Waalimu mnakera sana!

Waalimu mnakera sana!

Kwa bahati nzuri au mbaya nina watu wa karibu waalimu wengine shule za msingi wengine shule za sekondari.
Kwakweli nakereka sana juu ya tabia za waalimu makazini
Hawa watumishi hawapendani wao kwa wao,ni watu wa majungu kila siku,hawana ushirikiano,wamejawa wivu hata kifikia mahali pa kuoneana wivu wa mavazi
Wengine kujipendekeza kwa walimu wakuu na wakuu wa shule ilimradi tu mwingine aonekane hafai
Mitaani ndo usiseme dharau kwa wanakijiji hasa wakina dada / waalimu wa kike
Hii inanifanya niamini waalimu wa siku hizi hawana wito maana hata tabia zao si za kuigwa na ndio sababu walimu wengi wanaishia kula na kuvaa wengi wao maisha ni duni mpaka wanapostaafu na wakistaafu hawafanyi chochote cha maana kwakuwa na ushirikiano duni na jamii
Wito wangu kwenu waalimu badilikeni ili sekta ya ualimu iheshimike kwa kuanza kuiheshimisha wenyewe
Watu na tabia zao ni ngumu kuwabadilisha
 
Hakuna kusikokuwa na majungu kuanzia kweny uongoz,siasa,huduma za afya,elimu na hata kweny masuala ya kidin.Usipende kukalil na ucpende kuandika vitu ucvyovfanyia uchunguz pande zote na ucjdanganye na fikra zako finyu eti walimu wanaish maisha,ww maisha dun unayajua?Uctafute kick maana wakat wake umekwisha.Mind your business.Nonsense
 
Ndo raha ya jf, maisha laiti yangekua kama tunavyojinasibu jf tungekua mbali sana

Humu wote tuna hela ,na ni wajuzi wa mambo .

Kuna watu eti sehemu wanazoshinda mwalimu hawezi, labda ajichange Mwaka mzima??????

By the way msikariri, maisha yamebadirika ,walimu ni duni ndio lakini sio kama zamani,

kuhusu tabia za walimu ,sio kweli kuwa walimu wako hivyo, Ila ni hulka ya binadamu ndio iko hivyo, inaonekana sana kwa walimu kwakua wapo wengi,
 
Mpaka mtu akudharau inategemea na mwalimu mwenyewe
Kwafaida yako mtoa mada nikua kila mtu anahaki ya kuishi anavyotaka pia haki hiyo inahusu haki ya kua na marafiki anaotaka,kuishi anapopataka kubwa zaidi ni kutumia fedha zake namna ayoitaka.Sasa bas mtoa mada kama kila mtu anze kumamlia mwenzake marafiki wa kua nao je hiyo sio dharau au Mahali pakuishi au namna yakutumia hela zake je hizo sio dharau,? Kwahiyo mtoa mada kama unataka tuishi hivyo ujue na wewe mwenyewe hautakua salama..Kwahiyo mtoa mada unatakiwa upromote liberty(uhuru binafsi) Nahayo.yasema basi yawe nikurekebishana ili kupanua liberty na sio kuidumaza
 
Mkuu mimi sijawahi kufikiri kumtongoza mwalimu au ningetaka ningeisha fanya maana zipo njia nyingi za kumpata mwalimu kutokana kuwa wengi wao wana maisha magumu hatari
Kwa kifupi sina mahali naweza kutana na mwalimu maana ninapoweza kwenda kubarizi mwalimu hana uwezo wa kufika labda ajichange mwaka mzima.
Sanasana tunaonana wakifika niwakopeshe sukari 'unga na chumvi au nauli wakafuate mshahara vinginevyo kutokana na tabia zao sio wote sinaga mzuka nao
Ni sahihi kabisa mkuu, Bila shaka hata mwalimu aliyekufundisha kusoma n kuandika nae yuko hivihivi
 
