thamani kiasi gani HUWEZI KUPANGIWA BEI YAKO na mtu mwingine...Ukijijua thamani yako HUTATISHWA pale Wanaokuamini watakapokuwa Wachache..
Kuna watu MISHAHARA YAO ni Midogo kwa sababu tu HAWAJUI THAMANI YAO,ameenda kwenye INTERVIEW akaambiwa,"Kutokana na Salary Structure yetu tutakulipa MILIONI 1 KWA MWEZI" na yeye akakubali "SALARY STRUCTURE" kwa sababu tu ANA SHIDA YA KAZI...Shida zisikufanye USHUSHE THAMANI YAKO...Kama unaamini Thamani yako ni MILIONI 5,Usikubali chochote chini ya hapo...By the way WHO THE HELL ARE THEY KUJUA THAMANI YAKO NA KUKUPANGIA MSHAHARA???Wanajua una SKILLS kiasi gani??Wanajua una AKILI za watu wangapi??Wanakujua??Waambie Laivu,*** YOUR STRUCTURE,Mimi siishi kwenye SALARY STRUCTURE YENU,Mimi Nina Value yangu..You either MATCH IT Or FORGET ME...Sio unatajiwa Mshahara unaSIGN mkataba kama UNAHURUMIWA,Utapangiwaje Value yako na HR??
Kuna watu waliamua Kujiajiri sio kwa sababu KAZI HAMNA,ila ni kwa sababu Wenye Kazi WALISHINDWA DAU LAO...Huwezi kubali UCHUKULIWE POA kisa NJAA..Waache walio Cheap wachukuliwe,Wewe Tunza Thamani yako na Ufanye Vitu Exceptional vyenye HADHI YA THAMANI YAKO!
CIROC VODKA ni Expensive Dunia Nzima na Haipatikani Kiurahisi hata Madukani,na Wanywaji wake ni Wachache ila P.DIDDY haogopi na wala hana mpango wa kuishusha bei ili WATEJA WA CIROC WAONGEZEKE.
Castle LITE ziko Kila Mahali na zinauzwa BUKu mbili tu.., Konda,Mvuta bangi,Meneja,wote wanaweza kujichanga wakanywa..Uamuzi ni wako,uwe Expensive kama CIROC au Kila Mtu akununue kama Castle LITE...Uamuzi ni wako!
Are you CIROC or KIROBA??