ilboru1995
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,329
- 269
Haya maandishi wayabandike Bungeni Dodoma na Sehemu zote nyeti serikalini, ili kuwakumbushia viongozi wetu kule tulikotoka na kuzidi kurudi kulekule. Maana wengi wameyasoma pahali maishani mwao, ila kwa tamaa zao na kutothamini utaifa wao wameyasahau.Ukweli utabaki kuwa ukweli na kamwe ukweli hauwezi kubadilika umbo, tabia, sura, kamwe ukweli hauwezi kupotezwa kwa nguvu za upepo, jua, fedha na hata nguvu za giza kama zipo! Tumeshuhudia madudu mengi sana yanafanyika ktk nchi yetu Tanzania na mfano mzuri sana nijinsi vyombo vyetu vya habari ie TBC, Magazeti hasa yale yanayomilikiwa na bw ROSTAM AZIZ na yale ya serikali yalivyokuwa yanajaribu bila ya mafanikio kupotosha umma na pengine kujaribu kuleta hali ya kutoelewana miongoni mwa watanzania... kwanini tusikubaliane na haya maneno?;
"Blacks cannot rule themselves. Give them guns and
they will kill each other. They are good in nothing
else but making noise, dancing, marrying many wives
and indulging in sex. Let us all accept that the
Black man is the symbol of poverty, mental
inferiority, laziness and emotional
incompetence."
They are good in nothingelse but making noise
... hofu yangu nikuwa hali hii itaendelea pengine mpaka mwisho wa Dunia! Haingii akilini nchi kama Tanzania yenye watu zaidi milioni 40, vyuo vikuu na wahitimu wa fani mbali mbali ... bado tunajiingiza kwenye mikataba mibovu ! tunakubaliana na sera mbalimbali zenye kuinyonya na kuingamiza nchi yetu i.e sera ya madini 1998 iliyoandikwa na world bank na sisi tukaibariki, tukaambiwa tufunge kiwanda chetu cha kusafishia mafuta (TIPER) na tukakifunga ! usalama wa Taifa ukaondolewa meno na kubaki mbwa doko lenye kula kuku wa nyumbani na kufyata mkia wezi waingiapo!...Jamani eeeee! NEVER TOO LATE, bora tukubali kutawaliwa kihalali na hawa wazungu wateule labda machungu yatapungua...Those things are happening today, damn!
you could be right,bora arudi mkoloni,at least all other things being equal,we will stand upright kuliko huu mwendo wa sasa tunaotembelea miguu minne
Ilboru unanitia aibu sana kama mwanafunzi mwenzako wa Ilboru '93. Are we raw materials!? sometimes you need to blame people and not race because all human originated from Africa and thre's no scientific fact prove any race is superior than the other because brain is the same for white, blacks, and brown. Umenitia aibu sana
Ilboru unanitia aibu sana kama mwanafunzi mwenzako wa Ilboru '93. Are we raw materials!? sometimes you need to blame people and not race because all human originated from Africa and thre's no scientific fact prove any race is superior than the other because brain is the same for white, blacks, and brown. Umenitia aibu sana
unamtaka mkoloni gani tena? mbona sasa tuna tawaliwa na mkoloni mweusi!