Uwezo wako wa kufikir n mdogo sana tena watu design yako hata kama wana masters bac imepatikana kwa uwezo mkubwa wa kukarir maana akili za darasan zina utofauti mkubwa na maarifa bnafsi ambayo bnadam yeyote anazaliwa nayo na kumfanya awe na vision na self awareness kubwa mfano ancient kings,Queens and scientists.Hiv vitu unavyo kwa kiwango kidogo sana kwa sabab unapokuja mada pana kama hz humu jf inabd uzfanyie uchunguz if it is a major concern for a single institute or wide problem.U almost ruined my day with this fucking post.U hav to watch your mouth sometime coz not all teachers came from poor family or living embarrassly life.Stop these games some day u will find yourself in a difficult moment of life.
 
Kwa bahati nzuri au mbaya nina watu wa karibu waalimu wengine shule za msingi wengine shule za sekondari.
Kwakweli nakereka sana juu ya tabia za waalimu makazini
Hawa watumishi hawapendani wao kwa wao,ni watu wa majungu kila siku,hawana ushirikiano,wamejawa wivu hata kifikia mahali pa kuoneana wivu wa mavazi
Wengine kujipendekeza kwa walimu wakuu na wakuu wa shule ilimradi tu mwingine aonekane hafai
Mitaani ndo usiseme dharau kwa wanakijiji hasa wakina dada / waalimu wa kike
Hii inanifanya niamini waalimu wa siku hizi hawana wito maana hata tabia zao si za kuigwa na ndio sababu walimu wengi wanaishia kula na kuvaa wengi wao maisha ni duni mpaka wanapostaafu na wakistaafu hawafanyi chochote cha maana kwakuwa na ushirikiano duni na jamii
Wito wangu kwenu waalimu badilikeni ili sekta ya ualimu iheshimike kwa kuanza kuiheshimisha wenyewe
Mkuu nipe mawasiliano ya mmoja wapo wa kike natafuta wakuoa.
 
waalimu hawapendani wao kwa wao,ni watu wa majungu kila siku,hawana ushirikiano,wamejawa wivu hata kifikia mahali pa kuoneana wivu wa mavazi
Wengine kujipendekeza kwa walimu wakuu na wakuu wa shule ilimradi tu mwingine aonekane hafai
Mitaani ndo usiseme dharau kwa wanakijiji hasa wakina dada / waalimu wa kike

Mwalimu ni mtu ambaye anaheshimika sana kwenye jamii.
Unachokisema mkuu ni cha kweli kabisa tumeishi nao huku mitaani tumewaona wana nyodo hasa hawa walimu vijana wengi au niseme baadhi wako hivyo *+#,@$?!" zao.
Niliishi nae mmoja nyumba moja alikuwa anakiherehere kweli.
Ndio maana wanavijiji huwa wanawawangia.
kuna wapiga injili wanaitwa VHM wa huku dar huwa wanaendaga vijijini kupeleka injili sikumoja walikuwa wanasimulia jinsi ushirikina unavyowatesa waalimu wa huko vijijini,VHM walikuwa wanaelezea kisa cha mwalimu mmoja akiwa anafundisha watoto walikuwa wanacheka kumbe nguo yake ya ndani ilikuwa inakatwa kishirikina inadondoka vipande vipande ilikuwa kama inakwata na kiwembe au mkasi
 
Mtoa mada ni mpuuzi,kama wapuuzi wengine.Yafaa apuuzwe.Tabia ulizoeleza ziko kwa mwanadamu yeyote,bila kujali kazi yake. Waache walimu wetu,kumwaga hasira zako juu yao hakukusaidii kitu,bali kunaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiria.
 
