Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

Kwanza mnaosema mmesoma IFM miaka ya 2013 kuja mbele mmekuta tumeshapugania kitu kinachoitwa
TECHINICAL SUPPLEMENTARY, hata kama una A saba lakin ukapata F ya core subject moja we umekula technical supp ambayo unakaa Nyumban mwaka unasubiri mwakani kurudia mwaka, kisa somo moja tu

Pili over presentations zisizo na maana duh had I hatari kila somo presentation, na walimu wa Noko sana,

Tena jambo lingine walimu wa IFM walikuwa ni wakurugenzi wa board mbali mbali kama kina BUPE MWAKYUSA, RAMADHAN S KIKWIYE, KAMUZORA , NA WENGINE WA B.O.T NA HAZINA HIVYO ANAKUFUNDISHA KAZI SIYO MASOMO.

licha ya hayo kuna test zake ambazo zinapewa strength kama UE , siyo vyuo vingine mwalimu anakuja na paper kaficha mfuko wa nyuma anaamua anatoa test na anasahihisha Mwenyewe mwanzo mwisho anakadiria akupe ngapi,

Utunzi wa mitihan ni complicated hata mwalimu anayepresent swali kujumuishwa kwenye compilation ya mtihan anakuwa hana uhakika kama ndo litatoka maana kuna mfumo wa kuchagua maswali ya kutengeneza paper ambao ni tofauti sana,

Pia wanadahiri wanafunzi wengi ili wawapungize makusudi ( involuntary graduation within first four months) hiyo unakuta mmeanza 500, mnamaliza 63 , wengine wameacha na Ku disco

Hiyo imewafanya kuwa competent, na mfumo wa kuzungushwa panda ngazi shuka umewafanya wazoee hata wanapokuwa field iwe rahis na wepesi na inawajengea sifa kwa kujituma.

Mfumo wa IFM INABIDI UENDE FIELD MARA MBILI YAAN JUMLA UFANYE FIELD MIEZ NANE KWA MIAKA YAKO MITATU NA UJUE KAZI, tofauti na baadhi ya vyuo wanaenda hawaji hata kukaguliwa na kusainishwa wanafanya nini, pale lazima kabla hujaenda likizo ulete barua ya unaenda wapu kufanya field kama ni shirika LA ovyo lazima ukataliwe ufanye PROJECT REPORT ambayo ni ngumu mno,

Sasa ukiilinganisha na vyuo vingine ambavyo vingi nimejua utaratibu wake na aina ya wanafunzi wanaotoka Kule hata kuandika barua ya kujieleza shida sembuse report ya kazi,

IFM kuna utaratibu wa course work kuwa mpaka itimie kuna mlolongo.

Ila japo kilikuwa kinafanya vema lakini siku hizi sina uhakika huo maana wamelegezewa mashart sana kudahiliwa , hata MWENYE F ya maths anaweza enda soma BBF AU BAC pale jambo ambalo ilikuwa nadra sana, pia mfumo umeegemea TCU inasema nini kuliko chuo lazima wamelegea,

Udsm hao ndo hawasemwi ni baba yao,
Kuna mzumbe , SUA pia wanafanya vyema sana,

Lakin bado kuna ubabaishaji kwenye TEKU, TIA, CBE, UDOM, NA VINGINE SIMAANISHI WANAFUNZI HAWAJIWEZI WOTE ILA SI WOTE WANAOJIWEZA
 
Mambo ya finance, tax, accounting, insurance ngoma inalilia IFM akifuatiwa na Mzumbe then TIA& IAA.
UD ni changanyikeni

Una uhakika na unaloongea? Kaangalie institutional performance kwenye professional exams ndio urudi hapa.
 
Una uhakika na unaloongea? Kaangalie institutional performance kwenye professional exams ndio urudi hapa.
Hapa UDSM na IFM wanachuana katika examinations board NBAA, TIOB na ACCA EXAMS najua na nina matokeo yao mbali mbali
Nenda kitega uchumi floor ya 10 hapo mjini dar as salaam TIOB angalia results. IFM NA UDSM WANCHUANA , SANA WA KWANZA WAPILI WATATU, nenda pia NBAA hivyo hivyo
 
Dat for sure yaaanii wengne wanakua wako vzr mpka interview wanafnya vzr lkn uo n ubguz tyu coz hvyo vyote n vyuo vyetu Tz
 
Ukweli utabaki pale pale ifm kipo vizuri Sijui kwa sasa,wapo bladhaa Zungu 2 wote kwa sasa n waajiriw serikali rahaa sana tena wakupa tabu sana kma vyuo vingine wanavo pata.
 
