Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

Fanyiwa sana ata vyuo vingine vipo but ombea usikamatwe........ If unabisha sana karibu sana ifm naomba kama umemaliza walete wengine plz watakusimulia na kama tunapendelewa plz mlete ata ndogo ako au ndugu yake apate iyo GPA kubwa na apate ajira soon my dear very soon daaaah people ar playing ..
 
Kuna chuo kimoja kila mwanamfunzi anayemaliza eti ana GPA ya 4.5, umepataje hiyo? UDSM hiyo sahau.. Hapa nilipo mimi HR anaamini from UDSM only ukifatilia kwa undani kuna kitu ambacho kinamfanya awe hivyo. So fatilia utajua tu mkuu.
Tuwe wazi vyuo gani hivyo ambavyo vinachezea elimu?
 
Kupata first class ifm ni kama upo kwenye mazoezi ya kujiunga na CIA maana huwezi fananisha msako wa IFM kwenye GPA na msako wa CBE kwenge GPA, HUWEZI MAKE COMPARISON IN SUCH MANNER maana hata perfomance ya utendaji ni moja ya nguzo na vigezo vinavyowabeba IFM na UDSM
Mnajipendelea tu mbona hata kupata first class ukiwa TIA ni ishu
 
tunaporudigi september kufanya Sap IFM mnatuonagaa vilaazaaaa mnashangaa mtu anapataje Sap kwenye vyuo venu mnatoka na First class upper second kwnu kawaidaa utamuu wa ngoma uingie ndani uicheze njoo IFM uicheze ngoma hayomakampuni utamu wa ngoma nazani wanaujua ndio mana wana prefer ivyo vyuo lakn all in all hapa town ni connection tu ndugu yangu hata uwe umamalizia havard au Cambridge kama huna connection utasotaa tuu kama mwanachuo wa UDOM
Kwahiyo unakili kunachowabeba IFM na UDSM ni kwakuwa viko town wanapata connection mapema, TIA,CBE TUDARCO, ST JOSEPH hao VIP mbona wako mjini
 
Na wewe usitishie watu kwa vile huyu jamaa ameweka IFM level ya UD ukajidanganya nafahamu watu wa ovyo wengi to wenye IV na 0 za form 6 lakin wazazi walikua na ada za IFM walidahiliwa na sasa hivi wapo kitaa ni wafanyakazi wanatishia watu ni graduates
Unayosoma ni kweli.ila hapo kwenye kupata div 0 akaenda degree labda foundation course kujiunga diploma , hao wako udom tu hata kwetu SJUIT hawapo
 
kama nilikutana na mwanafunzi wa TIA third year Accounting (Tanzania Institute of Accountant) nika muuliza state Three components of statement of financia Position akanitajia Advertisement,salary, and wages acheni IFM wachukuliwee tu jamanii na makampuni hapa Tz.... sammysaideya@gmail.com mwenywewe sema natafuta kazi
Hehehe unadanganya wewe
 
Ndugu mtoa Mada na wadau wengine, katika upande wa Accounting and Finance naomba mfatilie katika chujio la wahasibu lile la NBAA utagundua ya kwamba katika performance, IFM na UDSM ndo zinabadilishana namba katika nafasi 2 za kwanza karibia kila session afu ndo kina Mzumbe na wengne wanafuata. Baada ya hapo ndo ujiulize kwanini waajiri wengi wanawa'select wao.
Tufafanulie zaid hapo maana wengine tumeshajikatia tamaa
 
kama nilikutana na mwanafunzi wa TIA third year Accounting (Tanzania Institute of Accountant) nika muuliza state Three components of statement of financia Position akanitajia Advertisement,salary, and wages acheni IFM wachukuliwee tu jamanii na makampuni hapa Tz.... sammysaideya@gmail.com mwenywewe sema natafuta kazi
Hahahaha...hitimisho limekaa poa
 
Ni ulimbukeni tu,na wanaoandaa hiyo interview ni mizee flani iliyokataa kustaafu,inafanya kwa mkataba.
Kwakuwa ilisoma udsm enzi za chuo kushika hatamu,kama ilivyo mizee ya chama kimoja na mijiroho mbaya yao,haitaki chuo kingine
 
ila nadhani hata kwenye halmashauri nyingi wanafunzi wa T.I,.A wapo wengi tu mkuu
 
Kupata first class ifm ni kama upo kwenye mazoezi ya kujiunga na CIA maana huwezi fananisha msako wa IFM kwenye GPA na msako wa CBE kwenge GPA, HUWEZI MAKE COMPARISON IN SUCH MANNER maana hata perfomance ya utendaji ni moja ya nguzo na vigezo vinavyowabeba IFM na UDSM
Mimi nimemaliza IFM 2015 kati ya watu 390 ya faculty yangu..ni vijana 30 tu wenye upper second na 1 ni first class...
 
Ili tujue zaidi kwa kutuweka saw a zaid ni mwaka gan na mwaka gan wametoka IFM au udsm
Screenshot_2016-08-09-00-08-47.png
 
Wanabodi hii inauma sana na inasikitisha , tokea miaka ya nyuma kila unapoitwa kwenye interview wakiwa wanataka watu wawili au watatu katika fani ya Banking and finance, corporate finance managers, accounting, ukakuta umeenda interview na wahitimu wa ama IFM au UDSM uwezekano wako kupata ni Mdogo

Sisi wa vyuo vingine kama TIA, IAA, SAUTI , STEMUCO, NA VINGINE Tunabaguliwa na ndo maana tunajadiri suala Ili, ukiangalia hakuna jambo lolote wanalotuzid SAA nyingine hata GPA tunawazidi lakin ninashangaa wanakuwa selected tunabaki

Hii nimeigundua na wenzangu, nimeudhulia interviews nyingi na huwa ni kawaida nikimaliza nachukua namba za nilioenda nao interviews jaman ukiwapigia akikwambia nimeitwa nauliza hivi umesoma wapi utasikia UDSM au IFM, nina zaidi ya watu 20 niliowauliza watano tu ndo mmoja alitoka UDOM, wawili SAUTI, na mwingine MZUMBE, lakin waliobaki ni IFM UDSM, yaan tunaumia sana kwa ili rais aliangalie pia

Taasisi zinazowapendelea yaan ukienda utadhan wako shuleni sasa wamehamishwa wanasoma masters kabda kumbe ni kazini yaan taasisi hizi ni ifuatavyo
TANZANIA POSTAL BANK
TRA
TPA
TPDC SECTION OF FINANCE
EQUITY BANK duh hapa ndo wamejaa kote utadhani wamehamishwa darasa
TTCL ,
Vision fund
NBC
NMB
CRDB
DTB

yaan hata wa diploma wanachukuliwa sisi wa degree zetu tunabaki
JAMAN NASISI WWNGINE TUPO MTUANGALIE MAANA MNAPENDELEA SANA VYUO HIVYO UPANDE WA FINANCE NA SIJAJUA VYUO VINGINE KAMA SUA, ARDHI , IRDP, MAANA HAO SIJAWAHI KUTANA NAO KWA INTERVIEW,
Pia najua wapo watakaonibeza na kupinga bila kufanya tafiti fanyeni tafiti ndo muone yaan ni kero sana imenifanya niwachukie hata wanafunzi wa vyuo hivyo maana nao misifa
Hivi kwel na degree yako ya Teofilo Kisanji hata kama ni 1st class unataka kuja kupambana na mimi wa udsm? hata kama mimi ningekua mwajiri tupilia mbal
 
Back
Top Bottom