Si wanawake mnasema mnaweza sasa aweze kulea mwanae si.kamzaa yeye mwenyewe.π π π kashindwa hata ka wewe watoto wa nyumba wa na roll ungejisikiaje
Omba tu yasikukute ila ndo hua hivoπ π
UtanyookaKuna baba nilikua nae, ni mume wa mtu, alikia ananihudumia kwa kila kitu, Mwaka jana aliniambia nimzalie, mimi nikamwambia kama unataka mtoto na mimi basi aninunulie kiwanja na kunijengea. Kweli alifanya hivyo ila wakati nakaribia alisimamishwa kazi mambo yakawa magumu kwani alikua na kesi.
Alitoka lakini alikua hana pesa tena kama mwanzo, ujenzi nyumba ilisimama kwenye lenta, akakata mawasiliano na mimi nimehangaika mpaka kumpeleka ustawi wa jamii.
Kule akasema yeye hawezi nihudumia kwa kuwa hana kazi, kweli alionyesha barua ya kufukuzwa kazi. Lakini anamaisha mazuri mke wake ana Biashara nyingi tu, ana maduka na ni mfanyakazi wa kampuni moja kubwa tu.
Watoto wake wanaishi vizuri tu ila wakwangu ana miezi mitatu ila hajawai mnunulia hata pampasi. Nawaza hivi naweza kumpeleka mke wake ustawi wa jamii ili amhudumie mtoto wa mume wake. Nilishampigia huyo mama ili kumuomba matumizi lakini aliishia kunitukana, nafanyaje kwani hata biashara ni mwanaume wetu ndo alimfungulia.
copied but ni real life story
Angekua na akili angeomba afunguliwe biashara kwanza lkn kwa sababu ni mvivu akataka ajengewe nyumba kwanza, sasa imekula kwake [emoji3]Uza Boma, pesa utakayopata anzisha biashara umlee mtoto wenu.
Acha kulialia.
Noma sana!Mwanaume wenu..!!![emoji23][emoji23]
Umelikoroga Sana ndugu yangu..linywe tu huna namna..
Pole sana.Ila kuna watu wamejifunza kupitia makosa yakoKuna baba nilikua nae, ni mume wa mtu, alikia ananihudumia kwa kila kitu, Mwaka jana aliniambia nimzalie, mimi nikamwambia kama unataka mtoto na mimi basi aninunulie kiwanja na kunijengea. Kweli alifanya hivyo ila wakati nakaribia alisimamishwa kazi mambo yakawa magumu kwani alikua na kesi.
Alitoka lakini alikua hana pesa tena kama mwanzo, ujenzi nyumba ilisimama kwenye lenta, akakata mawasiliano na mimi nimehangaika mpaka kumpeleka ustawi wa jamii.
Kule akasema yeye hawezi nihudumia kwa kuwa hana kazi, kweli alionyesha barua ya kufukuzwa kazi. Lakini anamaisha mazuri mke wake ana Biashara nyingi tu, ana maduka na ni mfanyakazi wa kampuni moja kubwa tu.
Watoto wake wanaishi vizuri tu ila wakwangu ana miezi mitatu ila hajawai mnunulia hata pampasi. Nawaza hivi naweza kumpeleka mke wake ustawi wa jamii ili amhudumie mtoto wa mume wake. Nilishampigia huyo mama ili kumuomba matumizi lakini aliishia kunitukana, nafanyaje kwani hata biashara ni mwanaume wetu ndo alimfungulia.
copied but ni real life story
[emoji28]Mwanaume wenu..!!![emoji23][emoji23]
Umelikoroga Sana ndugu yangu..linywe tu huna namna..
[emoji28][emoji28] ombaomba!![emoji849]Mwanamke unakuwa omba omba hivo Hadi kero .....sehemu zako za Siri zitaendelea kuumia tu
HatariiiMalipo ya kuiba mume wa mtu ndio hayo ulidhani mjanja sasa umepatikana