Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

Overpopulation maumivu yake ni at individual level! Unapokuwa na kiwanja cha 15x15 huwezi kusema all my neighbours are feeling the same pinch as yours! Wewe mwenye ka kiwanja kadogo pinch ni ya kwako peke yako! Wengine wanatanua na viwanja vyao. Tunaangalia individual country... first . hayo ya spill over effects ni baadaye !

Akili fupi, wanashidwa kuweka kwenye Coca cola ambayo inanywewa Africa nzima. dawa zote zinatoka kwao, wanashindwaje kuweka humo kwenye hizo tablets... nguo, etc

Jiulize weusi mkipungua wanapata hasara au faida gani. Inabidi muongezeke wapate soko la bodhaa zao, kwanini wawapunguze?
Wewe umevuta bangi? Kwahiyo mimi nikiwa na plot ya 5 x 5 Masaki utasema Masaki ina overpopulation?
 
Kwahiyo mleta mada wewe unaona solution ya matatizo yanayotukablili hapa Afrika (kama vile njaa, ujinga, maradhi, ukosefu wa ajira, vita vya wenyewe kwa wenyewe, uroho wa madaraka, wizi wa mali za uma, rushwa, foleni, miundombinu mibovu, ukosefu wa maji safi na salama n.k) ni kuzaliana ili tuwe wengi zaidi kwavile sasa tuko wachache?
Kawaulize Red Indians na Aborigines
 
Wewe umevuta bangi? Kwahiyo mimi nikiwa na plot ya 5 x 5 masaki utasema Masaki ina overpopulation?
Nimetoa mfani wa Rwanda, 15% walivyo ovwepopulated haina maana kwao! Wa Masaki wa 5x5 sq m huyo mwenye 50x50 to him is irrelevant! OPinch ni ya kwake na familia yake. 15% poln haina maana kwa Rwanda! Huwezi kifanya generalization kuwa tusipunguze uzazi kwetu Rwanda, this is my point! On a continental level, kweli tuko under-populated! I concur with you!
Sasa si unaona bila matusi, we are discussing! (ingawa umweka bangi, nakusamehe)
 
Nimetoa mfani wa Rwanda, 15% walivyo ovwepopulated haina maana kwao! Wa Masaki wa 5x5 sq m huyo mwenye 50x50 to him is irrelevant! OPinch ni ya kwake na familia yake. 15% poln haina maana kwa Rwanda! Huwezi kifanya generalization kuwa tusipunguze uzazi kwetu Rwanda, this is my point! On a continental level, kweli tuko under-populated! I concur with you!
Sasa si unaona bila matusi, we are discussing! (ingawa umweka bangi, nakusamehe)
Jibu swali, nikiwa na plot ya 5x5 masaki, utasema masaki ina overpopulation?
 
Jibu swali, nikiwa na plot ya 5x5 masaki, utasema masaki ina overpopulation?
Never, but to me who is under 5x5 congestion, the rest of Masaki with a lot of space means nonsense to me! Mwenye 70x70 huwezi kumwambia punguza uzazi. Wazungu wansema hivyo kwa vile trend ni hiyo , hata hizo nchi ambazo zinaimba 15% , kesho zitakuwa na 5x5! Tuweke tahadhali....
 
U
Juhudu kubwa zimekuwa zikifanywa na mataifa ya magharibi kuhakikisha idadi ya waAfrika weusi inabaki kuwa minority na hivyo oppressed zaidi duniani. Hili limefanyika kwa kusambaza magonjwa ya kuua watu wengi kwa mpigo kama 'Ebola', 'ARV na Ukimwi' , 'Uzazi wa mpango' ambo huwa unafadhiliwa sana na wamarekani kwa kuanzisha mashirika yanayogonga hodi nyumba hadi nyumba na kuwanywesha vidonge akina mama na akina dada kwa kuwalaghai, inafikia hatua wale wadada wanaozunguka hulipwa bonus pale wanapofanikiwa kuwanywesha vidonge vya uzazi akina mama wengi, kuna mmoja alipewa zawadi ya IST baada ya kufanikwa kutembelea nyunba 2,000 na kufanikiwa kuwashawishi akina mama wengi mno kufunga vizazi.

