Wa kumtolea hamu

Labda inaweza kuwa exceptional ndo maana nikasema wataresolve wao.

Kuna mtu nilisoma nae na gf wale alimruhusu kudate sababu ilikuwa mbali, na sasa wameoana na wana watoto 3

Ndio maana nikashangaa anaomba ushauri.
Ni kiasi tu cha kujipima na kuona kama anakubaliana na hiyo hali au la.Alafu ukute mwenzake tayari alishaanza kujiridhisha zamani, . . .mahusiano yana kazi haya.
 
mi nikiambiwa hivo najua kuwa alishakuwa na mwingine kwahiyo anataka usishtuke siku ukigundua ana mwingine

Na katika hali ya kawaida unapompenda kwa dhati mwenza wako sidhani kama utakubali kitu cha ku-share.....tena kwa makubaliano..mmh! hii haipo...hapo mdada katoa taarifa indirect,mahusiano ndo yanafariki wakikutana yanazikwa rasmi!
 
Aulize kama hawawezi kutoa hamu kwa kutumia mkono wa kushoto...
 
Buti la kidizaini.....
Kama ni rafiki yako, mwambie aachane nae, hata kama ni teenager some relationships zina affect other relationships eg, unapoteza imani na confidence hata akitokea mtu anayekupenda kwa dhati baadae.
Mwambie aachane nae tu, time heal all the wounds and life is a learning process.
 
Sasa hapo jamaa anaomba ushauri wa nini? maana ni kusuka au kunyoa yeye anapendeza style gani............ watoto wa dot.com wanaiga kila kitu utaambiwa tu...............after all its was just sex.
 
Daaa saa zingine sisi wanaume inabidi tuchukue uwamuzi mgumu,kama ningekuwa mimi straight ningemwambia listen chukua time yako na mimi nachukua time yangu,that's all hamna haja ya kukaa kuumizana akili,siku zote mwanamke hawezi kufikia na kukutamkia lugha kama hiyo hata siku moja hawezi kabisa na kama akifikia kakuambia hivyo basi inaonekana huyo mwanamke alikuwa anakutawala sana ndio maana
 
SHIDA ZOTE ZA NINI WAKUU,WANAWAKE AU WANAUME WA KARIBU YAKO HAWAPO?,MPAKA UANZISHE MAHUSIANO YA MBALI,KAMA MNAPENDANA,BASI MMOJA WENU AMFUATE MWENZAKE.HAPO MNAHALALISHA NGONO ZEMBE.
Au kama ni dada zetu,wanapenda kusema,nna mchumba angu yupo sweden,siyo sifa kabisa,pia kwa wanaume.Date wa karibu yako,nini kujitesa.
 
Hicho ni kipimo tosha kwa huyo boy akikurupuka kujibu kuwa anakubaliana na hilo basi imekula kwake.Moja kwa moja boy ataonekana hana msimamo na pia hana mapenzi ya dhati na huyo girl.Awe Makini saana na mitego ya huyo mwali.
 
Dahh halafu wakirudiana itakuwaje??
au wataendelea kuwa na mpango huo wa kuona watu wengine nje ya relationship yao..

Usema ukweli hii kitu imekaa kama hiyo "Open relation"
Na hapo kuna jambo moja kubwa huu mchezo si rahisi kuacha kama wakikubaliana.

uzuri na ubaya wa huu mchezo ni pale unajua wazi mwenza wako anapata vya kupata nje ya uhusiano wenu.
Na Je ye yuko tayari kuishi huku akijua ya kwamba bibie anapata faraja ya moyo kutoka kwa kidume mwingine?

Kingine ni kwamba yuko tayari kuachwa??????
Maana usema ukweli kama huyo kidume mwingine anatoa vya kutoa I mean
anamfurahisha bibie vya kutosha kwenye kila idara kuna chance kubwa atatemwa.
Na pia akumbuke zaidi bibie atakuwa karibu na huyooo mkaka mwingine kuliko yeye.
Nikimaanisha wanishi karibu.

Wangekuwa wanaishi pamoja lakini wanataka kuonja nje hiyo ningesema labda ..
lakini kwa vile wanaishi mbali hapo mi nasema mmmmmhhh Hapana mkuuu.
At the end of the day is his choice. Take care .......
 
kumbe kuna maalum wa kutolea hamu ....halafu kuna wengine ndo moyo wako unauweka huko?

nilifikiri wa kutolea hamu ni wale 'wanaojiuza' au????
Wanawake wote wanajiuza na wanaume wote ni wananunua tu. Mlichofanya ni kuita hayo malipo majina mazuri... Mahali, hongo... e.t.c
 
Sasa hapo jamaa anaomba ushauri wa nini? maana ni kusuka au kunyoa yeye anapendeza style gani............ watoto wa dot.com wanaiga kila kitu utaambiwa tu...............after all its was just sex.
Wote mnayafanya hayo hayo, ila tu hamtangazi, huyu kaamua kuweka vya ukweli wazi...
 
Huyo demu mpuuzi kweli, yani anadiliki kumwambia mpenzi wake hayo maneno. Mwambie ampotezee.
 
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo yao na future zibaki pale pale.
Jamaa ananiomba ushauri maana hakutegemea kuambiwa hivo na isitoshe wametoka mbali na huyo girl na wamefanya mengu
mengi pamoja.
sasa ushauri gani hapo unaofaa wa wa kumshauri?

Hawa wanaonyesha hawapendani!
Haiji akilini mtu unayempenda ukamkubalie akashiriki mapenzi na mtu mwingine never and ever....! Hapa nahisi kunakitu kimewaunganisha mbali na mapenzi ya kweli ndio maana anaamua aruhusu boy wake amtafute wakumpoze. Ningekuwa mimi siku hiyo hiyo nitakuwa na mashaka nafanya utafiti baada ya hapo nampiga chini. I can not share my LOVE with two girls never and ever.
 
Ye akae akijua kuwa mwenzie adi amefikia kusema hayo, ana mtoa hamu teyari. Na hiyo ni kama taarifa tu jamaa anapewa if anaweza kuvumilia. In short akufukuzae hakwambii toka, ni wewe na akili yako tuu!

Hapo shule tulikuwa tunapigia mistari na unaandika; Ans

Thanx Kipipi.......sasa unatakiwa uwe Lipipi as umetoa matured advice

Kaka Excellent......demu anamegeka tayari huyo hiyo ni open ended task kapewa mwana naye achague maisha yake asije sema hakupewa taarifa......huyo mwanamke anabusara sana jamaa naye aamue kiume khaswa
 
Back
Top Bottom