Wa Tanzania tuheshimuni Cheo cha Raisi

Wa Tanzania tuheshimuni Cheo cha Raisi

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,179
Kila jambo Raisi anaona,raisi utahusika na maneno kibao tu ,Hivi hakuna wakuu wa wilaya mikoa mawaziri wapolisi mpaka Mnathubutu kumvaa Raisi ?

Mlipita kwa mkuu wa wilaya,au Mkuu wa Mkoa au vituo vya pilisi na ngazi zake zote hata mnaenda kugonga Ikulu ?
Basi ngazi zote zivunjwe abakie Raisi peke yake maana watanzania tunaona Raisi ndio kila kitu.

Jaribuni kupita ngazi zote au kulaumu ndazi zote hatua bada ya hatua na ionekane kama mnavyo kisakama Cheo cha Rais ,ndio anzeni huko huko ngazi za chini.
Tumeona kule Zanzibar ACT wazalendo wameachana na Rais na wameanza kuwapeleka mahakamani hawahawa vibaraka wa CCM walio ngazi za chini ,ambao hutumika kuwatesa wananchi ,Chama cha ACT ,kimetoa onyo kuwa sasa kitamshitaki mmoja mmoja anaejifanya yeye ndie nkuu wa wilaya,wamkoa polisi jeshi raisi makamu ,mtu ambae anajivisha vyeo vyote hivyo , kwa kuwa tu CCM ipo madarakani, hivyo mkakati liCCM litakalo jifanya kiranya na kuvunja sheria ,atashitakiwa peke yake ,yeye kama yeye.

Mbona CCM sasa wameanza kukimbiana, atakevunja sheria kama ataweza kupambana mahakani yeye kama yeye basi amekaribishwa kwenye siasa za Zanzibar ,hakushitakiwi tena taasisi anashitakiwa mtu anaejifanya kimberembere.

Raisi hawezi kumtetea mtu mmoja mmoja mahakamani maana anowengi wanaohitaji nafasi za ccm au serikali ,hivyo ukishitakiwa peke yako ujue imekula kwao, na mawakili wa siku hizi walivyokuwa wakorofi .

Viongozi huku Tanganyika tuachezi kumsakama Cheo cha Raisi tuanza nao huku huku ngazi za chini na mtaona mabadiliko , mkuu wa wilaya au mkoa au Mwanaccm anashitakiwa yeye kama yeye na sio cheo alichonacho.
 
Sisi ndiyo tumemuajiri. Tunatakiwa tuwe tunamvaa wakati wowote akikosea. Ni vile tu kwenye shit hole countries kama ya kwetu, rais anajiweka mwenyewe madarakani ndiyo maana anafanya kinyume kabisa na utawala bora.
 
Kila jambo Raisi anaona,raisi utahusika na maneno kibao tu ,Hivi hakuna wakuu wa wilaya mikoa mawaziri wapolisi mpaka Mnathubutu kumvaa Raisi ?

Mlipita kwa mkuu wa wilaya,au Mkuu wa Mkoa au vituo vya pilisi na ngazi zake zote hata mnaenda kugonga Ikulu ?
Basi ngazi zote zivunjwe abakie Raisi peke yake maana watanzania tunaona Raisi ndio kila kitu.

Jaribuni kupita ngazi zote au kulaumu ndazi zote hatua bada ya hatua na ionekane kama mnavyo kisakama Cheo cha Rais ,ndio anzeni huko huko ngazi za chini.
Tumeona kule Zanzibar ACT wazalendo wameachana na Rais na wameanza kuwapeleka mahakamani hawahawa vibaraka wa CCM walio ngazi za chini ,ambao hutumika kuwatesa wananchi ,Chama cha ACT ,kimetoa onyo kuwa sasa kitamshitaki mmoja mmoja anaejifanya yeye ndie nkuu wa wilaya,wamkoa polisi jeshi raisi makamu ,mtu ambae anajivisha vyeo vyote hivyo , kwa kuwa tu CCM ipo madarakani, hivyo mkakati liCCM litakalo jifanya kiranya na kuvunja sheria ,atashitakiwa peke yake ,yeye kama yeye.

Mbona CCM sasa wameanza kukimbiana, atakevunja sheria kama ataweza kupambana mahakani yeye kama yeye basi amekaribishwa kwenye siasa za Zanzibar ,hakushitakiwi tena taasisi anashitakiwa mtu anaejifanya kimberembere.

Raisi hawezi kumtetea mtu mmoja mmoja mahakamani maana anowengi wanaohitaji nafasi za ccm au serikali ,hivyo ukishitakiwa peke yako ujue imekula kwao, na mawakili wa siku hizi walivyokuwa wakorofi .

