Wa mwisho ndiyo mshindi

Mkuu nilimaanisha hilo neno 'Dhamana' sijui maana yake
Maana yake ni pana, inategemea na mahali husika linapotumika, kwa mfano tukienda Kisheria, Dhamana ni ruhusa ya kupewa Uhuru anayoweza kupewa mtuhumiwa wa kosa fulani hivi huku uchunguzi wa kosa lake ukiendelea kusikilizwa.

Na maana nyingine Dhamana ilitaka kufanana na neno Rehani, nikiwa na maana unaweza kuweka Mali yako yoyote, au kitu chako chochote kile kutokana na makubaliano ili kukomboa kitu fulani, au kupata huduma fulani.

Nafikiri nimejitahidi kuelezea kwa uelewa wangu huu mdogo
 
Maana ya yake ni pana, inategemea na mahali husika linapotumika, kwa mfano tukienda Kisheria, Dhamana ni ruhusa ya kupewa Uhuru anayoweza kupewa mtuhumiwa wa kosa fulani hivi huku uchunguzi wa kosa lake ukiendelea kusikilizwa.

Na maana nyingine Dhamana ilitaka kufanana na neno Rehani, nikiwa na maana unaweza kuweka Mali yako yoyote, au kitu chako chochote kile kutokana na makubaliano ili kukomboa kitu fulani, au kupata huduma fulani.

Nafikiri nimejitahidi kuelezea kwa uelewa wangu huu mdogo
Mdogo mdogo wimbo wa diamond platnumz huo
 
Back
Top Bottom