..nimepita kule michuzi blog nikashtuka kuona picha ya waagizaji wa mafuta nchini.
..jamani sijawahi kuona ktk nchi yoyote ile wananchi wake wakiwa under-represented kiasi hiki.
..kwanini hakuna Watanzania halisi ktk biashara hii?
..hivi serikali imeridhika na hali ilivyo kwamba biashara hii iwe monopoly ya Wahindi na Waarabu tu?
..call me mbaguzi or whatever you want, but we need to AFRICANIZE this business without any delay or excuses.
Ukweli uko wazi kwamba...waarabu koko hawa babu zao na ndugu zao ndiko yanakotoka mafuta...uarabuni....bila kuwachambua kwa nchi mojamoja.
Ni mahiri kwa majahazi bubu unguja, pemba na ukanda wa pwani ya afrika mashariki kuiba na kusafirisha karafuu...prawns {kamba kochi}....lobstrers{jongoo bahari} na uwindaji haramu wa pembe za ndovu...meno..
na ngozi za wanyama...tena kila mwarabu ana shortgun na rifle ndani aliachiwa na babu zake enzi za utumwa (slave trade).
Kadri muda uendavyo na techology na siasa za dunia kubadilika...wamejikuta wanabadilika na kuingia ktk biashara za majumba kkoo..msasani...namanga...biashara za daladala na mabasi ya ubungo...sanjari na uingizaji na uuzaji mafuta. Kwa kuwa wanaamini wao ndo pekee ktk deal la mawese ndo maana wanaleta mbwembwe.
Ningelikuwa mimi mwana wa afrika ndo mtoto wa mkulima...kesho asb unaamka na kukuta kituo chako cha mafuta kina maandishi makubwa kuwa...KISIMA HIKI NI MALI YA UMMA USAJILI No 1...2...3.. Kama enzi za mzee wa busara wakati wa Azimio la Arusha na wadosin. Ombeni miungu yenu...
na mkumbuke chadema hakuna ******* wala *********...yanasubiri uraia wa nchi mbili tu haya hayana uzalendo wowote nchini. Unapoipa serikali masaa 24 hujui kuwa viongozi wa serikali hawapati shida ya mafuta kama tunavyopata shida wananchi. Wazalendo kweli ninyi? Jingine Igunga limeachia ngazi kwa tuhuma..kama jasiri si lingebaki...in maana kweli fisadi...
wenzenu walitoa mafuta bure wakati wa majanga ya kitaifa...kwa ninavyowaona nyie...kama siyo wajomba za OSAMA sijui? Samahani kuwaharibia pozi la saumu
Natumaini ulimaanisha hivi!!!!!!!!!!!!! hapo kwenye RED
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA ..............................NILALALAPO NAKUOTA WEWE NIAMKAPO NI HERI MAMA WE!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 34950
Picha juu eti hawa ni ya Watanzania Wazalendo waagiza Mafuta kwa niaba ya Watanzania,ili tujenge Tanzania yenye USAWA,UPENDO,UNDUGU na UKIZINGATIA WOSIA WA BABA WA TAIFA.TAIFA HILI LITAJENGWA NA WAZALENDO WENYE MOYO WATAKAO VUTWA NA UCHUNGU WA KUWASAIDA KUWAINUA MASKINI NDUGU ZAO WALIOKO KATIKA VIJIJI VYETU NCHI NZIMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
UCHUNGU MPAKA BASI SIPENDI LAKINI SINA JINSI ACHA HEKIMA NA BUSARA ICHUKUE MKONDO WAKE IKO SIKU ISIYO NA JINA .
Watawala wetu haya yana mwisho.
Kwa picha hiyo na tabia za vigogo wa biashara za mafuta wao wametuma wawakilishi wao hapo sizani kama wenyewe wametia timu hapo.
Hakika ukombozi wa kumilki uchumi na rasimali kwa Watanzania halisi bado,ndio maana mpambano utazidi kuwa mkubwa.
