Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

Nitakupa mfano mimi nilivyopata ajira kampuni flani, tulipitia interview kadhaa kisha tuakabaki watatu. Interview ya mwisho tukaitwa kila mtu siku yake tukawekewa mezani document moja toka kampuni kubwa sana iliyopo USA unaambiwa isome kisha ukiwa tayari sema uulizwe maswali soma hata masaa matatu. Mimi nilisoma 15min kisha nikawajibu nimemaliza na nimeelewa kisha wakaniambia hiyo document ndio kazi unayotaka kufanya kwa hiyo upo tayari kufanya kazi kwa kufuata technical specs hizo? Wakasema tunamkataba na hawa jamaa wa kufanya hii kazi. Nikajibu ndio, jamaa wakaanza kuniuliza kila kitu terms zote na zilizomo humo na how to do it, kisha nikawaambia hata sasa hivi mkinipa computer nafanya hapahapa. Jamaa hapahapo wakafurahi wakasema tulikuwa tunamtafuta mtu kama wewe. wakaniambia kuna wenzio walikuja hapa na mshahara mliotaja unafanana kiasi na yeye CV yake ameandika vitu vingi vizuri, na masoma na kufanya kazi Zambia, Kenya na hapa bongo kampuni kubwa lakini tulipompa hii document hakasema hakusoma vitu hivi ila kwa kuwa nafasi ni ya umeneja basi kazi yake kuwasimamia watu wa chini yake watafanya hii kazi. Wakamtosa. na karibuni nikapanda cheo zaidi nikapata access ya record zetu za CV na interview na vyeti nikaona jamaa kweli alitisha lakini alifeli kwa kushindwa kuielewa kazi anayotaka kuajiriwa nayo.
FUNZO:- GPA yako au kiingereza chako havi msaidii muajiri wako kama vimeshindwa kumwonesha muajiri unaiweza kazi aliyotangaza. Angalizo kufaulu vizuri kunatakiwa tena sana lakini kuendane na uwezo wa kupambanua mambo na sio uwezo wa kukariri tu. wahimize watoto wako au wadogo zako wasome sana GPA ziwe kubwa hii muhimu ila na uwezo wa kuelewa na kupambanua mambo muhimu sana. Bila kusahau kujiamini/confidence muhimu sana sanaaaa.
 
Nimepokea vijana wengi toka hivi vyuo unavyosema yupo mwingine alikuwa anasoma masters alikuwa anashindwa kuandika report au complaint au kuripoti tatizo kwa maandishi ya kiofisi. Hao wa bachelor ndio wengi tu hawajui hizo kazi lakini mkiongea kiingereza anaongea vizuri sana lakini reasoning capacity zao ndi ndogo au pattern recognition yao ni ndogo sana unajiuliza huyu alifikaje chuo? achilia mbali alimalizaje chuo bila kuwa discontinued?
Hapo nimenyoosha mikono lakin vitaje bas
 
Hapo nimenyoosha mikono lakin vitaje bas
Mimi najua wewe unaweza kuwa vizuri zaidi ya hapo ulipo ila kuanzia sasa kwanza jiamini sana kiasi jamaa wanokufanyia usahili uwaaminishe wewe unaweza kufanya hiyo kazi. Pili soma sana vitabu au maandiko mbalimbali yanayohusu taaluma yako huko duniani trend yake ipoje? tatu ukiona tangazo la kazi rudia mara kadhaa kusoma job description zililizopo katika tangazo na usome au ufuatilie zaidi kuhusu hizo description utapata kazi soon. Usiende kwenye interview hasa oral ukiwa umesoma madesa ya darasani pekee (definitions na chai zingine) bila kusoma hizo job description. na ukumbuke CV yako uliandika nini ulipotuma barua ya kuomba kazi.
 
