Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 1,590
- 2,088
Nchi ya Tanzania ni hivyo sana haijawekeza kwenye michezo na ndio maana hatuna medali yoyote,wenzetu Kenya na Uganda wanajiokotea tu medali huko Tokyo. Kilichobaki wanalazimisha utanzania wa Malaika Mihambo wa Ujerumani
Nalog off
Ujerumani imeingiaje tena humu ndani