Wa kwanza kupinga rushwa lakini wao ndiyo wala rushwa wakubwa

Wa kwanza kupinga rushwa lakini wao ndiyo wala rushwa wakubwa

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Taasisi zote za serikali ni rushwa tu kila kona afu leo mnataka kupinga rushwa wkt ninyi bado mnakula rushwa za mabillioni na uchafu

Mnawalipa bodaboda ili wajaze mikutano yenu hii ni rushwa au sio rushwa?

Haya mabaiskeli yenu na bodaboda zenu za October tunatiki ni rushwa au sio rushwa??
Sasa mnapiga rushwa ipi lbd?

Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
 
Back
Top Bottom