Duh Jamani bado tu mnawalaumu waarabu... Haya nawauliza tena Mungu kawapa jangwa lenye mafuta leo mnataka biashara ya mafuta maadam inaingia kwenu basi muishike wenyewe? Haya Mungu kawapenia rdhi yenye rutuba, leo mnasema kilimo sio uti wa mgongo mnataka kufanya biashara ya mafuta hali mafuta yenyewe ya mwarabu kisha huna mtaji kwa sababu mmetelekeza kilimo..
Mungu katuzawadia Maliasili na Rasilimali kibao ambazo hawa waarabu na wahindi wangeomba wapewe kulingana nasi lakini hayatoshi kwetu isipokuwa kufuru ya tunatazama mwarabu na Mhindi ana kitu gani. Na sijui kama tungepewa jangwa lenye mafuta tungeweza hata kujikimu maanake tumeshindwa kabisa hata kazi na biashara ndogo za kiasili.. Tazama Sudan na Nigeria wanayo mafuta lakini ndio wanauana utafikiri wanyama mbuga ya serengeti..
Kisha haya ya kusema mbona wauza Mafuta (wachuuzi) 90% sio wakristu ni ufinyu wa miafrika ktk kujazia, ikiwa 90% ya waarabu na wahindi sio wakristu ulitegemea itokee miujiza gani?. Hata, hivyo ili wauze mafuta hayo, hao Waarabu na Wahindi wote wanawategemea wazungu ambao asilimia 90 ni wakristu!
Mkandara,
Simple answers, na vilvile tusijirizishe kwa kwa misemo ya "kale" kama hiyo. Kama kweli Waaarabu na Wahindi ndiyo waligundua biashara duniani kwa nini Waarabu na wahindi hao wasiwe sucessful sehemu nyingine duniani? Hawana domination ya biasahara Japana, North America, Ulaya, Australia, China, South Africa, Brazil etc Waao wamejikita tu kwenye hizi "banana" states? Corruption. Anywhere there are successful Indians and Arabs there must be corruption especially in Africa.
Mkandara ujionee huruma sana kwa kuwa duniani kuna vitu amavyo huwezi kumpa mgeni atawale; ENERGY, Agriculture ni backbone ya uchumi wa Nchi. Unicoal ilivyotaka kuuzwa kwa wachina CNOOC Congress ya Marekani ilikataa kabisa kwa kuwa mchina angekuwa nauwezo mkubwa kucontrol ENERGY. Sisi ni tahira viongozi wetu ni tahira ndiyo tumefika tulipo hapa. Really si uongo; dunia huko tuendako Nchi kama Tanzania sijui zitaitwaje; maana hamna identity.
Mkandara,
Simple answers, na vilvile tusijirizishe kwa kwa misemo ya "kale" kama hiyo. Kama kweli Waaarabu na Wahindi ndiyo waligundua biashara duniani kwa nini Waarabu na wahindi hao wasiwe sucessful sehemu nyingine duniani? Hawana domination ya biasahara Japana, North America, Ulaya, Australia, China, South Africa, Brazil etc Waao wamejikita tu kwenye hizi "banana" states? Corruption. Anywhere there are successful Indians and Arabs there must be corruption especially in Africa.
Mkandara ujionee huruma sana kwa kuwa duniani kuna vitu amavyo huwezi kumpa mgeni atawale; ENERGY, Agriculture ni backbone ya uchumi wa Nchi. Unicoal ilivyotaka kuuzwa kwa wachina CNOOC Congress ya Marekani ilikataa kabisa kwa kuwa mchina angekuwa nauwezo mkubwa kucontrol ENERGY. Sisi ni tahira viongozi wetu ni tahira ndiyo tumefika tulipo hapa. Really si uongo; dunia huko tuendako Nchi kama Tanzania sijui zitaitwaje; maana hamna identity.
