waalimu muache kutongoza wanafunzi tena wadogo,tunawalipua tu apa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waalimu muache kutongoza wanafunzi tena wadogo,tunawalipua tu apa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Money Stunna, Oct 11, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  walimu.jpg

  waalimu muache hii tabia,nitakuwa nawalipua tu apa jamii ione
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Uhusiano wako na hawa wawili ni upi hadi wakuruhusu uwapige picha? Halafu una uthibitisho gani kuwa huyo ni mwalimu na yule mwingine ni mwanafunzi? Kama ni mchezo wa kuigiza je?
   
 3. J

  Jalem JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni Lulu na muigizaji mwenzie, uwezo wakuchukua picha bila kujiandaa na fumanizi kama hizi haupo kwetu,inaonyesha aliyetuma habari hii anaagenda yake lkn siyo kweli kabisa unaweza chukua picha kwa kuwakuta watu wawili bila ridhaa yao.
   
 4. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  huo ulikuwa mtego,kuna mwanafunz alikuwa analalamika kutongozwa sana na kusumbuliwa na mwalimu,na kama unavyojua mahakaman bila ushaid ni sawa na kumpigia mbuzi gitaaa,mtego ukasukwa ikiwemo binti kupewa vifaa vya kurekodi sauti,na kuna mwanafunz akapewa kikamera kidogo awe anawafotoa bila kujua kwa ustad,umeelwa sasa
   
 5. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  love scene
   
 6. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Ndo zenu waalimu mnaaribu dada zetu
   
 7. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Hapa uhalisia wa tukio hakuna, ni kitamthiliya zaidi na huyo jamaa anayeonekana hapo ni Senzige.

   
 8. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Umenichekesha kweli Mtoboasiri, mchezo wa kuigiza lol
   
 9. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mtoboasiri tunajua wewe ni mwalimu,nimekugusa pabaya
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hii inawezekana. hiyo mbona inapigwa tu?? mia
   
 11. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Kumbe ni mwalimu. Au na yeye anafanyaga maigizo na wanafunzi? mtoboasiri tusaidie kuwalinda watoto wetu shuleni ee jamani.
   
 12. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Senzige yupi grafani11?
   
 13. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mtoboa siri analinda siri za walimu,wakat tunazijua
   
 14. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata kama ni mchezo wa kuigiza lakini ujumbe si ndio unamata,sio kila kitu lazima tubishe,halafu hata kama sio mwalimu lakini si mtu mzima na huyo si mwanafunzi?
   
 15. baba junior

  baba junior Senior Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  dada zako wangapi wameharibiwa?**** kwel ww.
   
 16. baba junior

  baba junior Senior Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  stop generalizing,ndugu zako wangap wamefanyiwa hvo.?
   
 17. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Tumuombee.
   
 18. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Unamkumbuka yule msanii wa maigizo aliyefariki kwa kuangukiwa na Kontena maeneo ya Kimara, sasa huyu ni ndugu yake anachekesha Balaa? Wakati akiwa anasoma chuo cha sanaa Bagamoyo aliwahi kucheza tamthiliya moja inayohusu madawa ya kulevya kama Rama.
   
 19. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #19
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Ahaaaa, ahsante kwa kunielewesha.
   
 20. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #20
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Mwalimu anagawa hadidu za rejea
   
Loading...