Kingine we mtoa mada inabid uangalie chuo gani kinahusiana na mambo gani.... Ifm ni financial issues pekee...tofaut na vingine mchanganyiko ...
Watoto wa mjini wanakiita Institute of Frustrated Men, sasa nenda kwa interview uone jinsi Hao frustred Men wanavyotema madini.
 
Wanabodi hii inauma sana na inasikitisha , tokea miaka ya nyuma kila unapoitwa kwenye interview wakiwa wanataka watu wawili au watatu katika fani ya Banking and finance, corporate finance managers, accounting, ukakuta umeenda interview na wahitimu wa ama IFM au UDSM uwezekano wako kupata ni Mdogo

Sisi wa vyuo vingine kama TIA, IAA, SAUTI , STEMUCO, NA VINGINE Tunabaguliwa na ndo maana tunajadiri suala Ili, ukiangalia hakuna jambo lolote wanalotuzid SAA nyingine hata GPA tunawazidi lakin ninashangaa wanakuwa selected tunabaki

Hii nimeigundua na wenzangu, nimeudhulia interviews nyingi na huwa ni kawaida nikimaliza nachukua namba za nilioenda nao interviews jaman ukiwapigia akikwambia nimeitwa nauliza hivi umesoma wapi utasikia UDSM au IFM, nina zaidi ya watu 20 niliowauliza watano tu ndo mmoja alitoka UDOM, wawili SAUTI, na mwingine MZUMBE, lakin waliobaki ni IFM UDSM, yaan tunaumia sana kwa ili rais aliangalie pia

Taasisi zinazowapendelea yaan ukienda utadhan wako shuleni sasa wamehamishwa wanasoma masters kabda kumbe ni kazini yaan taasisi hizi ni ifuatavyo
TANZANIA POSTAL BANK
TRA
TPA
TPDC SECTION OF FINANCE
EQUITY BANK duh hapa ndo wamejaa kote utadhani wamehamishwa darasa
TTCL ,
Vision fund
NBC
NMB
CRDB
DTB

yaan hata wa diploma wanachukuliwa sisi wa degree zetu tunabaki
JAMAN NASISI WWNGINE TUPO MTUANGALIE MAANA MNAPENDELEA SANA VYUO HIVYO UPANDE WA FINANCE NA SIJAJUA VYUO VINGINE KAMA SUA, ARDHI , IRDP, MAANA HAO SIJAWAHI KUTANA NAO KWA INTERVIEW,
Pia najua wapo watakaonibeza na kupinga bila kufanya tafiti fanyeni tafiti ndo muone yaan ni kero sana imenifanya niwachukie hata wanafunzi wa vyuo hivyo maana nao misifa
Koma kabisa kuichanganya ARDHI UNIVERSITY na hivyo vyuo vingine, 90% ya course zitolewazo Ardhi University huwezi kuzipata Chuo kingine chochote kile, kuna degree hadi ya miaka mi5 hapo.., hivyo kaa ukijua itakuwa nadra sana kujikuta interview na mtu wa Ardhi University unless umesoma nae Ardhi University.KOMA KABISA. By the way Ardhi hufundisha watu kujiajiri.., huwa hawatembei na mi-vyeti kwapani.
 
Hakuna chuo kinachopendelewa bali kinachovifanya IFM na UDSM ving'are ni ubora wa Elimu itolewa, chukua prospectuses za vyuo hivi viwili angalia modules zao wanasoma masomo machache (6) kwa kila semista ila ni masomo husika na fani hiyo tu. Sasa vyuo vingine mwanafunzi anapewa utitiri wa masomo ambayo hayaendani na fani yake. Jambo lingine na Uwezo wa Lecturers nenda kaangalie CVc za wahadhiri za IFM na UDSM ndo utagundua. Hivyo vyuo vingine ambavyo wanafunz wao hawajiriki unakuta wahadhiri wao wana degree moja tu afu anafundisha mtu kupata degee. Tofauti na IFM na UDSM ambapo kuwa senior lecturer ni LAZIMA uwe na PhD. Mfano pitia cv za wahadhiri wa PhD pale IFM ndo utaamini kuwa 'Kila mwenye nacho ataongezewa'
 
Kwanza mnaosema mmesoma IFM miaka ya 2013 kuja mbele mmekuta tumeshapugania kitu kinachoitwa
TECHINICAL SUPPLEMENTARY, hata kama una A saba lakin ukapata F ya core subject moja we umekula technical supp ambayo unakaa Nyumban mwaka unasubiri mwakani kurudia mwaka, kisa somo moja tu

