Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Hayo maamuzi msingi wake ni nini?
hamisi kishindi..ndo..
Hayo maamuzi msingi wake ni nini?
hamisi kishindi..ndo..
hivi kwanin unapenda hayo makitu wewe?
mi staki kwanza sijawahi kula hayo makitu.
Juzi ulisema unapenda sana. Kila siku lazima upate dozi mara tatu ukantishia kuila na kuimaliza yangu. Nakuogopa mimi.
hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa.
hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa.
log nitakufundisha, sema lini una muda. Halafu hesabu za maumbo unazijua wewe? Unaweza kucalculate area ya koni?
akifuliaNi kitu gani kitakufanya umuache mwanaume, mbali na kucheat? Majibu yenu yatawasaidia wale wanaopigwa vibuti kila kukicha. Karibuni tujadili
akifulia
hapana, nitakuja na koni ya judgement. Utatumia hiyo kama mfano. Nikishakufundisha utakalkuleti ya kwako mwenyewe. Sawa student?
nikitumia yako utataka niendelee kukuelewesha hata kama umeshaelewa. Lol
nipe uoneBado unapenda vitu?