mutup
Senior Member
- Jul 28, 2021
- 198
- 188
tiba yenye uhakika haitiliwi mashakaKinga ni bora kuliko tiba
tiba yenye uhakika haitiliwi mashakaKinga ni bora kuliko tiba
tiba yenye uhakika haitiliwi mashaka
Ugonjwa ukikupata ndo utajua umuhimu wa chanjo kudadekiMashaka ni kuwa haitibu Kabsa kirusi wala ugonjwa
Ipo kwa sbb kuna mwingiliano na dharau ktk somo la tahadhari...kudadadeki hili gonjwa tuliaminishwa halipo sasa tunaaminishwa lipo
Apendaye uovu hataiona mbingu.tahadhari ichukuliwe na kila apendaye
Uovu una gharimu maisha ya mbeleni kuwa Mateso !!mbingu hataiona apendaye uovu
Mateso makali ndio hutuongezea ujasiri.Uovu una gharimu maisha ya mbeleni kuwa Mateso !!
Mateso makali ndio hutuongezea ujasiri.
Mchezo huu mtamu sana na una kaulevi fulaniKombora sio zito sana Tuendelee na mchezo
Mchezo huu mtamu sana na una kaulevi fulani
Mrefu sana ni mlima gani Afrika mashariki?Fulani sijamuona muda mrefu sana
Mrefu sana ni mlima gani Afrika mashariki?
Kilimanjaro inasemekana hali si salama, mdudu COVID anasumbuaMashariki mwa Afrika ni Kilimanjaro
Kilimanjaro ni bia ya kitanzania.Mashariki mwa Afrika ni Kilimanjaro
Bia ya kitanzania safari lager inabaniwa na makaburuKilimanjaro ni bia ya kitanzania.