Pili over presentations zisizo na maana duh had I hatari kila somo presentation, na walimu wa Noko sana,

Tena jambo lingine walimu wa IFM walikuwa ni wakurugenzi wa board mbali mbali kama kina BUPE MWAKYUSA, RAMADHAN S KIKWIYE, KAMUZORA , NA WENGINE WA B.O.T NA HAZINA HIVYO ANAKUFUNDISHA KAZI SIYO MASOMO.

licha ya hayo kuna test zake ambazo zinapewa strength kama UE , siyo vyuo vingine mwalimu anakuja na paper kaficha mfuko wa nyuma anaamua anatoa test na anasahihisha Mwenyewe mwanzo mwisho anakadiria akupe ngapi,

Utunzi wa mitihan ni complicated hata mwalimu anayepresent swali kujumuishwa kwenye compilation ya mtihan anakuwa hana uhakika kama ndo litatoka maana kuna mfumo wa kuchagua maswali ya kutengeneza paper ambao ni tofauti sana,

Pia wanadahiri wanafunzi wengi ili wawapungize makusudi ( involuntary graduation within first four months) hiyo unakuta mmeanza 500, mnamaliza 63 , wengine wameacha na Ku disco

Hiyo imewafanya kuwa competent, na mfumo wa kuzungushwa panda ngazi shuka umewafanya wazoee hata wanapokuwa field iwe rahis na wepesi na inawajengea sifa kwa kujituma.

Mfumo wa IFM INABIDI UENDE FIELD MARA MBILI YAAN JUMLA UFANYE FIELD MIEZ NANE KWA MIAKA YAKO MITATU NA UJUE KAZI, tofauti na baadhi ya vyuo wanaenda hawaji hata kukaguliwa na kusainishwa wanafanya nini, pale lazima kabla hujaenda likizo ulete barua ya unaenda wapu kufanya field kama ni shirika LA ovyo lazima ukataliwe ufanye PROJECT REPORT ambayo ni ngumu mno,

Sasa ukiilinganisha na vyuo vingine ambavyo vingi nimejua utaratibu wake na aina ya wanafunzi wanaotoka Kule hata kuandika barua ya kujieleza shida sembuse report ya kazi,

IFM kuna utaratibu wa course work kuwa mpaka itimie kuna mlolongo.

Ila japo kilikuwa kinafanya vema lakini siku hizi sina uhakika huo maana wamelegezewa mashart sana kudahiliwa , hata MWENYE F ya maths anaweza enda soma BBF AU BAC pale jambo ambalo ilikuwa nadra sana, pia mfumo umeegemea TCU inasema nini kuliko chuo lazima wamelegea,

Udsm hao ndo hawasemwi ni baba yao,
Kuna mzumbe , SUA pia wanafanya vyema sana,

Lakin bado kuna ubabaishaji kwenye TEKU, TIA, CBE, UDOM, NA VINGINE SIMAANISHI WANAFUNZI HAWAJIWEZI WOTE ILA SI WOTE WANAOJIWEZA

Mkuu IFM is still the same. Kama hujui Mathematics hudahiliwi pale. Unatakiwa uwe na Minimum pass ya Hesabu D. So far due to competition wanaochukuliwa wengi ni wenye pass za hesabu 'C" and above.
 
Unakumbuka 2012 Kashfa ya Lectures wa IFM kutoa pepa.halafu wanafunz flan wakaenda kusema kwa Dean jamaa walifukuza Lectures kama 7 hiv
Ifm magumashi tu nimesoma pale ADA enzi zile...masharobaro NA masista du wamejaa kazi kuonga ma lecturers ili wawape favor..... Nilikuwaga silijui hilo mpaka nilipofika mwaka wa tatu 1st semister maana ulikuwa unaona MTU hasomi ni bata tu mwisho wa siku ana B+ ama A kumbe mishe zao ndio hizo....Nimeiweka kabatin hiyo ADA NA Niko kwenye field nyingine kwa kuwa ADA haikuwa ndoto yangu Bali MOF ndio walionishawishi kutokana NA umaskin wangu.
 
Degree za Chupi
 
Nisikukatishe tamaa, kwanza kwa kigezo cha GPA hakuna mtu wa UDSM anayemshinda mtu wa Peripheral collages. Nashindwaga kuelewa, unakuta graduate wote wana GPA ya 3.8 na kuendelea. UDSM kwa mwaka watu Kama hao wanakuwaga wawili na Wakati mwingine mmoja. Nadhani umeshajuA quality ya Shule inayotoka hapo DDC Mlimani park.
 
Back
Top Bottom