Natumaini ulimaanisha hivi!!!!!!!!!!!!! hapo kwenye RED
TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA ..............................NILALALAPO NAKUOTA WEWE NIAMKAPO NI HERI MAMA WE!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 34950
Picha juu eti hawa ni ya Watanzania Wazalendo waagiza Mafuta kwa niaba ya Watanzania,ili tujenge Tanzania yenye USAWA,UPENDO,UNDUGU na UKIZINGATIA WOSIA WA BABA WA TAIFA.TAIFA HILI LITAJENGWA NA WAZALENDO WENYE MOYO WATAKAO VUTWA NA UCHUNGU WA KUWASAIDA KUWAINUA MASKINI NDUGU ZAO WALIOKO KATIKA VIJIJI VYETU NCHI NZIMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
UCHUNGU MPAKA BASI SIPENDI LAKINI SINA JINSI ACHA HEKIMA NA BUSARA ICHUKUE MKONDO WAKE IKO SIKU ISIYO NA JINA .
Watawala wetu haya yana mwisho.
Kwa picha hiyo na tabia za vigogo wa biashara za mafuta wao wametuma wawakilishi wao hapo sizani kama wenyewe wametia timu hapo.
Hakika ukombozi wa kumilki uchumi na rasimali kwa Watanzania halisi bado,ndio maana mpambano utazidi kuwa mkubwa.
Acha kudanganya watu,madeni unayofikiria wewe ni through bonds ambazo hata waingereza,warusi,watanzania,wanigeria wanazo kwa kuwa ni top notch bonds.Actually,if you hold US treasury bonds it's another way of being a monetary slave to the US government,contrary to the popular belief that you own their economy.Kuna sekta kubwa zaidi ambazo zinamilikiwa na Wachina na hiyo Congress haina cha kufanya. Marekani ya sasa hivi siyo Marekani unayoijua wewe. China wanamiliki assets nyingi sana Marekani, na ndiyo nchi inayoidai madeni makubwa Marekani.
Acha kudanganya watu,madeni unayofikiria wewe ni through bonds ambazo hata waingereza,warusi,watanzania,wanigeria wanazo kwa kuwa ni top notch bonds.Actually,if you hold US treasury bonds it's another way of being a monetary slave to the US government,contrary to the popular belief that you own their economy.
Labda ungenijulisha sekta ambayo China ina-control Marekani.
Mkuu, naona umekurupuka kupost bila kufanya utafiti, hivi unajua kama Ulaya wawekezaji wakubwa matajiri ni Wahindi na Waarabu!Mkandara,
Simple answers, na vilvile tusijirizishe kwa kwa misemo ya "kale" kama hiyo. Kama kweli Waaarabu na Wahindi ndiyo waligundua biashara duniani kwa nini Waarabu na wahindi hao wasiwe sucessful sehemu nyingine duniani? Hawana domination ya biasahara Japana, North America, Ulaya, Australia, China, South Africa, Brazil etc Waao wamejikita tu kwenye hizi "banana" states? Corruption. Anywhere there are successful Indians and Arabs there must be corruption especially in Africa.
Mkandara ujionee huruma sana kwa kuwa duniani kuna vitu amavyo huwezi kumpa mgeni atawale; ENERGY, Agriculture ni backbone ya uchumi wa Nchi. Unicoal ilivyotaka kuuzwa kwa wachina CNOOC Congress ya Marekani ilikataa kabisa kwa kuwa mchina angekuwa nauwezo mkubwa kucontrol ENERGY. Sisi ni tahira viongozi wetu ni tahira ndiyo tumefika tulipo hapa. Really si uongo; dunia huko tuendako Nchi kama Tanzania sijui zitaitwaje; maana hamna identity.
..Neno zito sana hili!Faizaboy...una kisimi cha mafuta? Na kama kipo unawasaidiaje watanzania tuje tununue maana tunahaha mtu wangu tuonyeshe tuje tupakue mzigo.

Wahindi na Waarabu siyo Watanzania?

