waalimu muache kutongoza wanafunzi tena wadogo,tunawalipua tu apa

Mwalimu anagawa hadidu za rejea
Mwalimu anataka kumfundisha jiografia kwa vitendo, si mnaona tufe hilo hapo jamani.. Aliaanza na Tropiki ya kansa sasa yupo Ikweta maeneo yenye jua na joto kali, misitu mizito na watu wake mara nyingini weusi ili kujikinga na miale ya jua, baadaye atahamia Tropiki ya Kaprikoni. Hapo kosa liko wapi au hawataki mwalimu atumie vielelezo? Wakigoma wanalalamika wakifundisha wanalalamika.
 
Tropiki ya kansa?? umemaliza yote mkuu
 
Japo wanaigiza lakini katika fani ya ualimu kuna shida sana hasa kwa vijana,na wanapata mitego mbalimbali toka kwa hawa mabinti pale wanapopevuka.
 
Mwalimu anataka kumfundisha jiografia kwa vitendo, si mnaona tufe hilo hapo jamani.. Aliaanza na Tropiki ya kansa sasa yupo Ikweta maeneo yenye jua na joto kali, misitu mizito na watu wake mara nyingini weusi ili kujikinga na miale ya jua, baadaye atahamia Tropiki ya Kaprikoni. Hapo kosa liko wapi au hawataki mwalimu atumie vielelezo? Wakigoma wanalalamika wakifundisha wanalalamika.

jiografia ndio zinafundishwa hivo,au ni wale waalim maarufu kama voda fasta,waliofundishwa ualimu mez mmoja na kuingia mzigon
 
<dl class="userstats">Join Date : 9th August 2011
Location : Paradise
Posts : 635
</dl> <dl class="user_rep">Rep Power : 489
</dl> <dl class="vbseo_like"><dt>Likes Received</dt><dd>87</dd>
<dt>Likes Given</dt><dd>43</dd>
</dl>
 
Ndo zenu waalimu mnaaribu dada zetu

Hiyo ndio teaching allowance we unafikiri kwa mshahara huo unaweza afford gharama zote za maisha na Kugharamia demu... Kila Mtu atakula ofisini kwake
 
hapo mi sielewi kama ni kweli maana hata kama
ni uzinzi hauwezi kuwa hapo bwaloni kwani
kwani waalimu hawana ofsi ila mabwalo"staff room"
 
Tatizo la kumjengea kila mwalimu office yake, ingekuwa ni office ya walimu wote asingefanya huu ushetani. Au yeye ni mkuu?
 
Hiyo ndio teaching allowance we unafikiri kwa mshahara huo unaweza afford gharama zote za maisha na Kugharamia demu... Kila Mtu atakula ofisini kwake
mwanfunzi =jaman mi naogopa
Ticha= aaah kwan unamiaka 12 bwana
 
Back
Top Bottom