WeedLiquorz
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 3,712
- 6,293
Elimu nene uliyoipata Imekusaidia tu Kukuongezea Confusion na Ubishi. Sawa Black Man komaa na History๐Hakuna kilichoandikwa na Mzungu the oldest Bible iko Ethiopia wakati Hao mababu zako WA kizungu wakiwa kwenye mapango. Na ndio maana walijaribu kuivamia hiyo nchi Mara kibao na silaha kali still hawakuweza maana ndio sehemu pekee iliyobaki ambayo hawakuweza kualter anathing. Wamshukuru mgiriki walipokuja kujifunza Egypt, Ethiopia na Nubia ndio akaamua kustafsrii WA lugha yake then mroma nae akaomba then huyo mzungu WA mwisho akajaa baadae kuweka kwa kingereza ndio akaona Kuna faida akiibadili kwa upande wake but still hakuweza vyote. Na ndo maana mpk kesho anahangaika na historia ya Egypt iwe nyeupe. Maana bila hivyo uongo wake wote utakuwa hauna maana.
Ndio maana jua halinisumbui but wao. Linawasumbua. Because am the ORIGINAL.
Ndo maana nikasema hulazimishwi.Elimu nene uliyoipata Imekusaidia tu Kukuongezea Confusion na Ubishi. Sawa Black Man komaa na History
Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.
Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.
Mtu mweusi ndio mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu.
Dini ya Wazungu ni Ukristo
Dini ya Waarabu ni Uislam
Dini ya Wahindi ni Hinduism
Waafrika tujitafute, kamwe hatutaheshika kwa kudharau tamaduni zetu na kuheshimu tamaduni za wageni.
Mansa Musa wakati anaenda kuhiji Makkah,aliishusha thamank ya dhahabu pale misri,maana alimgawia kila mtuHistorically Empire zote kubwa Africa ambazo zimetingisha Dunia zilikua na Dini, Kuanzia Egpty ya kale, Ethiopia (Aksum), Mansa Mussa na Mali Empire yake etc.
Mataifa ya sasa ya Ki Africa yanayoiga mifumo ya kizungu kama Kijamaa na Ubepari ndio yamekaa kunyonywa nyonywa tu. Ambayo yanajielewa yenye identity kila siku yanazidi kuendelea
Huoni mnavyopenda dini kuliko maendeleo.๐จ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐.๐๐๐จ๐ฆ๐๐ ๐ฎ๐๐๐๐๐ง๐ฎ๐ณ๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ก๐๐ฒ๐จ ๐ญ๐๐๐๐๐ก๐๐ฅ๐ข ๏ฝก^โฟ^๏ฝก
๐ฉ๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐?
๐ต๐ ๐๐! ๐ผ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ผ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ผ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐?
๐ฑ๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐?
๐๐๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐๐ง๐๐ฒ๐๐ฉ๐ข๐ง๐ ๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐จ ๐ข๐ฌ๐ข๐ฉ๐จ๐ค๐ฎ๐ฐ๐.๐ค๐๐ฆ๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ฒ๐๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ค๐ข๐ญ๐ฎ ๐ค๐ข๐ฌ๐ข๐๐ก๐จ ๐ฌ๐๐ฐ๐.Huoni mnavyopenda dini kuliko maendeleo.
Huoni mnavyobaguana kwa dini.
Wengine wako tayari kufa kwa ajili ya dini.
Mkijadili maendeleo lazima udini uingie hawapendi kiongozi sababu ni dini fulani.. Etc.
Tuko radhi kujaza makanisa na misikiti kuliko hospitals na shule. Mengine hata wewe ukikaa ukaumiza kichwa utayaona
Mkuu usichokijua unabishaja na Wachawi wakitetea tunguli zao.๐๐๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐๐ง๐๐ฒ๐๐ฉ๐ข๐ง๐ ๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐จ ๐ข๐ฌ๐ข๐ฉ๐จ๐ค๐ฎ๐ฐ๐.๐ค๐๐ฆ๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐ ๐ฒ๐๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ค๐ข๐ญ๐ฎ ๐ค๐ข๐ฌ๐ข๐๐ก๐จ ๐ฌ๐๐ฐ๐.
