Jesus kwao ni jina la mtu/binadamu....when someone tells you Jesus loves you, donesn't mean the Holy Christ we all Know about. It could be a love from a man to a man
Mpaka makanisa yameruhusu hao wa jinsia moja kuoana, sioni ajabu ikiwa wanayatenda hayo kwa jina la Yesu. Huo ndio Ukristo. Kuwadharaulisha mitume kupita kiasi.
Anaebisha aeleze wanapofungishwa ndoa kanisani huwa ni kwa jina la nani?