Waafrika hawawaelewi Wazungu!

Waafrika hawawaelewi Wazungu!

Siku zote Waafrika hufanya mambo yanayofanana, hurudia makosa yale yale huku wakitegemea matokeo tofauti!

Chadema kama walivyo Waafrika wengine kama Besigye &Co. wanaamini kabisa kwamba Muzungu ataiwekea TZ vikwazo kwa sababu ya Tundu Lisu!

Hivi kwanza mnajua hii Dunia ina nchi ngapi? Mnafahamu ni watu wangapi aina ya Tundu Lisu wanashinda kwa Wazungu kuomba wawaingilie mambo ya nchi zao?
I mean kuanzia Syria, Pakistani, Afghanistani, Libya mpaka Uturuki na Somalia yote hiyo ni mizigo ya Muzungu, hivyo kumbeba Tundu Lisu kwenye Machela kumpeleka Brussels eti kupata attention ya Muzungu inaonyesha jinsi gani mlivyokuwa naive na msivyoelewa jinsi hii Dunia inavyokwenda, labda mngemuuliza Maalim Seif amezunguka na kutoa lectures kwa Muzungus capital cities mpk amechoka lkn zero results na sasa hivi anampongeza Raisi Magufuli kwa kazi nzuri ya kuongoza nchi!

Jiuluzeni swali moja, Tundu Lisu amepigwa risasi miezi 4 iliyopita, hapa TZ kuna Wawakilishi wa UN, EU tena wana Balozi, USA, Urusi, Ujerumani, Ufaransa, Skandinavia, Kanada wote wapo, mbona hakuna official statement yoyote ktk kwao kulaumu au hata tu kutoa pole?
Ingawaje jitihada nyingi zimefanywa na chadema ili wafanye hivyo lkn kimya?

Dunia haiendi hivyo, ushauri wangu kwa Tundu Lisu ,,you hate what you cant conquer” na utazidi kuumia, be realistic man, zaidi ya sifa za kwenye mitandao hakuna kitu utapata, jali familia yako ni muhimu zaidi, hakuna Muzungu ambaye ana influence Brussels anaweza kukusiliza vinginevyo wangeshafanya hivyo na usingehitaji kwenda huko!
Sasa umetsngaza vita dhidi ya Serikali, huwezi kushinda kesho watakuvua Ubunge, watakunyang’anya Leseni ya Uwakili TZ, utakula wapi? Vp familia yako?

Usijidanganye, hii Dunia haijaanza jana na kuna wengi tena waliokuwa na ushawishi mkubwa lkn wamepoa, Lowasa mpaka akikuwa Waziri Mkuu hata alishiriki kuunda Serikali lkn yuko chali, ije kuwa wewe? Acha kujidanganya man!

Foreign policies haziendi hivyo!

Nakuonya tena utazidi kuumia bila ya sababu na hakuna Mtanzania atakayetoa chozi kwako kuacha Familia yako.
Najua una hasira na unataka revenge, unataka kuonyesha wewe ni Mwanaume na unataka kupigana, lkn you have to be smart also, angalia unataka kupigana dhidi ya nani? Je Raisi Magufuli, CCM, Mfumo wa JMTZ au Magufuli kama Magufuli?

Kila la Heri man, ...
Afadhali wewe umesema, nilimkanya Sana huyu kiumbe hakusikia, ametumika for nothing, na bado, leo hata kuniki hawezi, muda si mrefu ataanza saidiwa, niliwahi mwambia ngoma ikivuma Sana hupasuka, hatimae imepasuka, sasa anatembezwa kama wa maonyesho, aibu Sana
 
We dada acha kiherehere kwani Lissu amesema anakwenda kutafuta attention ya wazungu, wote tunajua anakwenda kutibiwa sasa wewe hayo maujinga yako umeyatoa wapi
 
Siku zote Waafrika hufanya mambo yanayofanana, hurudia makosa yale yale huku wakitegemea matokeo tofauti!

Chadema kama walivyo Waafrika wengine kama Besigye &Co. wanaamini kabisa kwamba Muzungu ataiwekea TZ vikwazo kwa sababu ya Tundu Lisu!