๐๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฉ๐จ๐ฃ๐๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ค๐๐ง๐ข๐ฌ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐ข๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐ญ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ ๐ฏ๐ข๐ฃ๐๐ณ๐ฐ๐ ๐ฏ๐ข๐ญ๐ฎ ๐ ๐๐ง๐ข? ๐๐ง๐๐ญ๐๐ค๐ ๐ฆ๐๐ก๐จ๐ฌ๐ฉ๐ข๐ญ๐๐ฅ๐ฌ ๐ง๐๐ข๐ฒ๐จ ๐ฒ๐๐ฃ๐๐ณ๐ฐ๐? ๐๐๐ฅ๐ข ๐ค๐๐๐ก๐๐ฅ๐ข๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฅ๐ ๐ณ๐ข๐ฆ๐๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐จ๐ฌ๐ ๐ฐ๐๐๐ฎ๐ง๐๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐๐จ? ๐๐ข๐ง๐ข ๐ญ๐ฎ๐ค๐ข๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ง๐ ๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ญ๐ฎ๐ค๐ข๐๐ก๐ฎ๐ค๐ข๐?
Dunia ni duara /tufe sasa hizo kona nne zinatoka wapi ,hawa waandishi wa kale bure kabisaBible Mungu anasema atawawanya Kwenye kona 4 za Dunia. But wale wahuni wakuja kutoka Germany na Spain
Nani alikwabia Ukristo ni dini ya Wazungu. Kwani kabla ya Ukristo (2000 yes ago) hawakuwa na dini?Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.
Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.
Mtu mweusi ndio mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu.
Dini ya Wazungu ni Ukristo
Dini ya Waarabu ni Uislam
Dini ya Wahindi ni Hinduism
Waafrika tujitafute, kamwe hatutaheshika kwa kudharau tamaduni zetu na kuheshimu tamaduni za wageni.
Bangi zetu tuzivute kwa kiasiYes alifananishwa na MMISRI WA ZAMANI. so yes alikuwa mweusi kama wenzake Akina Samsoni waliokuwa na rasta kama Bob Marley
Iko tofauti kabisa na hii Biblia ya wazunguLakini Kule kwetu Ethiopia ndipo Kuna bible ya Kwanza kabisa.. So ukristo hauwezi kutengana na muafrika...
wapo waswahili wa Islam na wakristo, wenye ukwasi mkubwa,watu kama Boss Ruge, Mzee Mengi, Dangote, dini hizo sio shida, shida tunataka dini zitatue matatizo ya kiuchumi,Ukristo na Uislam haviko kwa ajilibya mtu mweusi. Uislam ulibuniwa na Wazungu kwa ajili ya Waarabu.
Wakiwa kwenye harakati za kukuza tawala zao Wazungu na Waarabu wakatumia dini hizi kama ghiliba ya kumghilibu mtu mweusi wampe mikuluwani na miinjili kisha wapore tunu zote za mtu mweusi.
Mtu mweusi ndio mwanadamu pekee aliyeumbwa na Mungu.
Dini ya Wazungu ni Ukristo
Dini ya Waarabu ni Uislam
Dini ya Wahindi ni Hinduism
Waafrika tujitafute, kamwe hatutaheshika kwa kudharau tamaduni zetu na kuheshimu tamaduni za wageni.
Na kwa nini wamnyime? Hapo madhabahu ni 0, Jemima ni 3.Jemima tangu unyimwe sadaka kanisani ya kulipa ada chuo umekua na chuki sana na madhabahu.
Na hili sio jukumu la diniwapo waswahili wa Islam na wakristo, wenye ukwasi mkubwa,watu kama Boss Ruge, Mzee Mengi, Dangote, dini hizo sio shida, shida tunataka dini zitatue matatizo ya kiuchumi,
Mental slaveryNamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam
Mmekuwa tegemezi mno, mnaona watu weupw ndio bora sana na nyie duni sana๐จ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐.๐๐๐จ๐ฆ๐๐ ๐ฎ๐๐๐๐๐ง๐ฎ๐ณ๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ก๐๐ฒ๐จ ๐ญ๐๐๐๐๐ก๐๐ฅ๐ข ๏ฝก^โฟ^๏ฝก
๐ฉ๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐?
๐ต๐ ๐๐! ๐ผ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ผ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ผ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐?
๐ฑ๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐?
Mimi ni Mtumwa wa Allah. Na nimeridhia hilo. Jambo bora lilioje hilo kuwa Mtumwa wa Mola wa viumbe vyote.Mental slavery