Wa mama mijengo sometimes muwe na huruma

Badala muchune ela za mitaji ninyi mnachuna mnakula bata
 
Ndio hivyo saivi Unapauka na vumbi Mwenyewe ungedai ndoa ningekuona wa Maana uliendekeza mali ona kama unahati uza hiyo nyumba

Namimi nimekopi.
 
Unge kuwa mjanja kama ungeomba akufungulie mradi na wewe uendeleze, mpaka sasa ungemalizia nyumba yako na usingemtafuta mtu๐Ÿ˜‰
 
Alipotumbuliwa ukaenda kama nyumbu kwa mke mwenye Cheti Cha ndoa kudai matumizi? Kwa hiyo ilikuwa hujachukua mtaji we unasubiri mke halali akusanye mapato we upate gawio ukiwa umepanua paja sebleni?
 
Hahhahaah asa wewe kama huyo baba utafanyaje

mi naona kumchukua mtoto ake ndo uanaume
maza house angejaribu kua na huruma tu, mambo mengine yakishatokea haijitaji hasira maana haisaidiii

Why? Kwanini? Wamama wangapi wanauza mihogo na watoto migongoni? Mxiuuuuu anyanyuke afight kwa ajili ya mwanaeโ€ฆ mtoto achukuliwe ili akatafute danga jipya? Kila mtu a-deal na mwanae aiseee
 
Jamani tuwaache wa mama mjengo. Kwani yeye ndo aliyezaa naye. Wakati wanachumia juani hukuwepo saa hizi unaanza kutamani maisha ya watoto wa wenzio. Ndo wale wanawake wakiona yamewashinda wanaanza kwenda kwenye vilinge kuwaroga watoto wa wenzao.

Kama mwanaume hana hela basi tafuta na wewe uleee maana malezi ya watoto ni hamsini kwa hamsini kwa wazazi wote.
 
Na wewe leo wakwako si uone huyo mama mjengo analea wa kwake japo mume wenu hana kazi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Unavuna unacho panda... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Uza Boma, pesa utakayopata anzisha biashara umlee mtoto wenu.
Acha kulialia.
 
ww ungemhurumia?

mtu aliye washusha fasta kutoka uchumi wa juu hadi kufika kati๏ผŸ
Ina tegemea na situation aliopo huyo dada

sema daah its complicated sitwesheni๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… nakuonea tu huruma
 
Na wewe leo wakwako si uone huyo mama mjengo analea wa kwake japo mume wenu hana kazi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Unavuna unacho panda... ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kashindwa hata ka wewe watoto wa nyumba wa na roll ungejisikiaje

Omba tu yasikukute ila ndo hua hivo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