ha ha ha tutakuchangia kaka!.....ngoja nifute tu sina milioni 7 za kuchezea!!!
Kweli mkuu, Mbona wanakimbilia si-ha-sa!!!Kujiajili sio mchezo mchezo jiulize kilichowashinda wenyewe ni nn ilitamkwa kila mtu ataisoma namba haijalishi ww ulisoma PGM AU HKL
Je kung'owewa kucha???-jokeha ha ha tutakuchangia kaka!
Kila jambo na tararibu zake! Haina maana kwa vile ni kujiajiri basi kila mtu ajifanyie anavyotaka. Hakuna nchi ya namna hiyo duniani.Serikali inasema vijana wajiajili ikiwa kwenye vyombo vya habari,
Vijana wakianza kujiajiri inawakuta huko walikojiajiri inawafukuza,sasa sijui nchi hii itaendelea katika mfumo gani.
Maana yangu,baada ya vijana wengi kuhitimu vyuo na kukosa ajira,wengi imebidi wajiajiri kwenye kilimo cha umwagiliaji,sasa huko wanakoloma wengi wanatumia maji ya mito inayowazunguka,lakini cha ajabu serikali imepiga marufuku vijana wasitumie maji hayo eti wanaharibu rasimali,sasa najiuliza kazi za maji hayo ni zipi?
Ndo mambo yaleyale...mzawa usichimbe dhahabu ila mzungu achimbe.
Serikali kama inakataa maji yasitumike basi iseme hayo maji yanaenda wapi,na kufanya nini..haiwezekani izuie vijana kunufaika na rasilimali za nchi..
te te te hiyo utakuwa unatembea umechoma ganzi kabisa!Je kung'owewa kucha???-joke
Nchi hii ukifuatilia kwa undani kabisa,hakuna taratibu wa mikakati ya maendeleo iliyowekwa na watawala ama viongozi wa kiafrica,taratibu nyingi zinazotumika ni zile zilizoachwa na wakoloni kwahiyo serikali ilizichukua kama zilivyo...ndo mana kila kitu unakuta ni cha serikali na si cha wana wa nchi...kumbuka kipindi hicho serikali ilikua ya mkoloni kwahiyo kila rasimali ilikua mali ya mkoloni (serikali),ukifika wizara ya maji waambie wakupe tafsiri ya maji na sheria zake utashangaa sana....Kila jambo na tararibu zake! Haina maana kwa vile ni kujiajiri basi kila mtu ajifanyie anavyotaka. Hakuna nchi ya namna hiyo duniani.
Fuata sheria na taratibu zilizowekwa utafanikiwa.
Umeongea sana mkuuNchi hii ukifuatilia kwa undani kabisa,hakuna taratibu wa mikakati ya maendeleo iliyowekwa na watawala ama viongozi wa kiafrica,taratibu nyingi zinazotumika ni zile zilizoachwa na wakoloni kwahiyo serikali ilizichukua kama zilivyo...ndo mana kila kitu unakuta ni cha serikali na si cha wana wa nchi...kumbuka kipindi hicho serikali ilikua ya mkoloni kwahiyo kila rasimali ilikua mali ya mkoloni (serikali),ukifika wizara ya maji waambie wakupe tafsiri ya maji na sheria zake utashangaa sana....
Mpaka sasa asilimia 92 ya ardhi ya nchi hii haijatumika ipasavyo kwasababu hizohizo...
Kuna haja ya serkali kutafsiri upya rasilimali ili zilete manufaa kwa wana wa nchi
Aisaee pole mkuu!! hayo maji yanaenda huko Misri .... yana kusanywa na kumwagika ziwani, na mengine yanaelekea kumezwa bahari hindi !!! inasikitisha sana...Serikali inasema vijana wajiajili ikiwa kwenye vyombo vya habari,
Vijana wakianza kujiajiri inawakuta huko walikojiajiri inawafukuza,sasa sijui nchi hii itaendelea katika mfumo gani.
Maana yangu,baada ya vijana wengi kuhitimu vyuo na kukosa ajira,wengi imebidi wajiajiri kwenye kilimo cha umwagiliaji,sasa huko wanakoloma wengi wanatumia maji ya mito inayowazunguka,lakini cha ajabu serikali imepiga marufuku vijana wasitumie maji hayo eti wanaharibu rasimali,sasa najiuliza kazi za maji hayo ni zipi?
Ndo mambo yaleyale...mzawa usichimbe dhahabu ila mzungu achimbe.
Serikali kama inakataa maji yasitumike basi iseme hayo maji yanaenda wapi,na kufanya nini..haiwezekani izuie vijana kunufaika na rasilimali za nchi..
Kuna sheria inakataza kilimo cha umwagiliaji mkuu? Naomba nijuze....Kila jambo na tararibu zake! Haina maana kwa vile ni kujiajiri basi kila mtu ajifanyie anavyotaka. Hakuna nchi ya namna hiyo duniani.
Fuata sheria na taratibu zilizowekwa utafanikiwa.
Hakuna sheria inayokataza hicho kilimo, ila kuna maeneo ambayo kilimo cha aina yoyote hakiruhusiwi.Kuna sheria inakataza kilimo cha umwagiliaji mkuu? Naomba nijuze....
Na sindano ya pepopunda[emoji1]te te te hiyo utakuwa unatembea umechoma ganzi kabisa!
Asante nmekupata mkuu... Ila ungedadavua hayo maeneo kwa faida ya woteHakuna sheria inayokataza hicho kilimo, ila kuna maeneo ambayo kilimo cha aina yoyote hakiruhusiwi.
Hivyo kabla hujaanzazisha shughuli yoyote sio kilimo tu mkuu, hakikisha inalandana na taratibu na sheria za nchi na sehemu husika ili kuepuka hasara zisizokuwa za lazima. Kila la kheri!