Sasa sielewi haya mashirika yanaruhusiwa vipi na mamlaka zetu kuja huku kwetu Afrika eti kuendesha kampeni za kufunga vizazi kwa wanaume na wanawake, tena wanatumia matrilioni kufanikisha lengo lao.

Kule South Africa kuna afisa wa kikaburu enzi za apartheid alikiri hapa majuzi kwamba walifanya juhudi kubwa kuhakikisha watu weupe wanakuwa wengi south Africa kuliko weusi lakini walishindwa kutokana na watu weusi kupenda sana ngono, hivyo wakaamua kusambaza Ukimwi kwa makusudi ili watu waache kufanya ngono bila condom na hivyo kupata mimba kwa wingi, pia walitumia chanjo feki zenye kemikali za kuua viungo vya uzazi kwa wanaume na wanawake ili wasiweze kushika mimba, lakini bado haikutosha, wasauzi weusi waliendelea kufyatua tu kwa spidi, hadi ilipofika 1994 wakasalimu amri kwa dushe la kiafrika.
Naomba tusikubali kumalizwa kizembe , tufyatue kwa kasi, waAfrika weusi tupo wachache sana hapa duniani, ni less than 15% ya population ya dunia, tumedanganywa kwa tuna overpopulation lakini hakuna kitu kama hicho, ni hila za shetani mweupe!

Kule Australia walianza kama utani hivi hivi, kulikuwa na watu weusi wazawa walikuwa wanitwa Aborigines, ambao walikuwa wameishi huko Australia kwa malaki na malaki ya miaka, lakini ndani ya miaka 150 tu waingereza waliendesha hila kama hizi za kuwaangamiza ili waweze kuingiza kizazi cha wazungu kule Australia, basi walikuwa wanalipa dollar 5 kwa kila kichwa cha Aborigine utakacho kipeleka ofisi ya exterminator, basi waliuawa na kumalizwa hadi leo hawapo kabisa, same case iliwatokea Red Indians huko USA, walianza kama utani hawa wazungu, mwishowe Red indians wamebaki historia, Waafrika tusikubali kumalizwa kama Aborigines na Red Indians, tena yaan sisi tuna bahati tu kwa sababu tunapenda sana ngono, ila tungekuwa wavivu kama WaJapan leo hii tungeshabaki historia..!!!

Kule Rwanda mbelgiji alipandikiza chuki ya kikabila na kuchochea mauaji ya kimbari, kila mahali wanapandikiza na chuki za kidini na kuleta mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na kutuacha tuna malizana kwenye civil wars za kijinga kabisa...!!! Tusiingie kwenye hii mitego.
Upo sahihi. Lakini tufundisahane kuzaa watoto tunaowamudu kwa malezi. Tusifikie hatua ya kuwa na idaid kubwa ya watoto ambao tunaanza kuomba misaada ya kuwahudumia.. Mija ya sababu ya Mataifa ya Magharibi kugharimia miradi ya kupanga uzazi ni kutusaidia nchi kuwamudu wananchi wake kihuduma. Tunatembeza bakuli na wakitushauri nini cha kufanya ili tuweze kujitegemea tunaleta hoja kama hizi. Mtu inazaa watoto kumi na mbili wakipishana miaka miwili halafu unashindwa kuwapeleka shule, kuwalisha, kuwavisha na wanarudi kuwa wakora mitaani. Iko haja ya kuwaelimisha watu wetu kuwa ni haki yao kuzaa lakini idadi ya watoto watakoweza kuwahudumia - si kuwaambia wafyatue watoto tu ili mradi unaweza kuwalisha. Dunia ya leo huduma kwa mtoto si kumlisha tu, inataka apate elimu - tena elimu iliyo bora ni si bora elimu, anhitaji atibiwe matibabu bora anapougua, na malezi ya kimaadili kwa ukaribu kutoka kwa wazazi. Kuna familia baba ana watoto wengi kiasi cha wengine hawajui hata majina - mtu kama huyu atawapa saa ngapi malezi ya maadili watoto ambao hawajui hata majina sawa na madarasa yet kwenye shule zetu za bure Mwalimu anawatoto wengi kiasi cha kutowajua mmoj mmoja suala ambalo ni muhimu sana katika malezi.
Kama hatuatki kusaidiwa basi tuwe na mpango wetu wenyewe kama waafrika wa jinsi ya kudhibit kuzaliana - au kwa ufupi kuzaa watoto wasiokusudiwa. Familia zetu nyingi zinazaa watoto wa bahati mbaya - wazazi hawakukaa wakakubaliana kuwa sasa tuzae mto wa kumi na moja, weigni wanatokea kwa bahati mbaya.
 
