HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,148
Mtoto na Mkubwa Afya njema ni muhimuAfya njema ni muhimu kwa kila mtoto
Mtoto na Mkubwa Afya njema ni muhimuAfya njema ni muhimu kwa kila mtoto
Muhimu sana kula chakula boraMtoto na Mkubwa Afya njema ni muhimu
Bora kuchagua kumtumikia MUNGUMuhimu sana kula chakula bora
Mungu ndo kila kitu. Na Mungu ndo alofanya niwe wa mwisho hapa na ushindi ni wangu kwakuwa Mungu hachezewi.Bora kuchagua kumtumikia MUNGU
Hachezewi wala hadhihakiwiMungu ndo kila kitu. Na Mungu ndo alofanya niwe wa mwisho hapa na ushindi ni wangu kwakuwa Mungu hachezewi.
Hachezewi hata kidogo.Mungu ndo kila kitu. Na Mungu ndo alofanya niwe wa mwisho hapa na ushindi ni wangu kwakuwa Mungu hachezewi.
Hadhihakiwi hata kidogo.Hachezewi wala hadhihakiwi
nikajuwa leo ndo nafunga kazi.Hachezewi hata kidogo.
Kazi bado ipo sana nilishawahi kutuma comment ikaa siku tatu bila majibu nikaanza kujitangaza mshingi cha ajabu kuna jamaa wakanipongeza kwa hiyo basi uzi ukawa haujafikia tamati...nikajuwa leo ndo nafunga kazi.
Kazi bado ipo sana nilishawahi kutuma comment ikaa siku tatu bila majibu nikaanza kujitangaza mshingi cha ajabu kuna jamaa wakanipongeza kwa hiyo basi uzi ukawa haujafikia tamati...
Nyuma hapafai kutumiaTamati inamaana mtu amefika Mwisho na hii husababisha kunamafanikio au kugaili kwasasa wanasema kazana usirudi nyuma
Kutumia lile eneo sio poaNyuma hapafai kutumia
Kutumia lile eneo sio poa
Nalog off
1999 wengi wenu mlikua hamjazaliwaPoa tuu ni salamu alioanza kuitumia Marehemu Aliekuwa Rais awamu ya Tatu Rais Benjamin William Mkapa kwenye hutubayake ya kila Mwezi Mwaka 1999
1999 wengi wenu mlikua hamjazaliwa
Sana na ndo mana anaona ni mbali kweli kweliHawajazaliwa ninawasi wasi hata wewe ulikuwa bado mtoto sana
Kweli kabisa hata uandishi wao unajielezaSana na ndo mana anaona ni mbali kweli kweli
Kweli kabisa hata uandishi wao unajieleza
Yangu kauli haikuwa ya mwishoUnajieleza vizuri sana alisikika mzee aliesimama pembeni yangu