Kwa mtazamo huu hatutafika, tumeanza kubaguana sasa. Mambo ya kifamilia hapa yametokea wapi tena??? Kwa hiyo mtu aliyepo nje ya nchi hatakiwi kuwa na ndugu mwanasiasa??? Hata kama amesomeshwa kwa pesa za CHADEMA, wewe unaona ni mbaya????Kipi bora, Chama kiwezeshe watu kupata elimu au kifunze watu ukomando uchwara/uhuni (Green guards)???Sisi hatutaki kujua mambo ya familia za watu hapa mana huo ndo unaitwaga umbea/majungu kama sijakosea.
Halafu usisahau kuwa kwa binadamu kufanana majina haina maana kuwa ni wanafamilia, kama ni hivyo basi almost 20% ya waislamu duniani ni wanafamilia, mana majina yao mengi yamefanana. Kwa wachaga ukiona Lyimo haimaanishi Lyimo wote ni wanafamilia, huo ni ukoo mpana sana tena unawatu wengi wasiojuana kbs. Laizer/Mollel kwa Wamasai ni hivyo hivyo, Mwakyusa kwa wanyakyusa vivyo hivyo. so achana na hiyo perception. Halafu umeongea mengi sana kwa kweli hadi nimehisi unachuki binafsi, acha hizo.[/QUOTE
Wallah Radhim namiambieni, ni kosa kosa kubwa sana sana katika jukwaa hili kuikosoa CHADEMA, ukitaka wakuone masaburi, kosoa CHADEMA, ukitaka utukanwe, kosoa CHADEMA, ushabiki wa kupitiliza usio na macho kwa CHADEMA unaharibu dhima nzima ya "Great thinkers" hebu tuwe wavumilivu ili kulinda heshma ya jukwaa hili
Wabillah tawfiq