nimie
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 525
- 104
Mara nyingi waalimu wamekuwa wakilalamika kuonewa katika stahili zao. Kuna wakati walijitutumua kudai kwa msimamo wa nchi nzima. Lakini kwa aibu waliishia kurushiana viatu, mawe, viti wakajisambalatisha kabla ya kusambalatishwa! Nawaambia hivi mkiwa na madai halali komaeni "mzungumze na serikali" kama walivyofanya madaktari.