Viongozi huku Tanganyika tuachezi kumsakama Cheo cha Raisi tuanza nao huku huku ngazi za chini na mtaona mabadiliko , mkuu wa wilaya au mkoa au Mwanaccm anashitakiwa yeye kama yeye na sio cheo alichonacho.
STOP NONSENSE, KAMA MAZURI YOOOOOOOOOOOOOOOOOOTE NI YA KWAKE, BASI NA MABAYA YOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE N YA KWAKE
 
We respect but when she does wrong we do critics

Najua hutaki tumkosoe kisa she is a presda

Remind You rais wa France alipigwa kibao na rai kwenye press conference so rais ni cheo tu sio mungu wew unataka raisi aogopwe
 
Marehemu Ali Hassan Mwinyi naye alipigwa kofi na uRais wake

Naye Trump alikula shaba ya sikio mwaka jana

George Waker Bush alitupiwa kiatu kwenye mkutano akiwa mashariki ya kati.
 
Unapoacha mlango wazi tafsiri yake ni kwamba unakuwa umeruhusu kila kitu kuingia ndani,vyura wataingia,Nzi wataingia,viroboto nao watatinga ndani na kila aina ya takataka.

Kitendo cha kugeuza kila kitu kuwa kinafanywa na Samia ndicho kinachosababisha yote hayo,vyoo vinajengwa na Samia,Zahanati na Samia kila kitu ana imbwa Samia hata anapo husishwa katika maovu yote msilalamike ni yeye anakuwa amefanya.
 
Kila jambo Raisi anaona,raisi utahusika na maneno kibao tu ,Hivi hakuna wakuu wa wilaya mikoa mawaziri wapolisi mpaka Mnathubutu kumvaa Raisi ?

Mlipita kwa mkuu wa wilaya,au Mkuu wa Mkoa au vituo vya pilisi na ngazi zake zote hata mnaenda kugonga Ikulu ?
Basi ngazi zote zivunjwe abakie Raisi peke yake maana watanzania tunaona Raisi ndio kila kitu.

Jaribuni kupita ngazi zote au kulaumu ndazi zote hatua bada ya hatua na ionekane kama mnavyo kisakama Cheo cha Rais ,ndio anzeni huko huko ngazi za chini.
Tumeona kule Zanzibar ACT wazalendo wameachana na Rais na wameanza kuwapeleka mahakamani hawahawa vibaraka wa CCM walio ngazi za chini ,ambao hutumika kuwatesa wananchi ,Chama cha ACT ,kimetoa onyo kuwa sasa kitamshitaki mmoja mmoja anaejifanya yeye ndie nkuu wa wilaya,wamkoa polisi jeshi raisi makamu ,mtu ambae anajivisha vyeo vyote hivyo , kwa kuwa tu CCM ipo madarakani, hivyo mkakati liCCM litakalo jifanya kiranya na kuvunja sheria ,atashitakiwa peke yake ,yeye kama yeye.

Mbona CCM sasa wameanza kukimbiana, atakevunja sheria kama ataweza kupambana mahakani yeye kama yeye basi amekaribishwa kwenye siasa za Zanzibar ,hakushitakiwi tena taasisi anashitakiwa mtu anaejifanya kimberembere.

Raisi hawezi kumtetea mtu mmoja mmoja mahakamani maana anowengi wanaohitaji nafasi za ccm au serikali ,hivyo ukishitakiwa peke yako ujue imekula kwao, na mawakili wa siku hizi walivyokuwa wakorofi .

Viongozi huku Tanganyika tuachezi kumsakama Cheo cha Raisi tuanza nao huku huku ngazi za chini na mtaona mabadiliko , mkuu wa wilaya au mkoa au Mwanaccm anashitakiwa yeye kama yeye na sio cheo alichonacho.
Mbona kila jambo zuri anasifiwa yeye kuwa Rais umetuletea pasa za kujenga choo
 
Tunamsemo heshima kitu cha bure , hao waliorusha viatu,mayai,kofi hao wote hawana adabu. je wewe ni miongoni mwenu ?
Tuidumishe amani tuliyonayo , Chini ya Raisi kuna vyombo vingi tu ,kwa nini msianze navyo hivyo mwisho wa siku anabakia raisi tu .
Ssa ikiwa balozi au sheha au mwenyekiti wa Mtaa anawapeleka puta mtamuweza Raisi ? Wacheni uzwazwa ,ndio nikatoa mfano Wazanzibar sasa wameanza kupambana na mizizi ,yaani hawa visakunde walioko mitaani ,hawa kwanza, sijui tunaelewana ? au mpo mpo tu ?
 
Tunaposema Rais apunguziwe madaraka hamsikii, basi atawajibika kwa kila kitakachofanywa na wasaidizi wake.
 
hasa chadema niwakumbushe kuwa na adabu na utii kipindi hiki cha uchaguzi
 
Back
Top Bottom