Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,383
Samia ni mkarimusalama mikononi mwa mama samia
Samia ni mkarimusalama mikononi mwa mama samia
mkarimu ila ukimzingua ata kuzinguaSamia ni mkarimu
Kuzinguana na kukomoana ndiyo mtaji wetu hapa hatuna maono ya kujiendeleza...mkarimu ila ukimzingua ata kuzingua
kujipendekeza pendekeza ni fani ya watu, sasa hivi washaanza kusoma namna ya kumwingia mazaKuzinguana na kukomoana ndiyo mtaji wetu hapa hatuna maono ya kujiendeleza...
Maza yupo makini amelea, ameongoza jamii hivo atawaumbua !!kujipendekeza pendekeza ni fani ya watu, sasa hivi washaanza kusoma namna ya kumwingia maza
Atawaumbua mafisadi na wanao hujumu uchumiMaza yupo makini amelea, ameongoza jamii hivo atawaumbua !!
Uchumi wetu huu tuulinde na kuendeleza ukuweAtawaumbua mafisadi na wanao hujumu uchumi
Ukuwe mpaka wap wewe,hapo ulipofikia panatosha labda unenepe.Uchumi wetu huu tuulinde na kuendeleza ukuwe
unenepe mwisho upasuke turudi tuliko zoea
Umezoea sana kula chips mayai,acha kabisaunenepe mwisho upasuke turudi tuliko zoea
Kabisa uchumi wa kati ni hadithi
Kabisa uchumi wa kati ni hadithi
Njoo uchukue chapati za wapembaHadithi hadithi! Hadithi njoo
Njoo uchukue chapati za wapemba
one hour bila kuchelewa njoo nikupige mamboWapemba chapati zao tamu sana. Nakuja in one hour.
one hour bila kuchelewa njoo nikupige mambo
Mambo ya nchi hii yanatia hasiraone hour bila kuchelewa njoo nikupige mambo
mambo ya siku hizi yanashangaza yaani huu uzi bado upo!??one hour bila kuchelewa njoo nikupige mambo
Ujinga ni pale mataga wanapompambania mwendazakeMambo tena? Sifanyagi huo ujinga.
Upo? Mpaka apatikane mshindimambo ya siku hizi yanashangaza yaani huu uzi bado upo!??