Waafrika waanza kuivamia nchi ndogo ya Gambia, hali ya Hatari imetangazwa!

Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka madarakani kwa nguvu Kibaraka wa Kizungu, sasa hali ya hatari imeshatangazwa nchini humo!

Kwa mara nyingine tena watu wengi wanakwenda kufa Afrika, ikumbukwe kwamba takataka wa Afrika Magharibi wanafanya uvamizi kwa maana hawana baraka za UNSC (UN) hivyo ni vita haramu, ambayo Mzungu yuko nyuma yake, kwa lengo la kuirudisha kwa nguvu nchi ya Gambia kwenye Jumuiya ya Madola na ICC!

Kenya ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia amaji, hata Uhuru Kenya anataka kuiondoa nchi ya Kenya ICC, sasa subiri moto wako unakuja!

Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!

Gambia's Yahya Jammeh declares state of emergency
Kaka umeongea kitu cha maana sana lakini wachumbia tumbo watakuona huna maana!
Walikuwepo wakati libya inamfukuza Gadafi wakadai ni democracy, walikuwepo wakati Iraq wanamtoa saddam,! Wakasema ni democracy! Yanayoendelea syria wanasema democracy.!!
Alie nyuma ya haya yote........
Na leo Gambia.. Baada ya hapo..?
 
Acha ujiinga wewe, wananchi wamelikataa hilo jujuman ila linaleta ubabe tuu acha waling'oe tuu kwa nguvu na walisweke ndani for life jinga sana hili
 
Ya burundi na rwanda na congo na uganda yamefumbiwa macho na dunia, ya gambia ndio yanayoonekana, there is something more than politics.
Kwa akili yako na wajinga kama wewe mtasema kwakuwa raid ni muislam......akili zenu linapokuja swala la kureason mnaweka dini..., Mungu awape hekima. Mnadahau dini ni zaidi ya misikiti na makanisa
 
Unajua Ilani yake ya uchaguzi huyo Adama Barrow? Amesema kwamba anataka kuirudisha Gambia British common wealth na ICC, sasa wewe uliona wapi Kiongozi wa Upinzani wa nchi masikini kama Gambia anakuwa na Vipaumbele hivyo hivyo? hakuna kingine alichokiongelea zaidi ya hivyo viwili!
Na Ndio maana wakamchagua kwa Sera hizo hizo
 
Jammeh ana kiburi sana huyu mtu,

sasa mkuu wake wa majeshi kishamtosa tayari,
ameng'ang'ana ,anaogopa kushitakiwa sijui.

Madikteta mjifunze
 
"Fikra mgando uhalali wa wewe kusema huyo ni kibaraka umeutoa wapi?, Huyo unaemuita kibaraka amepatikanaje?, Mimi naona huyo jamaa apigwe tu iwe fundisho kwa viongozi wengine wa Africa wenye lengo baya kama hilo!!
 
Kwa akili yako na wajinga kama wewe mtasema kwakuwa raid ni muislam......akili zenu linapokuja swala la kureason mnaweka dini..., Mungu awape hekima. Mnadahau dini ni zaidi ya misikiti na makanisa
Unapotukana unathibitisha ukomo wa uwezo wako wa kufikiri
 
Unajua Ilani yake ya uchaguzi huyo Adama Barrow? Amesema kwamba anataka kuirudisha Gambia British common wealth na ICC, sasa wewe uliona wapi Kiongozi wa Upinzani wa nchi masikini kama Gambia anakuwa na Vipaumbele hivyo hivyo? hakuna kingine alichokiongelea zaidi ya hivyo viwili!
Hatutaki misaada yenu ya MCC ngoja kiama kikaja cha wachina na pesa nyingi mpaka wanawakopesha waamerika chunga Kali zako
 
Kwa hiyo mtoa post unataka jamaa aendelee kubakia madarakani ili hali alishindwa? Pointi yako hapa ni ipi?
 
Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka madarakani kwa nguvu Kibaraka wa Kizungu, sasa hali ya hatari imeshatangazwa nchini humo!

Kwa mara nyingine tena watu wengi wanakwenda kufa Afrika, ikumbukwe kwamba takataka wa Afrika Magharibi wanafanya uvamizi kwa maana hawana baraka za UNSC (UN) hivyo ni vita haramu, ambayo Mzungu yuko nyuma yake, kwa lengo la kuirudisha kwa nguvu nchi ya Gambia kwenye Jumuiya ya Madola na ICC!

Kenya ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia amaji, hata Uhuru Kenya anataka kuiondoa nchi ya Kenya ICC, sasa subiri moto wako unakuja!

Gambia's Yahya Jammeh declares state of emergency

Jamani kila kitu wazungu wazungu. Hata tukifanya sisi wenyewe basi kuna mkono wa wazungu. ukiwa na mtazamo huu kila mara hufai. Kila mtu anajua huyo bwana mkubwa anayegoma kwamba alikubali matokeo lakini baadaye akageuka na kugoma bila ya sababu yeyote ya msingi. Sasa wazungu wapo wapi hapo.

Harafu kwa akili zako mwenyewe unasema Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!, mara heri utawala wa mkoloni nk. huku ni kushindwa kifikra.
 
Kwa hiyo unaona ni sawa nchi kujiamulia tu kuvamia nchi nyingine? Ni kwa nini kuna International law? I.law inasema UNSC ndiyo yenye kuamua na siyo mtu wala nchi yoyote ile, isitoshe ni kinyume hata na katiba ya ecowas yenyewe ambayo insema ni ushirikiano wa kiuchumi tu, hivyo hawana uhalali wowote ule wa kuivamia nchi ya Gambia na haijalishi Kiongozi wa Gambia wanampenda au hawampendi!
Natamani kenya wangekuja kutusaidia na huku
 
Kaka umeongea kitu cha maana sana lakini wachumbia tumbo watakuona huna maana!
Walikuwepo wakati libya inamfukuza Gadafi wakadai ni democracy, walikuwepo wakati Iraq wanamtoa saddam,! Wakasema ni democracy! Yanayoendelea syria wanasema democracy.!!
Alie nyuma ya haya yote........
Na leo Gambia.. Baada ya hapo..?
Zanzibar
 
Unajua Ilani yake ya uchaguzi huyo Adama Barrow? Amesema kwamba anataka kuirudisha Gambia British common wealth na ICC, sasa wewe uliona wapi Kiongozi wa Upinzani wa nchi masikini kama Gambia anakuwa na Vipaumbele hivyo hivyo? hakuna kingine alichokiongelea zaidi ya hivyo viwili!
Huoni kuwa kwa sera hiyo jamaa kashinda urai
 
Back
Top Bottom