Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,217
Tena nasubir kwa hamu sana kuona nini kitamkuta jaji baada ya Uhuru Kenyatta kusema kuwa yeye ndiye rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi wenyewe mbali na kusema urudiwe bado naziona dalili za mshindi kujirudia
Kabisaa wala sio uongo.
Wala si uongo nKabisaa wala sio uongo.
Udikteta fulani ila haujafikia ule wenyewe.
Wenyewe tumetulia tunasubiria raundi ya pili itamuibua nani!Udikteta fulani ila haujafikia ule wenyewe.
Nani anaweza kunywa uji kwa mrijaWenyewe tumetulia tunasubiria raundi ya pili itamuibua nani!
Kwa mrija labda ukipoa ila kama wa moto hakuna anayewezaNani anaweza kunywa uji kwa mrija
Anayeweza kula kuku kwa mrija nani!Kwa mrija labda ukipoa ila kama wa moto hakuna anayeweza
Anaayeweza yupo, shida ni kuwa hujawajua wote, mzima lakini mtu wa nguvu?Kwa mrija labda ukipoa ila kama wa moto hakuna anayeweza
Mtu wa nguvu mzima kabisa bukheri wa afya. Mzima?Anaayeweza yupo, shida ni kuwa hujawajua wote, mzima lakini mtu wa nguvu?
Nitapatikana katika kuchukua ushindi wanguHajapatikana bado lakini karibu nitapatikana