Waafrika waanza kuivamia nchi ndogo ya Gambia, hali ya Hatari imetangazwa!

Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka madarakani kwa nguvu Kibaraka wa Kizungu, sasa hali ya hatari imeshatangazwa nchini humo!

Kwa mara nyingine tena watu wengi wanakwenda kufa Afrika, ikumbukwe kwamba takataka wa Afrika Magharibi wanafanya uvamizi kwa maana hawana baraka za UNSC (UN) hivyo ni vita haramu, ambayo Mzungu yuko nyuma yake, kwa lengo la kuirudisha kwa nguvu nchi ya Gambia kwenye Jumuiya ya Madola na ICC!

Kenya ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia amaji, hata Uhuru Kenya anataka kuiondoa nchi ya Kenya ICC, sasa subiri moto wako unakuja!

Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!

Gambia's Yahya Jammeh declares state of emergency
hivi mtu aliyeshinda uachaguazi anakuwaje kibaraka wa wazungu,walio mchagua hawakujua hilo?,tusilee udikteta kwa kigezo kwamba wanaochaguliwa na wengi ni vibaraka wa wazungu,sasa hao ambao si vibaraka wa wazungu wanafanya nini?
 
Aliyeleta huu uzi atakua lazima nikijani Maana vijana wa kijani kwao kubadilishana madaraka ni dhambi mliona Zanzibar
 
Kwa hiyo unaona ni sawa nchi kujiamulia tu kuvamia nchi nyingine? Ni kwa nini kuna International law? I.law inasema UNSC ndiyo yenye kuamua na siyo mtu wala nchi yoyote ile, isitoshe ni kinyume hata na katiba ya ecowas yenyewe ambayo insema ni ushirikiano wa kiuchumi tu, hivyo hawana uhalali wowote ule wa kuivamia nchi ya Gambia na haijalishi Kiongozi wa Gambia wanampenda au hawampendi!

Hizo hizo law ndio hizo hizo mnazitumia vibaya kujimilikisha nchi. Acha msaada utokee kuwang'oa wanaojimilikisha nchi wenyewe. Huenda watu wakashika adabu
 
Unajua Ilani yake ya uchaguzi huyo Adama Barrow? Amesema kwamba anataka kuirudisha Gambia British common wealth na ICC, sasa wewe uliona wapi Kiongozi wa Upinzani wa nchi masikini kama Gambia anakuwa na Vipaumbele hivyo hivyo? hakuna kingine alichokiongelea zaidi ya hivyo viwili!
Hivyo vipaumbele viwili ndio vilivyompa ushindi huyo jamaa, ni sawa na CCM ilivyoshinda pamoja na mengine ni kipaumbele cha kuhamia Dodoma.
 
Yani ukitaka kujua uozo wa wanaokitetea chama chakavu ndio uje hapa sasa.. Yani mtu anatetea hadi uchafu unaofanyika nje ya nchi.. Hapa amejipinda kutetea mtu aliyeshindwa kihalali aendelee kubaki madarakani..
 
Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka madarakani kwa nguvu Kibaraka wa Kizungu, sasa hali ya hatari imeshatangazwa nchini humo!

Kwa mara nyingine tena watu wengi wanakwenda kufa Afrika, ikumbukwe kwamba takataka wa Afrika Magharibi wanafanya uvamizi kwa maana hawana baraka za UNSC (UN) hivyo ni vita haramu, ambayo Mzungu yuko nyuma yake, kwa lengo la kuirudisha kwa nguvu nchi ya Gambia kwenye Jumuiya ya Madola na ICC!

Kenya ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia amaji, hata Uhuru Kenya anataka kuiondoa nchi ya Kenya ICC, sasa subiri moto wako unakuja!

Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!

Gambia's Yahya Jammeh declares state of emergency
Kwahiyo wewe unataka mtu aliyeshindwa uchaguzi aendelee kutawala au?
 
UMEPOTEA KIFIKRA KWANI FIKRA ZAKO ZIMEKOSEA.
 
Ya burundi na rwanda na congo na uganda yamefumbiwa macho na dunia, ya gambia ndio yanayoonekana, there is something more than politics.
 
Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka madarakani kwa nguvu Kibaraka wa Kizungu, sasa hali ya hatari imeshatangazwa nchini humo!

Kwa mara nyingine tena watu wengi wanakwenda kufa Afrika, ikumbukwe kwamba takataka wa Afrika Magharibi wanafanya uvamizi kwa maana hawana baraka za UNSC (UN) hivyo ni vita haramu, ambayo Mzungu yuko nyuma yake, kwa lengo la kuirudisha kwa nguvu nchi ya Gambia kwenye Jumuiya ya Madola na ICC!

Kenya ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia amaji, hata Uhuru Kenya anataka kuiondoa nchi ya Kenya ICC, sasa subiri moto wako unakuja!

Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!

Gambia's Yahya Jammeh declares state of emergency
kwani wazungu ndio walipiga kura Gambia

Unafiki tu umeandika!
 
Haulewi unachokiongea, Afrika tumekuwa victim wa sera kama hizo za watu kukaa na kujiamulia kuivamia Afrika, Wazungu wamefanya sana, na ndo maana wakaanzisha UN (UNSC) kwa lengo hilo hilo, haya mambo hayataki jazba, kwani ukiruhusu kila mtu kujiamulia kuvamia atakavyo kesho Misri wakivamia Tanzania kwa kuwa hawataki tutumie maji ya Ziwa Nyanza/viktoria unafikir ni sawa? Na je sisi tutaenda wapi kama Misri wakiamua tu kwa kuwa wanaweza na wana uwezo huo, wakitukataza kutumia maji ya Ziwa Nyanza, kama unafikiri international law haina maana? Kwa maana hatuna uwezo wa kupigana na Misri kimabavu hata iweje!
Haya mambo hayaendi hivyo na ndio maana kuna UN!
Mifano yako haina kichwa wala miguu.
 
Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka madarakani kwa nguvu Kibaraka wa Kizungu, sasa hali ya hatari imeshatangazwa nchini humo!

Kwa mara nyingine tena watu wengi wanakwenda kufa Afrika, ikumbukwe kwamba takataka wa Afrika Magharibi wanafanya uvamizi kwa maana hawana baraka za UNSC (UN) hivyo ni vita haramu, ambayo Mzungu yuko nyuma yake, kwa lengo la kuirudisha kwa nguvu nchi ya Gambia kwenye Jumuiya ya Madola na ICC!

Kenya ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia amaji, hata Uhuru Kenya anataka kuiondoa nchi ya Kenya ICC, sasa subiri moto wako unakuja!

Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!

Gambia's Yahya Jammeh declares state of emergency
Kaka umeongea kitu cha maana sana lakini wachumbia tumbo watakuona huna maana!
Walikuwepo wakati libya inamfukuza Gadafi wakadai ni democracy, walikuwepo wakati Iraq wanamtoa saddam,! Wakasema ni democracy! Yanayoendelea syria wanasema democracy.!!
Alie nyuma ya haya yote........
Na leo Gambia.. Baada ya hapo..?
 
Back
Top Bottom