sacred wall
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 804
- 1,318
Umeona eh! Very shallow thinking ya mtoa mada! very very shallow!Tumia walau hata 1% ya uwezo wako kufikiri tu, wazungu wangetaka kuwamaliza ingekuwa simple sana na wasingetumia hizo njia ndeefu za kuwahimiza mtumie uzazi wa mpango
Mnaagiza, nguo, dawa, vinywaji kama cocacola, sijui maji, juice, kutoka kwa wazungu, mkikumbwa na janga wazungu ndio wanawapa dawa na vyakula, sasa wazungu wangeamua kuweka kemikali zinazoua taratibu na au kuondoa uwezo wa kuzaa wasingeweza?
Vifaa vya umeme, ujenzi, vifaa vya jikoni n.k wangeamua kuviwekea hata kemikali zinazoua taratibu au kuharibu vizazi wasingeweza?
Hitler aliua wayahudi milioni 6 miaka ya 1940s, kwa kutumia sumu, silaha na njaa hivi wazungu wangetaka kuuwa Waafrika kipindi kile wasingeweza?
Mpo overpopulated kwa sababu hamuwezi kujilisha, mnaharibu vyanzo vya maji ,misitu, masalia ya samaki, hamuwezi kulima kilimo chenye tija, kila mwaka ikitokea ukame kidogo tu mnakufa kama kumbikumbi sababu mnategemea mvua hadi karne hii..! Kenya hapo mvua imekata kunyesha kidogo tu watu wanakufa tayari, likitokea janga kidogo mpaka wazungu waje wawasaidie
mfano nisaada ambayo mnapewa na wazungu kwenye kila janga kimbunga hapo msumbiji, malawi na zimbabwe, janga la ebola hapo DRC, na Afrika magharibi, Malaria mnapewa misaada ya dawa, UKIMWI ndio nyie mnaongoza mnapewa misaada ya ARV na Condom, Miji yenu hamuwezi kuipangilia, Hamna mifumo mizuri ya maji taka na maji safi, mpaka mje muwekewe na wazungu au wachina, milipuko ya kipindupindu haiishi
Wazungu unawaita mashetani ila kama sio hao wazungu pengine Ukimwi, njaa, ebola, na malaria zingekwishawamaliza nyie WATU WEUSI
Vijana wenu wanajitoa mhanaga ili tu wafike Ulaya au Uarabuni kufanya kazi za ndani
Yaani Waafrika hamuwezi kujiendesha na kujisimamia wenyewe kwa mpangilio mzuri mkiwa wachache kiasi hiki, mkizaliana na kujilimbikiza si ndio itakuwa balaa kabisa?
Mnapikia mkaa manakata miti yenu kwa kasi ya ajabu kiasi kwamba ndani ya miaka 50 ijayo mnaweza mkawa mmeimaliza, na vyanzo vya maji kukauka, hamuwaonei huruma hao watoto mtakao wazaa watakavyoteseka? Au unafikiri watazamia Ulaya na watapokelewa?
hamuwezi kutengeneza bidhaa zozozte zile, viwanda vya maana kwenye nchi zenu vinaendeshwa na na wahindi au waarabu, vingine vyote mnaotoa China ama Ulaya
Inafaa mzaliane kwa uangalifu ili mjimudu vizuri la sivyo mtakuja kutawaliwa tena