Nitakupa mfano mimi nilivyopata ajira kampuni flani, tulipitia interview kadhaa kisha tuakabaki watatu. Interview ya mwisho tukaitwa kila mtu siku yake tukawekewa mezani document moja toka kampuni kubwa sana iliyopo USA unaambiwa isome kisha ukiwa tayari sema uulizwe maswali soma hata masaa matatu. Mimi nilisoma 15min kisha nikawajibu nimemaliza na nimeelewa kisha wakaniambia hiyo document ndio kazi unayotaka kufanya kwa hiyo upo tayari kufanya kazi kwa kufuata technical specs hizo? Wakasema tunamkataba na hawa jamaa wa kufanya hii kazi. Nikajibu ndio, jamaa wakaanza kuniuliza kila kitu terms zote na zilizomo humo na how to do it, kisha nikawaambia hata sasa hivi mkinipa computer nafanya hapahapa. Jamaa hapahapo wakafurahi wakasema tulikuwa tunamtafuta mtu kama wewe. wakaniambia kuna wenzio walikuja hapa na mshahara mliotaja unafanana kiasi na yeye CV yake ameandika vitu vingi vizuri, na masoma na kufanya kazi Zambia, Kenya na hapa bongo kampuni kubwa lakini tulipompa hii document hakasema hakusoma vitu hivi ila kwa kuwa nafasi ni ya umeneja basi kazi yake kuwasimamia watu wa chini yake watafanya hii kazi. Wakamtosa. na karibuni nikapanda cheo zaidi nikapata access ya record zetu za CV na interview na vyeti nikaona jamaa kweli alitisha lakini alifeli kwa kushindwa kuielewa kazi anayotaka kuajiriwa nayo.
FUNZO:- GPA yako au kiingereza chako hammsaidii muajiri wako kama vimeshindwa kumwonesha muajiri unaiweza kazi aliyotangaza. Angalizo kufaulu vizuri kunatakiwa tena sana lakini kuendane na uwezo wa kupambanua mambo na sio uwezo wa kukariri tu. wahimize watoto wakomna wadogo zako wasome sana GPA ziwe kubwa hii muhimu ila na uwezo wa kuelewa na kupambanua mambo muhimu sana. Bila kusahau kujiamini/confidence muhimu sana sanaaaa.
upo sahihi ila huwezi ku-ignore the fact that GPA ni kivutio kizuri kwa mwajiri, ndio FIRST IMPRESSION, hayo mengine ni personal qualities mtu anatakiwa awe nazo..
 
Mimi najua wewe unaweza kuwa vizuri zaidi ya hapo ulipo ila kuanzia sasa kwanza jiamini sna kiasi jamaa wanokufanyia usahili uwaaminishe wewe unaweza kufanya hiyo kazi. Pili soma sana vitabu au maandiko mbalimbali yanayohusu taaluma yako huko duniani trend yake ipoje? tatu ukiona tangazo la kazi rudia mara kadhaa kusoma job description zililizopo katika tangazo na usome au ufuatilie zaidi kuhusu hizo description utapata kazi soon. Usiende kwenye interview hasa oral ukiwa umesoma madesa ya darasani pekee (definitions na chai zingine) bila kusoma hizo job description. na ukumbuke CV yako uliandika nini uliotuma barua ya kuomba kazi.
Taja vyuo wanavyoshindwa andaa report
 
upo sahihi ila huwezi ku-ignore the fact that GPA ni kivutio kizuri kwa mwajiri, hayo mengine ni personal qualities mtu anatakiwa awe nazo.. FIRST IMPRESSION.
Sasa mimi nakujuza leo zipo kazi nyingi tu wanakuambia usiweke vyeti wala habari za academic results. Tuma Resume / CV yako na cover letter ujieleze kwanini unafikiri wewe unastahili kuajiriwa kazi hii? na hawa ukituma mavyeti yako yenye GPA tu wanakutosa. Pia kuna hao ambao unasema wanaanza kuangalia GPA kisha mengine yanafuata. Inategemea taasisi gani.
 
Taja vyuo wanavyoshindwa andaa report
Nitaku PM maana sio vizuri kuweka hapa unaweza kuwakatisha tamaa watu. Maana hili ni tatizo la mtu mmoja mmoja binafsi sio chuo, sasa jina la chuo ilinahusika kwa sababu kuna vyuo vinapokea watu wenye sifa dhaifu za udahili yaani waliotemwa vyuo vingine kutokana na ufaulu wao. sio kusema wote walio ingia hivyo vyuo ni dhaifu.
pia wengine walifaulu vizuri form 6 lakini wakienda hivi vyuo wanaachiwa uhuru sana wa mitihani rahisi au cheating au marks za mezani za course work wanapata almost zote hivyo wanakuwa hawana ile hali ya upiganaji.
 
Katika nchi yoyote lazima kuwe na chuo namba 1, pale oxford tz, palikosa Medicine baada ya muhas na uclas na sua kujitoa, ili kuendeleza standards hizo kozi zote zimerudi. Hongera CKD au oxford ya Tanzania.
 
Ushamba unatusumbua Watanzania wengi, Kuna watu hawajui Kuna chuo kikuu kingine Tanzania tofauti ya UDSM, tena wanaita mlimani. Competence haina uhusiano na chuo alicho soma MTU, Hawa Hawa wanaomuangusha Rais kiutendaji ni products za UDSM, waape fursa watu kwa kuangalia degree of competence not chuo.
 
