captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 583
- 1,182
Zaituni pia ni tunda tamu mno.Sana yaan mimi na wewe ni sana tuu kweli juma aliuliza zaituni
Zaituni pia ni tunda tamu mno.Sana yaan mimi na wewe ni sana tuu kweli juma aliuliza zaituni
Zaituni pia ni tunda tamu mno.
Pia alisema anakutafutaMno he! Mimi nilikuwa sijui kama ni kilugha pia
anakutafuta? mimi au? wewePia alisema anakutafuta
Wewe unaonaje?anakutafuta? mimi au? wewe
anakutafuta? mimi au? wewe
Wewe unaonaje?
Macho yako hayajayulia kabisaUnaonaje? Kwani mimi ni mfupi kama yule mkeo aliuliza mbele za watu walio toa macho
hodi jamani namuulizia zaituni yupo? abriana ameniambia ananitafuta.Wewe ni nani usiku huu? Aliuliza Binti Mariam akiwa kwa ndani baada ya kusikia hodi
Hodi usiku huu unatafuta nini?Wewe ni nani usiku huu? Aliuliza Binti Mariam akiwa kwa ndani baada ya kusikia hodi
Macho yako hayajayulia kabisa
Ananitafuta kwa sababu ananidaihodi jamani namuulizia zaituni yupo? abriana ameniambia ananitafuta.
Wake za watu waheshimiweKabisa yaan siwezi kukudanganya kama huamini chukuwa kidogo uonje alisikia muuza ubuyu akimshawishi mteja wake
wake wenza tabu kwelikweli..Kabisa yaan siwezi kukudanganya kama huamini chukuwa kidogo uonje alisikia muuza ubuyu akimshawishi mteja wake
Wake za watu waheshimiwe
pikipiki aina ya boxer zimetulia sanaWaheshimiwe watu wote na sehemu yoyote ile alisema Polisi alipokuwa akiwaelekeza waebdesha Pikipiki
pikipiki aina ya boxer zimetulia sana
Kweli hasa wakikutana uso kwa usowake wenza tabu kwelikweli..
Hivi umemuona jamaa? Nahisi ametorokaSana sana uwe mpole tuu wakati ninapokuchoma hautosikia ikiingia hii sindano nesi mona hivi
uso kwa uso hapo ngumi lazima zipigwe.Kweli hasa wakikutana uso kwa uso