picha zinazoonyesha jinsi ya wagiriki waliovamia ofisi za jumuiya ya wa tanzania wanaoishi ugiriki (tanzanian community greece ) uharibifu wa mali na vitu vyote vya ndani ya ofisi pamoja na kuwepo na police lakini hao police wao ndio waliokua mstari wa mbele kuwaachia raia zao wafanye vile wanavotaka kufanya,uharibifu huu ulifanyika kukiwa na askari wa vikosi vya ugiriki hii inaonyesha wazi jinsi gani mgeni anavyokua hathaminiki ktk nchi hii. Jee hii ina uhusiano na yule doctor aliouliwa kwa kuvutwana vibaka barabarani juzi kati dar ? More picture to come .
Kwa picha zaidi fata link hii http://www.facebook.com/photo.php?f...9251991.107394.100001312170904&type=1&theater
Kwa picha zaidi fata link hii http://www.facebook.com/photo.php?f...9251991.107394.100001312170904&type=1&theater