Wanabodi hii inauma sana na inasikitisha , tokea miaka ya nyuma kila unapoitwa kwenye interview wakiwa wanataka watu wawili au watatu katika fani ya Banking and finance, corporate finance managers, accounting, ukakuta umeenda interview na wahitimu wa ama IFM au UDSM uwezekano wako kupata ni Mdogo

Sisi wa vyuo vingine kama TIA, IAA, SAUTI , STEMUCO, NA VINGINE Tunabaguliwa na ndo maana tunajadiri suala Ili, ukiangalia hakuna jambo lolote wanalotuzid SAA nyingine hata GPA tunawazidi lakin ninashangaa wanakuwa selected tunabaki

Hii nimeigundua na wenzangu, nimeudhulia interviews nyingi na huwa ni kawaida nikimaliza nachukua namba za nilioenda nao interviews jaman ukiwapigia akikwambia nimeitwa nauliza hivi umesoma wapi utasikia UDSM au IFM, nina zaidi ya watu 20 niliowauliza watano tu ndo mmoja alitoka UDOM, wawili SAUTI, na mwingine MZUMBE, lakin waliobaki ni IFM UDSM, yaan tunaumia sana kwa ili rais aliangalie pia

Taasisi zinazowapendelea yaan ukienda utadhan wako shuleni sasa wamehamishwa wanasoma masters kabda kumbe ni kazini yaan taasisi hizi ni ifuatavyo
TANZANIA POSTAL BANK
TRA
TPA
TPDC SECTION OF FINANCE
EQUITY BANK duh hapa ndo wamejaa kote utadhani wamehamishwa darasa
TTCL ,
Vision fund
NBC
NMB
CRDB
DTB

yaan hata wa diploma wanachukuliwa sisi wa degree zetu tunabaki
JAMAN NASISI WWNGINE TUPO MTUANGALIE MAANA MNAPENDELEA SANA VYUO HIVYO UPANDE WA FINANCE NA SIJAJUA VYUO VINGINE KAMA SUA, ARDHI , IRDP, MAANA HAO SIJAWAHI KUTANA NAO KWA INTERVIEW,
Pia najua wapo watakaonibeza na kupinga bila kufanya tafiti fanyeni tafiti ndo muone yaan ni kero sana imenifanya niwachukie hata wanafunzi wa vyuo hivyo maana nao misifa

Niliwaambia ina matter sana unaposomea elimu yako mkabeza na kunibishia, angalia sana unasomea wapi. ndio maana kuna university ranking
 
Ningweza ningemleta humu huyo alikuwa anaogopa au anaandika kama from 4 report za kazi au request za kitu falani za kiofisi, nilikuwa namsimulia jinsi ilivyo elimu pale UDSM yeye anakataa anasema ni misifa na proud tu za alumn wa UDSM. Basi akabahatika kwenda kufanya Masters UDSM ilibaki kidogo a drop college nikamtia moyo akapata supp kadhaa lakini akasonga baadae akarudi kuniambia boss UDSM ni chuo kikuu kweli kweli yaani wanabana na mitihani migumu sana sijaona kile chuo nilichosoma bachelor. Sasa amebadili hadi profile yake ya facebook kafuta kabisa kile chuo cha mwanzo kaadika tu kasoma UDSM bila kuspecify kama Masters au Bachelor. Huu ndio ukweli ila pia pale UDSM wapo waliomeza madesa na past papers tu ndio wengi wanaosumbuka na ajira au wanateseka kazini.
 
mbona hata UD walimu wanawaongezea cozwek bwamdogo. kuwa mpole
Kila chuo wanafanya hii ila mara chache na inategemea test zao zilikuwaje n.k. Hata standardization sio dhambi ila inategemea ilikuwaje watu engi ktk class wakapata marks za chini hizo kiasi hicho?
 
Kuna University ranking hilo lazima tulikubali, pia kwa enzi za 1990's hadi mwanzoni mwa 2000's wale wenzangu waliopita udsm wanakumbuka selection zilikuwaje, tulichujwa na maticulation. Ilikuwa ni wateule wachache sana. Kama hukupita Udsm enzi zile na kusoma chuo kingine hatukubezi ila zipo sababu za msingi sana, mfano law ya udsm kama hukufanya vizuri isikie tu mzee. Nazan hoja hapa hata kama hukusoma udsm utajiweka sawa ili kushindana na soko la ajira, unafanya interview na watu wamekuzidi toka chekechea halafu unaleta uzi umu kulalamika? This is childish tuwe realistic kidogo.
 
Baki NA st Joseph uone

Back
Top Bottom