Mbona ulalamiki kwamba kazi zote za kazini zinamilikiwa na Wakiristo? Nyerere kawapendelea Wakiristo, kawapa kazi zote, serikali inawajengea shule kila mwaka. Mbona husemi kuhusu Waislamu wnaonyimwa hizo haki?
Mungu amewajaalia

Ndio maana viongozi wanaamua kuiba fedha zetu ili wakimbie kama waarabu siyo? ah kumbe sasa nimegundua lkn mjue wengine hapo wako kama picha tu wenye biashara zao wako pale magogonii. kwa mfano Lake Oil nasikia ni ya jamaa mmoja pale magogoni kushirikiana na mtoto wake rizinambamoja. Lakini kwenye picha siwaoni sasa wamewakilishwa na nani?

Oooh,mmeshaanza mambo yenu ya Udini,aagh!
Mkuu, hii thread tunajadili kwa nini waigizaji mafuta nchini ni wahindi na waarabu!wewe unafikiri vyuo vikuu na masekondary ya wakristo yanayojengwa kila siku anajenga kikwete, mbona asiwajengee waislamu wenzake. waislamu kusoma ni tatizo nenda hata saudi arabia tatizo kubwa la watu pake ni iliteracy , 'ujinga"
Ukweli uko wazi kwamba...waarabu koko hawa babu zao na ndugu zao ndiko yanakotoka mafuta...uarabuni....bila kuwachambua kwa nchi mojamoja. Ni mahiri kwa majahazi bubu unguja, pemba na ukanda wa pwani ya afrika mashariki kuiba na kusafirisha karafuu...prawns {kamba kochi}....lobstrers{jongoo bahari} na uwindaji haramu wa pembe za ndovu...meno..na ngozi za wanyama...tena kila mwarabu ana shortgun na rifle ndani aliachiwa na babu zake enzi za utumwa (slave trade). Kadri muda uendavyo na techology na siasa za dunia kubadilika...wamejikuta wanabadilika na kuingia ktk biashara za majumba kkoo..msasani...namanga...biashara za daladala na mabasi ya ubungo...sanjari na uingizaji na uuzaji mafuta. Kwa kuwa wanaamini wao ndo pekee ktk deal la mawese ndo maana wanaleta mbwembwe. Ningelikuwa mimi mwana wa afrika ndo mtoto wa mkulima...kesho asb unaamka na kukuta kituo chako cha mafuta kina maandishi makubwa kuwa...KISIMA HIKI NI MALI YA UMMA USAJILI No 1...2...3.. Kama enzi za mzee wa busara wakati wa Azimio la Arusha na wadosin. Ombeni miungu yenu...na mkumbuke chadema hakuna ******* wala *********...yanasubiri uraia wa nchi mbili tu haya hayana uzalendo wowote nchini. Unapoipa serikali masaa 24 hujui kuwa viongozi wa serikali hawapati shida ya mafuta kama tunavyopata shida wananchi. Wazalendo kweli ninyi? Jingine Igunga limeachia ngazi kwa tuhuma..kama jasiri si lingebaki...in maana kweli fisadi...wenzenu walitoa mafuta bure wakati wa majanga ya kitaifa...kwa ninavyowaona nyie...kama siyo wajomba za OSAMA sijui? Samahani kuwaharibia pozi la saumu
Wewe hivi upo dunia gani? Mainvestor wakubwa Marekani, Uingereza ni Wahindi na Waarabu. Waarabu wana stake kubwa ktk kila kampuni Marekani.....
Wewe hivi upo dunia gani? Mainvestor wakubwa Marekani, Uingereza ni Wahindi na Waarabu. Waarabu wana stake kubwa ktk kila kampuni Marekani. Walitaka hadi kununua port, lakini Udini ukaletwa kuwazuia. Wewe unafikiri hela za mafuta za Waarabu zinafanya kazi gani?
Post by: Tom Mucha |