Hivi kwanza mnajua hii Dunia ina nchi ngapi? Mnafahamu ni watu wangapi aina ya Tundu Lisu wanashinda kwa Wazungu kuomba wawaingilie mambo ya nchi zao?
I mean kuanzia Syria, Pakistani, Afghanistani, Libya mpaka Uturuki na Somalia yote hiyo ni mizigo ya Muzungu, hivyo kumbeba Tundu Lisu kwenye Machela kumpeleka Brussels eti kupata attention ya Muzungu inaonyesha jinsi gani mlivyokuwa naive na msivyoelewa jinsi hii Dunia inavyokwenda, labda mngemuuliza Maalim Seif amezunguka na kutoa lectures kwa Muzungus capital cities mpk amechoka lkn zero results na sasa hivi anampongeza Raisi Magufuli kwa kazi nzuri ya kuongoza nchi!

Jiuluzeni swali moja, Tundu Lisu amepigwa risasi miezi 4 iliyopita, hapa TZ kuna Wawakilishi wa UN, EU tena wana Balozi, USA, Urusi, Ujerumani, Ufaransa, Skandinavia, Kanada wote wapo, mbona hakuna official statement yoyote ktk kwao kulaumu au hata tu kutoa pole?
Ingawaje jitihada nyingi zimefanywa na chadema ili wafanye hivyo lkn kimya?

Dunia haiendi hivyo, ushauri wangu kwa Tundu Lisu ,,you hate what you cant conquer” na utazidi kuumia, be realistic man, zaidi ya sifa za kwenye mitandao hakuna kitu utapata, jali familia yako ni muhimu zaidi, hakuna Muzungu ambaye ana influence Brussels anaweza kukusiliza vinginevyo wangeshafanya hivyo na usingehitaji kwenda huko!
Sasa umetsngaza vita dhidi ya Serikali, huwezi kushinda kesho watakuvua Ubunge, watakunyang’anya Leseni ya Uwakili TZ, utakula wapi? Vp familia yako?

Usijidanganye, hii Dunia haijaanza jana na kuna wengi tena waliokuwa na ushawishi mkubwa lkn wamepoa, Lowasa mpaka akikuwa Waziri Mkuu hata alishiriki kuunda Serikali lkn yuko chali, ije kuwa wewe? Acha kujidanganya man!

Foreign policies haziendi hivyo!

Nakuonya tena utazidi kuumia bila ya sababu na hakuna Mtanzania atakayetoa chozi kwako kuacha Familia yako.
Najua una hasira na unataka revenge, unataka kuonyesha wewe ni Mwanaume na unataka kupigana, lkn you have to be smart also, angalia unataka kupigana dhidi ya nani? Je Raisi Magufuli, CCM, Mfumo wa JMTZ au Magufuli kama Magufuli?

Kila la Heri man, ...
Mzee umeongea yaliyomo moyoni mwangu. Huyu jamaa ajiandae kulaumiwa na watanzania wote.wanacheza na dr. Mwenye uweledi wa hali ya juu sana. Na wazungu wanamtambua maana kwatia jambajamba hapa hawana ham naye the guy is more than smart. Ni mwanasayansi yule na mambo yake yanaenda kisayansi. Sasa wewe ukileta mambo ya kupambana naye atakumaliza kisayansi. Na hakuna sekta sayansi ilishindwa. So tls rudi nyumbani acha harakati za kijinga njoo tujenge nchi yetu pamoja
 
Ni kweli maana alinizaa nikiwa kipanga! Hivi unajua majukumu ya nurse. Umeshafundishwa TLC?
Mama yako ndiye Kilaza na wala si kipanga, aliniharibu sasa anakwenda kunifundisha nisiyoyataka. Naacha shule
 
nilicho note mtoa mada anamjua/anawajua waliomuumiza so anampa onyo kwamba hao watu watarudi kumuumiza tena.

over
 
TL might be a hero,but is it worth his life?
Tunapomshangilia sana na yeye anazidisha lakini tukishamlilia tutamsahau tu,that is natural ,
Ujasiri ni kitu bora kiumbe kuwa nacho,lakini subira na hekima ni wachache hujaliwa. Kumbuka Sulemani mwenye hekima aliandika kuwa washindao vitani siyo wenye nguvu,wapigao mbio sana siyo washindao,bali bahati huwapata wote walio na nguvu na wasio nazo.
 
Mtoa mada umeonyesha umaskini Wa akili kuanzia matakoni hadi kichwani, kila la heri nenda katubu Kwa jambo mlilofanya.
Msipani Lisu yu hai.
 
Back
Top Bottom