Ni ushenzi na ushetani mkubwa sana. Kuna syndicate za kukimaliza kizazi cha black people kama kilivyomalizwa kizazi cha Red Indians huko Marekani. Kampeni kama zile zinazoendeshwa na kina Bill Gates, Makampuni ya mbegu kina Monsanto kwa kuratibiwa na Mashirika kama UNFPA , WHO na kadhalika zina lenga kuhakikisha kizazi cha watu weusi hakiongezeki na kinatoweka baada ya muda hata kama ni mrefu

Jambo la kushangaza ni kwamba watu weusi wa mwanzo kua brain washed na mabeberu hawa ni "wasomi' wetu. Ukieleza kuhusu mbinu chafu hizi zinazofanywa na wazungu basi ujue "wasomi" wetu watakwambia hizo ni Conspiracy Theories tu na hazina uhalisia ingawa ushahidi wa mambo hayo upo wazi kabisa

Ukweli ni kwamba walikua wanaua black race kwa silaha kupitia vita na hata kuchochea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Sasa hivi wanatengeneza magonjwa kwenye maabara ili watu wafe na kupungua njia ambayo wanaona ni more ethical kuliko kuwauwa kwa vita!
Haya ni mawazo ya kijiwe!!!Inferiority complex.Maviongoz ya africa mabinafs ambayo ni humanless ndio yanayoua kizazi kwa njaa,magonjwa na vita.Acha mawazo mgando kusingizia wazungu!!
 
Nimetoa mfani wa Rwanda, 15% walivyo ovwepopulated haina maana kwao! Wa Masaki wa 5x5 sq m huyo mwenye 50x50 to him is irrelevant! OPinch ni ya kwake na familia yake. 15% poln haina maana kwa Rwanda! Huwezi kifanya generalization kuwa tusipunguze uzazi kwetu Rwanda, this is my point! On a continental level, kweli tuko under-populated! I concur with you!
Sasa si unaona bila matusi, we are discussing! (ingawa umweka bangi, nakusamehe)
The whole point ya kukupa wewe njia za uzazi wa mpango sio kuwa tupo overpopulated, point ni kuwa uweze ku control idadi ya watoto wako utakaozaa, ukishindwa ku control idadi ya watoto utakaozaa ina maana hata maisha yako utashindwa kuya control,

Sasa mzungu anakupa means za ku control idadi ya watoto, unaanza kuwatukana eti sijui wanataka kuwamaliza, Dah mtu mweusi ni kuwaza shari tu
 
Nilimkubali Sana magu alipoongea wazi kuhusu kuzaa na kuwa na watoto wengi unapokuwa na uwezo.

Tatizo letu tumekaririshwa kuwa ukiwa na watoto wachache ndio unakuwa na maisha mazuri.
Sijawahi kuona tajiri sababu ya kuwa na watoto wachache.!!
Unaridhika tu na tuhela twa kutosha kusomesha hao watoto na ndio mnaishia hapo.
Na kagari ka kutembelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni watanzania wangapi wanaweza kumudu gari la kutembelea?? Hebu zunguka huko vijijini uone kundi la watoto waliodumaa kwa unyafuzi!
 
soma post #52, anaongea ninachokisema kuwa tuwe na tahadhali na uzazi wetu! Na ndio hilo wazungu wanalolisema! Siyo kuua kizazi cha weusi! Hizo ni revelations with no concrete proof!
Achana na walichosema wengine, sema wewe, hao nitawajibu kwa nafasi yao, ongea wewe hoja yako.
 
Back
Top Bottom