Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Sitaki shari ntakuletea orijino ya uarabuni...Feki hiyo baki nayo siitaki
Sitaki shari ntakuletea orijino ya uarabuni...Feki hiyo baki nayo siitaki
Uarabuni nako kuna manukato mazuriSitaki shari ntakuletea orijino ya uarabuni...
Mazuri kama yapi?Uarabuni nako kuna manukato mazuri
Yapi tena? Yapo mengi tuMazuri kama yapi?
Yapi tena? Yapo mengi tu
Kipekee naishukuru JF kwa kunipatia marafikiTu ipi ya namba au ya kipekee?
Marafiki wa aina ganiKipekee naishukuru JF kwa kunipatia marafiki
Aina gani ya Rais tunayemtaka baada ya JPM!??? Tunamtaka awe na sifa kama za Bulldozer, tena ikiwezekana ziwe mara kumi au zaidiMarafiki wa aina gani
Zaidi ya ....., basi tumpe tu mitano tenaAina gani ya Rais tunayemtaka baada ya JPM!??? Tunamtaka awe na sifa kama za Bulldozer, tena ikiwezekana ziwe mara kumi au zaidi
Tena sio mitano iwe hata kumiZaidi ya ....., basi tumpe tu mitano tena
Kumi haimtoshi huyu Rais wetuTena sio mitano iwe hata kumi
Kumi nayo haitatosha tumpe ishirini kabisaTena sio mitano iwe hata kumi
Kabisa kama tunataka afanye kweli, basi tumpe tu kama zoteKumi nayo haitatosha tumpe ishirini kabisa
Zote!!!!! Unaumwa kweli weweKabisa kama tunataka afanye kweli, basi tumpe tu kama zote
Inaitwa miatano tena (500)Kumi nayo haitatosha tumpe ishirini kabisa
500 tena? Huna mapenzi mema na hii nchiInaitwa miatano tena (500)
Mnaizungumziaje kivipi wakati tushajua inatibiwa kwa pilipiliWakuu korona mnaizungumziaje
Ni kweli ama?Mnaizungumziaje kivipi wakati tushajua inatibiwa kwa pilipili
Za kiume tu au na za kike?Pilipili ni tiba ya nguvu za kiume