nevi wa italy watihibitisha kuwakamata zaidi ya waAFRICA 1800 pembezoni mwa fukwe za italy wakijaribu kuingia barani ulaya,idadi ya wakimbizi kwa mwaka wanaokamatwa ni 70000/= achilia mbali wanaozama majini na kupoteza uhai wao.
swali langu sisi wa AFRICA tunamatatizo gani ya kiakili na kiuchumi mpaka kujihatarisha kiasi hicho?!
kama shida(ulaya si peponi)migomo ipo,masikini wapo,mafisadi wapo,wazalendo wapo,tatizo la posho ndogo lipo,tatizo la kupata ajira lipo,kama ni hivyo ya nini kujihatarisha?!kwa nini tusijitume nchini kwetu na barani kwetu tukakuza uchumi wa bara letu?!