Hakuna kusikokuwa na majungu kuanzia kweny uongoz,siasa,huduma za afya,elimu na hata kweny masuala ya kidin.Usipende kukalil na ucpende kuandika vitu ucvyovfanyia uchunguz pande zote na ucjdanganye na fikra zako finyu eti walimu wanaish maisha,ww maisha dun unayajua?Uctafute kick maana wakat wake umekwisha.Mind your business.Nonsense
Kuthibisha tabia zisizo za kimaadili katika jamii yoyote ile ni pale unamkuta mwalimu kisima cha maarifa badala ya kujibi/kuchangia hoja kwa hoja anatukana kama huyu!!!!!!!
Argue don't provoke .Kanusha hili tena ukiwa kama mwalimu onyesha uwezo wako to go through different issues bila kutukana
 
Kwa bahati nzuri au mbaya nina watu wa karibu waalimu wengine shule za msingi wengine shule za sekondari.
Kwakweli nakereka sana juu ya tabia za waalimu makazini
Hawa watumishi hawapendani wao kwa wao,ni watu wa majungu kila siku,hawana ushirikiano,wamejawa wivu hata kifikia mahali pa kuoneana wivu wa mavazi
Wengine kujipendekeza kwa walimu wakuu na wakuu wa shule ilimradi tu mwingine aonekane hafai
Mitaani ndo usiseme dharau kwa wanakijiji hasa wakina dada / waalimu wa kike
Hii inanifanya niamini waalimu wa siku hizi hawana wito maana hata tabia zao si za kuigwa na ndio sababu walimu wengi wanaishia kula na kuvaa wengi wao maisha ni duni mpaka wanapostaafu na wakistaafu hawafanyi chochote cha maana kwakuwa na ushirikiano duni na jamii
Wito wangu kwenu waalimu badilikeni ili sekta ya ualimu iheshimike kwa kuanza kuiheshimisha wenyewe
To hell with your poor Swahili writing!
Eti "kifikia"
Kiswahili gani hicho?
 
Uwezo wako wa kufikir n mdogo sana tena watu design yako hata kama wana masters bac imepatikana kwa uwezo mkubwa wa kukarir maana akili za darasan zina utofauti mkubwa na maarifa bnafsi ambayo bnadam yeyote anazaliwa nayo na kumfanya awe na vision na self awareness kubwa mfano ancient kings,Queens and scientists.Hiv vitu unavyo kwa kiwango kidogo sana kwa sabab unapokuja mada pana kama hz humu jf inabd uzfanyie uchunguz if it is a major concern for a single institute or wide problem.U almost ruined my day with this fucking post.U hav to watch your mouth sometime coz not all teachers came from poor family or living embarrassly life.Stop these games some day u will find yourself in a difficult moment of life.
Bado huaelewa somo that's why you are just vomiting useless arguments
Take time to help your fellows for the betterment of all generations
 
Mtoa mada ni mpuuzi,kama wapuuzi wengine.Yafaa apuuzwe.Tabia ulizoeleza ziko kwa mwanadamu yeyote,bila kujali kazi yake. Waache walimu wetu,kumwaga hasira zako juu yao hakukusaidii kitu,bali kunaonyesha jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kufikiria.
Huwa ndivyo mlivyo kila mnayemwona anakuwa na upeo mdogo wa kufikiri mkidhani ninyi mmemaliza madarasa
Kumbe wapo wachoma chipsi wenye masters na bodaboda the same.
Nahisi kuna haja mkajitathmini sio kutema hizi hoja zisizo na mashiko
 
Mkuu mimi sijawahi kufikiri kumtongoza mwalimu au ningetaka ningeisha fanya maana zipo njia nyingi za kumpata mwalimu kutokana kuwa wengi wao wana maisha magumu hatari
Kwa kifupi sina mahali naweza kutana na mwalimu maana ninapoweza kwenda kubarizi mwalimu hana uwezo wa kufika labda ajichange mwaka mzima.
Sanasana tunaonana wakifika niwakopeshe sukari 'unga na chumvi au nauli wakafuate mshahara vinginevyo kutokana na tabia zao sio wote sinaga mzuka nao
Duu inawezekana umezibamba hivi karibuni na umeteka hako kamtaa kako basi unajiona umefika. Ila kwa matajiri ninao wafahamu hawanaga dharau za kishamba kama hizo
 
Back
Top Bottom