Kumdhulumu binAdam mwenzio ni dhambi ujue!Kunikopesha hawezi maana nimezoea kumdhulumu
Ujue kwamba dawa ya Deni Ni kulipaKumdhulumu binAdam mwenzio ni dhambi ujue!
Nikamla kuku na yake mayai...Kulipa nikulipe nini? Wakati mkeo kaleta shobo mwenyew nikamla!!
Mayai hayakua matam mana yaliliwa kwa hilaNikamla kuku na yake mayai...
Hila za sungura zilimshinda fisiMayai hayakua matam mana yaliliwa kwa hila
Fisi anakera kwa ulaji wakeHila za sungura zilimshinda fisi
wake wanne ni ruksa kwa imani yangu ingawa hadi sasa mimi nina mmoja tuFisi anakera kwa ulaji wake
wake wanne ni ruksa kwa imani yangu ingawa hadi sasa mimi nina mmoja tu
Muadilifu katika ndoa yake ni yule aliyebaki njia kuuMmoja tu anatosha endapo unachelea kutokuwa muadilifu.
kuu+kuu ni kuu kuu yani kitu kilichochakaaMuadilifu katika ndoa yake ni yule aliyebaki njia kuu
kuu+kuu ni kuu kuu yani kitu kilichochakaa
Tena kama hii mifuko ya Rambo ndiyo kabisaaaaaaaa.Hutupwa kwa vile hakifai tena
Kabisaaaaaaaa yaani ipotezwe haraka, kwanza haioziTena kama hii mifuko ya Rambo ndiyo kabisaaaaaaaa.
Kabisaaaaaaaa yaani ipotezwe haraka, kwanza haiozi
Mazingira yanasimamiwa na NEMCKwanza haiozi,badala yake huchafua na kuharibu mazingira.
NEMC wamechachamaa kweli safari hii.Mazingira yanasimamiwa na NEMC
mawazo yanaweza kusababisha kifolock haitoki bar ladba upunguze mawazo