Wa mwisho ndiyo mshindi

Kuoa itakubidi uzingatie mambo manne makuu kutoka kwa mwanamke.
1. Awe mcha Mungu (hapa ndiyo kunatabia njema)
2. Awe mrembo hadharani
3. Awe fundi jikoni (madiko diko)
4. Awe fundi kitandani (5*6, 6*6)

Jitahidi walau asikose vitu vitatu katika hiyo orodha
Orodha ndefu ina leta ukakasi
 
Back
Top Bottom