Una uhakika kwamba nchi zote mwezi wa Sita ni msimu wa MVUA...???Haya mashindano yanafanyika kipindi ligi za ulaya zinaendelea, wanashindwa kubadilisha sababu mwezi wa SITA nchi nyingi Africa ni kipindi Cha mvua
nchi nyingi... ni tofauti na nchi zote...Una uhakika kwamba nchi zote mwezi wa Sita ni msimu wa MVUA...???
lakini wenger, mourhno, pep etc waliwatumia...Hata fergusson enzi zake alikuwa hataki wachezaji wenye asili ya Africa unamtegemea mtu halafu anaondoka kati kati ya mashindano anaenda afcon.
Hatuoni madudu yetu ambayo tunafanya kabisaRace ndio card yetu ya mwisho, why nchi inahuduma mbovu za elimu, afya ,don't worry blame white people's!
Sio zote ambazo hazina mvua kipindi hicho zinauwezo wa kuandaa hii michuano..🙄🙄Una uhakika kwamba nchi zote mwezi wa Sita ni msimu wa MVUA...???
Amesema nchi "Nyingi" hakusema nchi "Zote"Una uhakika kwamba nchi zote mwezi wa Sita ni msimu wa MVUA...???
Mourinho alikuwa anawapenda maana ni kazi kazi wale.lakini wenger, mourhno, pep etc waliwatumia...
Basi wachezaji wetu wasiende kwenye vilabu vyao sababu January ndio league zimechanganya hapo wa kushuka daraja ana pambana kubaki na wa ubingwa ana pambana arafu mchezaji mhimu anaondka huoni ina athari kwenye timu? alf mpira ni vizuri twende pamoja sababu kuna sehemu tuna link dunia nzimatuna takiwa kuishi ktk malengo yetu na wao yao, kama malengo yao na yetu hayafanani basi kila mtu ashike chake, sio busara wao kutupangia au kutuburuza kwa manufaa yao zaidi... zipo klabu nyingi tu zina hitaji wachezaji kutoka afrika, na Napoli haito kwepa kusajili mchezaji toka afrika kama atakuwa ni bora...
mfano wamuache kumsajili Mane au Salah kisa AFCON?
Kwani wanasajiliwaga timu nzima hadi wakiondoka timu ipwae?.Hivyo ni visingizio tu wanajaribu kuvileta.Hata fergusson enzi zake alikuwa hataki wachezaji wenye asili ya Africa unamtegemea mtu halafu anaondoka kati kati ya mashindano anaenda afcon.