Waafrika mnapata wapi nguvu za kuishabikia Argentina? Na ubaguzi wao ule kwa Waafrika?

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,499
Waafrika tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipotakiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya Kusini iliowafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.

Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweusi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrika kutoka Africa.

Sasa Waafrica tunavyopenda kujipendekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzi mkubwa sana yaani wao wanaona Waafrika kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.

Ni sawa na wale wanaojipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrika kabisa.

Waafrika tuache upuuzi.
 
Kwa hiyo tushabikie mpira kwa kufuata historia? Mfano Uganda ingekuwa world cup sisi watanzania hatukutakiwa kui support kisa Idd Amin alipigana na sisi akawaua baadhi ya ndugu zetu Kagera?.Kama haya ndiyo mawazo ya watanzania wengi CCM itatawala dahari
Nyie endeleeni kushabikia ndio kazi yenu Waafrika.
 
U
Waafrica tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipo takiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya kusini ilio wafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.

Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweuzi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrica kutoka Africa.

Sasa Waafrica tunavyo penda kujipedekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzia mkubwa saba yaani wao wanaona Waafrica kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.

Ni sawa na wale wanao jipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrica kabisa.

Waafrica tuachr upuuzi.
Urugwai ya Suarez mijino ni ndugu zao hawa waajentina

Wapigwe tu
 
Israel haihusiki kwenye hayo mambo

Unaifahamu mission yao kuwaokoa waisrael weusi waethiopia wakati ya vita mkuu??

👇🏿👇🏿

Akili za wabongo tunazifahamu wenyewe...

Tunapoelekea tuta tafuta sababu za kuwashabikia wajerumani na waingereza maana waliwatesa na kuwaua mababu zetu kwenye mashamba na tulivyouzwa kama watumwa enzi zile za ukoloni.
 
Kwa hiyo tushabikie mpira kwa kufuata historia? Mfano Uganda ingekuwa world cup sisi watanzania hatukutakiwa kui support kisa Idd Amin alipigana na sisi akawaua baadhi ya ndugu zetu Kagera?.Kama haya ndiyo mawazo ya watanzania wengi CCM itatawala dahari

Mkuu historia ndo kila kitu

Unafikiri kwa nini Liverpool na Man Utd ni mahasimu

Au Argentina na England

Au England na Germany

Wote hawa ni historia inawagawa

The same to Barcelona na Madrid
 
Li
Linapofika suala la soka mambo mengine mengi yanakaa pemben! Binafsi naishanikia Argentina sababu ya Lionel Messi.
Linapofika swala la mpira mambo mengi yanaingia mpirani

Fatilia utagundua

Kwa kuanzia soma Falkland Island crisis kati ya Argentina na Uingereza

Alafu peleka forward hadi Maradona anapowafunga waingereza solo goli world cup 1986
 
Hadi Beckham alipopewa red card 1998 France
 
Waafrica tunapenda sana kujipendekeza, hata tusipo takiwa, Argentina ndio nchi pekee America ya kusini ilio wafuta kwa kuwaua watu weusi ili wasiharibu damu yao.

Ndio maana hata timu yao ya Taifa huwezi kuta mtu mweuzi tofauti na timu zingine zote za America ya kusini, na kumbuka America ya kusini ndio ilikuwa kitovu cha Waafrica kutoka Africa.

Sasa Waafrica tunavyo penda kujipedekeza eti mimi timu Argentina huu ni ujinga na upuuzia mkubwa saba yaani wao wanaona Waafrica kama nyani lakini nyie mko bise kuwakumbatia.

Ni sawa na wale wanao jipendekeza kwa Israeli wakati Israeli kwanza ina Wakrsto wachache sana na pili haina time na Waafrica kabisa.

Waafrica tuachr upuuzi.
Nawashangaa mijitu ya Afrika mishabiki ya Argentina. Naanzaje kwa mfano. Messi ni vuzi tu la kutupwa jalalani.

Kama Ridondo sikumshabikia, mimi sio shabiki wa Argentina 🇦🇷
 
We kichaa unamkumbuka huyu
images (31).jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom