Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Vurugu mechi huletwa na refaAtashinda, labda zitokee vurugu
Vurugu mechi huletwa na refaAtashinda, labda zitokee vurugu
Refa akiwa mpendeleaji, uwana mzima mashabiki wata leta fujoVurugu mechi huletwa na refa
Fujo ni hulka na Tabia za wahuni....Refa akiwa mpendeleaji, uwana mzima mashabiki wata leta fujo
Mtukutu siku zote ni changamoto sana katika jamiiKabisa ni kijana mtukutu
Jamii zetu zina matabaka tofauti tofautiMtukutu siku zote ni changamoto sana katika jamii
Tofauti kubwa ya matabaka haya ni makabilaJamii zetu zina matabaka tofauti tofauti
Tofauti kubwa ya matabaka haya ni makabila
Zao kuu la biashara hapa bongo hivi lipi?Makabila yote ya Tanzania yana tamaduni zao
Mungu hashindwi na kitulipi kati ya haya lina weza kumshinda Mungu
Tisa ukiigeuza juu chini chini juu inakuwa sitaKitu gani umenifanya tangia huu mwaka uanze mpaka huu mwezi wa tisa?
Site mfahamu mtu asiyekuwa muadilifu...Tisa ukiigeuza juu chini chini juu inakuwa sita
Sitatoa siri ya mtungi....Tisa ukiigeuza juu chini chini juu inakuwa sita
Mtungi hutumika kutunzia vimiminikaSitatoa siri ya mtungi....
Mkuu wa mambo Yote ni MUNGUVimiminika unamaanisha maji mkuu?
MUNGU atabaki kuwa MUNGUMkuu wa mambo Yote ni MUNGU