Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nchi za Afrika ya Magharibi zikiongozwa na nchi ya Nigeria ambayo jina lake limetokana na neno Nigga (Nigeria-Niger), zimeanza jitihada zao za kuivamia nchi ndogo ya Gambia kwa lengo la kumuweka madarakani kwa nguvu Kibaraka wa Kizungu, sasa hali ya hatari imeshatangazwa nchini humo!
Kwa mara nyingine tena watu wengi wanakwenda kufa Afrika, ikumbukwe kwamba takataka wa Afrika Magharibi wanafanya uvamizi kwa maana hawana baraka za UNSC (UN) hivyo ni vita haramu, ambayo Mzungu yuko nyuma yake, kwa lengo la kuirudisha kwa nguvu nchi ya Gambia kwenye Jumuiya ya Madola na ICC!
Kenya ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia amaji, hata Uhuru Kenya anataka kuiondoa nchi ya Kenya ICC, sasa subiri moto wako unakuja!
Muafrika ni Mtumwa wa Muzungu!
Gambia's Yahya Jammeh declares state of emergency