mwasita
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 371
- 377
Kama ndio huyu basi atakuwa mpu-****- mbavu sio bure!WONDERS JF
![]()
![]()
we jamaa umenishangaza sana, kumbe n mwl tena asie na ajira, Chuki zako tuu unakuja kubwabwanya humu. Usimuombee mwenzako mabaya ,ila kwa stail hii Ajira utaiskia Mtandaoni.
![]()
Siku zote mtu akituma post ya kipuuuzi cha kwanza n kuangalia Background yake kwanza, Mwisho wa siku naona kile ambacho nilitarajia kukiona
Mwenye akili timamu huwezi kuwa na mambo ya kufitinisha. Kama kweli ni mwalimu basi alichokiandika ndio tabia yake ila ameshindwa tu kusema jamani mimi heavload niko hivi badala yake akaja kwa kofia ya walimu ili aelezee wasifu wake.
Wazazi wa huyu waliuza ng'ombe wao kumpeleka ng'ombe huyu shuleni!
