Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,217
Itamgharimu nini Manara kukaa kimya bila kuiponda Simba!Balaa iliyompata Coacha wa SSC leo itamgharimu
Itamgharimu nini Manara kukaa kimya bila kuiponda Simba!Balaa iliyompata Coacha wa SSC leo itamgharimu
Itamgharimu yoyote anaechupuka pekupekuBalaa iliyompata Coacha wa SSC leo itamgharimu
Pekupeku ina ladha na usweety wa asilia..Itamgharimu yoyote anaechupuka pekupeku
Asilia angalia virusi haviishiwi.hamuPekupeku ina ladha na usweety wa asilia..
Hamu kwa binamu Kama nyama tamu..Asilia angalia virusi haviishiwi.hamu
Tamu yoyote ukumbuke pia ina uchungu au majuto ikitumika vibayaHamu kwa binamu Kama nyama tamu..
Vibaya kuwatendea jirani maovu...Tamu yoyote ukumbuke pia ina uchungu au majuto ikitumika vibaya
Maovu yanavishwa vazi la ruksa na kizazi hiki cha sasaVibaya kuwatendea jirani maovu...
Sasa ndg mpendwa naomba nikuage nikalale Alamsiki ...Maovu yanavishwa vazi la ruksa na kizazi hiki cha sasa
Alamsiki tukutane hapa.keshoSasa ndg mpendwa naomba nikuage nikalale Alamsiki ...
Kesho nayo ni siku.Alamsiki tukutane hapa.kesho
Siku ya hedhiKesho nayo ni siku.
Mtu wa watu anakubalika na watuMtoto si nguo utaomba mtu
Nalog off
Wamelala kwasab ya utopolo
Utopolo si ndio vyura?Wamelala kwasab ya utopolo
Off ni neno la kiingereza.Utopolo si ndio vyura?
Nalog off
Kiingereza kinanoga ukijua namna ya kukitamkaOff ni neno la kiingereza.
Kukitamka kireno ni rahis kama kunywa mchuziKiingereza kinanoga ukijua namna ya kukitamka
Mchuzi haunywiwi huwa unachovwa kwa kikamatio KM Tonge,chapati,mkate..Kukitamka kireno ni rahis kama kunywa mchuzi